Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamaa anajitahidi kufikiria wakati wa kutunga, ana Melody nzuri. Atawafaa sana
0 Reactions
7 Replies
915 Views
Waigizaji maarufu wa Hollywood Marekani Johnny Depp na Amber Heard ambao walifunga ndoa na kutalakiana wako mahakamani kusikiza kesi ambayo Johnny Depp akitaka fidia ya 50 m $ kutoka kwa Heard...
8 Reactions
32 Replies
5K Views
Tukubali Dada huyu hata kama mnamponda lakin kuna namna moja au nyingine alikugusa kihisia, Hebu tupia picha yake iliyokugusaa Pia mwenye namba yake ani PM maana Ninaplan kuwa na project naye
5 Reactions
107 Replies
51K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT! Nauzungumzia huu wimbo wa Killy aliyomshirikisha Harmonize uitwao 'ni wewe'. Jamani, huu wimbo unachosababisha usitambe ni nini haswaa kama sio uchawi tu?!!! Melody...
7 Reactions
89 Replies
9K Views
Nimeikuta hii kitu mahali. Wakati maandalizi ya ndoo za maji yako mbioni huku jf let's us wish Maxence Melo happy birthday. Mods sina ugomvi na nyie.
21 Reactions
54 Replies
4K Views
Habar wakuu nimekua katika hali yakujiuliza na kujaribu kutafakar kwanin wasanii wa bongo flava au maigizo wakiniona sehem katika mazingira ya face to face hustuka na kusimamana kujaribu...
4 Reactions
80 Replies
5K Views
Hawa madogo naona wanatrend sana umaarufu wao unatokana ja nini mpaka wanapewa vipindi na kupewa dili mbalimbali
7 Reactions
43 Replies
5K Views
Wake wa Waziri wa Maji, Mhe Jumaa Aweso kutoka kushoto Bi. Zainabu Abdallah na Kauthari Tarimo wakifuatilia mjadala wa hotuba ya Wizara ya Maji kwa mwaka wa fedha 2022/2023
27 Reactions
144 Replies
19K Views
Bi dada kaolewa kimya kimya na habari ikawekwa kwa Mange na picha juu. Inasemekana kaolewa mke wa pili, na baba ndo muhusika wa wale watoto wawili wa mwisho wa bi dada. Nani baba wa first born...
2 Reactions
41 Replies
10K Views
Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani. Na nyie...
53 Reactions
647 Replies
97K Views
Albam iliosubiriwa kwa hamu ya Nguli wa Hip Hop Kendrick Lamar imetoka rasmi na kuzua gumzo kubwa miongoni mwa mashabiki wa Hip Hop dunia Kwa ufuatiliaji wangu mdogo nimeona watu wengi sana ni...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
The ruler of Dubai and head of global racing giant Godolphin, 72, was hit with the half-a billion-pound settlement in a 73-page ruling published on Tuesday. And as part of it, Princess Haya, 47...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hiyo show ya legends wasaniii wa zamani ni a very good idea na list ni kubwa sana hadi inafurahisha ila ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu wengi wao wamepoteza ramani vibaya mnooo wanalewa kupita...
7 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
tetesi Mara paaap ni kweli dongo janja amefunga ndoa na irene uwoya
6 Reactions
211 Replies
62K Views
Naongea kama mmoja wa mashabiki na wapenz wa mziki wa Maua Sama ninaoamini kabsa Maua ndo msanii mwny kipaji zaid kuliko wengine Afrika Mashariki(hii ni pamoja na nchi zilizojiunga juzi kati),na...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Bongo nyoso kweliiii. Hawa ndio mastaa wetu ambao tunasema ni vioo vya jamii. Lakini their life is fake to the ground...
15 Reactions
323 Replies
41K Views
Baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu tangu 2017 alipotoa album yake ya DAMN, Kendrick Lamar amerudi ameshatangaza ujio wake tena kwa kutangaza ujio wa album yake aliyoipa jina 'Mr. Morale & the Big...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Moja kwa Moja mi naanza na Lulu Elizabeth Michael picha zake nyingi unapata imagination kuwa ni mrefu kiasi lakini ukikutana nae kwa ule ufupi unakuwa disappointed 😞
18 Reactions
109 Replies
12K Views
Nimemsikia kwenye Xxl, Jahazi na sasa power breakfast. Kote nimemuona akifanya vizuri sana. Talent.
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz amekosolewa mitandaoni kwa kutumia bendera yenye utata katika video ya wimbo wake mpya wa Gidi. Bendera hiyo ni ya kundi la Shirikisho la majimbo ya...
5 Reactions
121 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…