Binafsi kwa sasa sijaona msanii mwenye kipaji cha aina ya Aslay kwenye bongofleva kwa sasa. Huyu kijana ana uwezo mkubwa mpaka sioni wa kumfananisha nae kwa sasa, kumekuwa na mjadala Diamond...
The last pre-trial hearing before R. Kelly's federal sex-trafficking trial begins next week featured a laundry list of what will and won't be heard by the jury, including his secret marriage to...
Habari za jioni wanajamvi.
Taarifa nilizozipata punde zinasema mfalme huyo wa taarabu anaacha rasmi mziki huo na kumrudia mungu.
Mungu amjaalie wepesi afanikiwe katika dhamira yake
UPDATES...
Wakuu Huu ndio Muonekano wa Modonna and her adopted son David Banda.
.
Kama mtakumbuka Kijana Huyu David was adopted when he was 13 months from Malawi [emoji1156]
.
Daaaah Kijana David ameshapotea...
Mwimbaji R. Kelly anaweza kukabiliwa na miongo kadhaa jela atakapohukumiwa siku ya Jumatano, miezi tisa baada ya kupatikana na hatia ya kuendesha mpango wa kuwanyanyasa kingono wanawake na watoto...
Kwa kweli huyu jamaa kwa EA nimegundua ni underrated sanaaa.
Hii ni baada ya kusikia ngoma yake ambayo imeingia kwenye chati zilizotoka juzi za sound city.
Imeingia kama wimbo bora kwa muongo...
Hongera sana Harmonize. Umefanya kitu kikubwa sana.
Mimi ni Yanga lia lia but leo niseme wazi kwamba tukio la Harmonize na Kajala limefunika tukio la sherehe ya ubingwa wa Yanga.
Mitandao ya...
Tarehe 20/ April 2018 Msanii wa Hip Hop na producer Jermaine Lamar Cole almaarufu J Cole anatokea kwny viunga vya Fayettevile, North Carolina, Marekani. Alitoa Album yake ya tano iitwao KOD yenye...
Bwana harusi Bwana Rajab Harmonize Ni Msimamizi Wa Hovyo kuwahi kutokea nchini. Huyu jamaa ana groom wasanii halafu hajui kuwasimamia wasanii hao.
Hebu angalia Jinsi anavyofnya kazi na wasanii...
Tuache utani wakuu huyu Mimi Mars haimbwi sana midomoni mwa watu na yeye mwenyewe sijui anajichukuliaje but ngoma zake zote zina taste nzuri sana.
Naenjoy "La la la" aliyo mshirikisha Toto bad...
Leo hakuna cha salamu, nimeshaona kwa wanawake zaidi ya wanne wa jamaa zangu wakiwalazimisha waume zao kuwa liwalo na liwe kwenye events zao Mc ni lazima awe GaraB.
Sio mbaya, jamaa yupo vizuri...
Erika Goldring/Getty Images
RICK ROSS CELEBRATES BECOMING A GRANDFATHER FOR THE 1ST TIME
PARIS, FRANCE – Rick Ross has five children, and one of them has officially made him a grandfather. On...
Wakuu Habari ya Asubuhi na Poleni na Hekaheka za Ashura Wa Tabata.
Niko Nasikiliza Ufm Radio ya Azam Media, Anahojiwa Msanii Wa Maigizo Anaitwa Sophia Kanumba.
Binti Huyo Anadai aonekani Nchini...
Unaambiwa kwenye mbio za maisha ukipata nafasi ya kupiga hela kihalali itumie haraka sana , Kuchelewa ni hasara kubwa sana.
Huyu kijana alipata nafasi ya kuvuna chochote hadi baadhi ya viongozi...
Habari wana JF,
Hivi kwanini Orijino comedy dstv haina wafuatiliaji wengi ,Shida ni nini?
Kukosekana kwa Joti? Muda uliowekwe kwa ajili ya hicho kipindi?
Kwa kifupi hata viewers wa clips zao...