Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Star wa bongo movie Wema Sepetu amezitaja sifa za mwanaume wakufunga nae pingu za maisha siku za usoni.
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna watu tumejaliwa vipaji fulani vya kusoma alama za nyakati na kutabiri mambo yajayo. Zaidi ya miaka miwili nimekuwa nikimfuatilia huyu mwanamziki Harmonise tangu ajitoe kwenye label ya WCB. Na...
30 Reactions
46 Replies
5K Views
Msaani Rayvanny ameweka vedio fupi kwenye akaunti yake ya Instagram, anayoeleza kuwa alikuwa WCB, Wasafi kwa muda wa miaka 6, amepata vitu vingi ikiwemo tuzo kubwa mbalimbali pia kuwa msanii wa...
18 Reactions
107 Replies
14K Views
Mwigizaji nyota wa filamu za Nollywood nchini Nigeria, Iniedo amefunguka kwa mara ya kwanza yeye ni mzazi wa mtoto mmoja na alipata mtoto huyo kupitia kubebewa mimba na mwanamke mwingine...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
He demonstrates the look of a person whose aura has been ganked. # no hope for the future # Lord have mercy. Ukitazama choreography zake, it is either he is high or he is possessed. #...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Hello Wadau!! Billionaire Shillah hivi karibuni amepost akishuhudia katika kurasa zake za mitandao ya kijamii akimshukuru Mungu kuikimbia zinaa. Wana JF wenzangu nadhani mna la kujifunza.
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Gift and curse. Msanii wa bongo fleva Marioo ana talent kubwa sana ya uundaji wa mashairi. Kwa level ambazo yupo maneno yake yana nguvu kubwa mmno, yawezekana halifahamu hili. Ushaidi unaonekana...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Ninaandika huu uzi nikiwa na hasira iliyochanganyikana na huzuni kwa huu mmomonyoko wa maadili unaozidi kuota mizizi. Jamii kwa sasa iko bize kushabikia mambo ya kipuuzi huku ikiachana na agenda...
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu, Nimekuwa nikimfuatilia na kumuona kwa mda mrefu msanii anayejulikana kama (Jimmy chansa)anaonekana ana kipaji cha kuimba ila bado hapati support anayo stahili. Nyimbo zake kama...
2 Reactions
48 Replies
9K Views
LILE sakata la tuhuma za utapeli linalomkabiri Katibu Mwenezi wa zamani wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Haji Manara, leo limeingia katika hatua nyingine...
2 Reactions
43 Replies
15K Views
  • Closed
Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
6 Reactions
328 Replies
36K Views
Baada ya kuupokea uwokovu wa Bwana moyoni mwake, nguli huyu inasemekana ameamua kuutumikia muda wake uliobaki duniani kuliimba jina la Bwana na kusifu utukufu wake.
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu huyu dogo ndio alikuwa kinara wa Yamoto Band na kuushtua mji kwa ngoma baada ya ngoma kabla ya story za wambea wa mujini kusema kamali itammaliza maana anajua kuweka mzigo haswaa . Za...
9 Reactions
52 Replies
7K Views
Huyu cerebrty mara ya mwisho kupost ni may 9 2022. Followers wake tulishazoea kupata habari motomoto hasahasa tangu apate u DC ila hivi sasa ukimya wake ndani ya mwezi bila post kunani?
4 Reactions
113 Replies
11K Views
WANAJAMII MMEMUONA KANUMBA NDANI YA NYUMBA? LUGHA INAVYOMSUMBUA NA ANAVYOJITAHIDI KUJIFWAGILIA KUWA YEYE NI CELEBRITY? HEBU MCHAMBUENI KIDOGO.... mfano pale BIG alipowataka waandae mapokezi kwa...
0 Reactions
163 Replies
26K Views
Binti ni mzuri kweli mimi kama mwanaume rijali nakubali hilo bila kupinga. Lkn kitendo cha kupost picha zake yuko uchi hii ni kinyume na maadili yetu na tamaduni zetu watanzania. Naomba mamlaka...
4 Reactions
70 Replies
10K Views
Raising an African kid who lives in Africa as a " ghetto African American kid" amount to child abuse. This kid is being abused. Country boy ana mnyanyasa mtoto wake. The " nigga wannabe guy"...
8 Reactions
51 Replies
5K Views
UKWELI WA KUVUTIA KUHUSU MAMA ELLEN G. WHITE: 1. Ellen ni miongoni mwa watu walioamini kwamba Kristo angerudi Oktoba 22, 1844. 2. Mnamo 1846 Ellen aliolewa na mhubiri wa Kiadventista James...
9 Reactions
16 Replies
6K Views
Wakuu anayefahamu huyu mzee ni mchungaji wa kanisa gani anijuze, sijawahi kuona akihubiri popote wala kuongea chochote kuhusiana na uchungaji wake. Kipindi cha nyuma(2013) Kuna mbunge alimpiga...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni mpenzi sana wa sanaa ya maigizo na nilikua nawaza sana baada ya King Majuto ni nan ataweza angalau kuziba pengo kidogo.. Baada ya kumfatilia Mkojani nimeridhika na kazi zake na ninaona...
12 Reactions
73 Replies
10K Views
Back
Top Bottom