Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Tukio hili lilifanyika huko kisongo kwa nabii mkuu msemaji wa serikali ya mbinguni Dr GeorDavie. Sina shaka Konde boy kabeba baraka hizo, Wasafi itabidi wajipange ili kutengua baraka za nabii...
2 Reactions
64 Replies
3K Views
Producer namba moja wa muziki East Africa wakuitwa Lizer Classic ametoa za ndaaaaani kabisa namna Clouds na Wasafi walivyofanya biashara ya muziki. Alitoa comment hiyo akimjibu shabiki kaukau wa...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Za chini chini zinasema Diamond kesho anataka kuachia ngoma nyingine. Wanasema baada ya kufahamu ilo Rayvanny nae anataka kumpandishia ngoma ili kinuke. Inawezekana ni coincidence tu watu...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
"Mimi na Mama yake Nandy hatukuwa na tatizo lolote isipokuwa dada yake alimuonea wivu wakati nipo na yule mama. Akamtorosha/kumpoteza kama mfanyakazi akampeleka sehemu ambayo sijui". "Nachotamani...
6 Reactions
36 Replies
5K Views
  • Closed
Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au...
9 Reactions
120 Replies
11K Views
Katika kuitikia wito wa kuwekeza nchini. Tanzania Sweetheart ameamua kujenga Shopping Mall kubwa mjini Bagamoyo **Hongera Madam
10 Reactions
122 Replies
19K Views
Aisee nimejikuta nikimkumbuka sana huyu fundi wa muziki wa dansi aliyepata kuvuma sana kwenye muziki wa dansi na nyimbo kadhaa zilizokonga vilivyo nyoyo zetu. Yu wapi gwiji huyu?
5 Reactions
102 Replies
13K Views
Leo ni siku ya Jumamosi Faustina Mfinanga na William Lyimo (Nandy na Billnass) wanafunga ndoa yao katika kanisa la KKKT usharioa wa Mbezi beach. Awali wawili hawa walivishana pete ya uchumba na...
27 Reactions
259 Replies
21K Views
Teknolojia ya matumizi ya mitandao ya kijamii imeshika kasi na umekuwa kama uwanja wa fujo kila mmoja anautumia apendavyo. Kwa baadhi ya wenye majina makubwa, wakiwamo wasanii kwao ni tofauti...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Hey Guys, I Hope Mko Poa, Ryt? Okay Nimefuatilia hili sakata La Harmonize kujiondoa Hii lebo kubwa ya WCB halafu nikaangunisha na mwenendo wa Fiesta ulivyo kwa sasa nikagundua hapa kuna namna...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Kichwa Cha habari chajieleza chenyewe. Ndugu greater thinker wa JamiiForums naomba kupata majibu mwenye uelewa zaidi na huyu mtanzania mwenzetu. Je, Maulid Wakitenge ni mwanahabari kama...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Wote ni Mabingwa na Hodari wa kutopenda Kula Ndizi na Sambusa hiyohiyo kila Siku tu na hupendelea zaidi kubadilisha Menu (Menyu) za Kibaiolojia (Kisayansi).
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari za usiku huu. Ni hivi video ya wimbo wa Rayvanny na Zuchu inayoitwa I miss you iliandaliwa kwa million 80 hadi kukamilika kwake. watu wanawekeza jaman.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hatimaye Meneja wa Wasfi Classic Baby (WCB), Sallam SK amekata mzizi wa fitna baada kuthibitisha Harmonize kaandika barua ya kuvunja mkataba na lebo ya WCB. Amesema kwa sasa wanasubiria kufanya...
28 Reactions
237 Replies
31K Views
Aiseee Maisha yanabadilika fasta sana.. Leo hii huwezi amini Original comedy wanafanya show halafu hakuna anayeshtuka. Hakuna anayejishughulisha nao Vipi kuhusu B12 Wa Clouds FM, aisee kijana...
8 Reactions
15 Replies
3K Views
Sema hii iko mubashara Clouds tv Pale meza Kuu wanaonekana kuchoma ni hero Dr Cheni awaruhusu wakapumzike Nakumbuka Buberwa alidondoka kwa uchovu dakila za lala salama Ni ushauri tu!
1 Reactions
3 Replies
974 Views
Wadau sina shaka mnawakumbuka hawa jamaa, Kwa kiasi kikumbwa neno makaratee( mitikasi) walilifanya maarufu kutokana wimbo wao wa MAKARATEE mwanzoni mwa miaka ya 2000. Hawa jamaa wako wapi? Kwa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Sijajuaga huyu mtu anafeligi wapi sijui hana watu wa PR and Marketing, albamu yake iliyotoka jana ni kali sana mnoooo ila hili song akituliza kichwa akajipanga na kufanya lobbying linampeleka...
12 Reactions
49 Replies
6K Views
Hongereni Bill Nass na Nandy kwa kufanya maamuzi mazuri, ndoa yenu ikawe ya heri na baraka. Hongereni tena kwa kuwa mfano kwa wasanii wenzenu kuwa inawezekana mkinia jambo lenu. Hakika mnatoka...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Msanii Bien Aime Baraza kutoka kundi la wasanii la Sauti Sol ameshangaza mashabiki baada ya kufichua kuwa anapanga kukatwa mishipaya uzazi kama njia ya upangaji uzazi mara tu atakapopata mtoto...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom