Wakuu kwanini Yule mzungu aonekane ndani ya movie
Yeye ni Nani kwenye sector ya utalii?
Ni sahihi Kwa director kuwa ndani y movie?
Kwanini asinge wekwa mtanzania au kkiongoziwa nchi Fulani?
M...
BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI
Anaandika, Robert Heriel
Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake...
Naskiliza hapa kazi Ya Diamond Platnumz Wonder naona kijana anajua sana ana mziki mzuri kwa kweli, sijui wanaosema hajui kuimba wao wanaimba nini
Mcheki hapo akiimba live
maana naona kijana...
Mwanamuziki Maunda Zorro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (Alhamis ya April 14) baada ya gari alilokuwa amepanda aina ya VITZ kugongana uso kwa uso na lori la mchanga huko Kigamboni, Dar es...
Habari zenu wana na wanawake, kwa upande wangu namuona Dr Jose kama msanii bora wa muda wote kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki, wewe unadhani ni nani anastahili kuwa katika pendekezo lako
Katika kuendelea na uwekezaji msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz anakuja na investment ya ukumbi mkubwa wa burudani.
Arena hiyo itayoweza kuchukua mpaka watu 20,000 itakuwa na kumbi za...
Miaka ya 2000 huko ilizuka ghafla couple ya nguvu iliyobustiwa na magazeti ya udaku. Nature na Sintah..
Okei. Mapenzi huota kokote lakini hii combo mpaka leo siisomi ilikaaje kaaje.
Sintah...
Mada inajieleza.
Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake...
Kuna hii ngoma ya miaka kama 12 iliyopita ya Chris Brown ft Dr Dre, haikuwika sana ila bonge la ngoma beat yake naielewa kinoma kama nnavyoelewa I need doctor.
Muziki wa sasa hata siuelewi...
Mitandao mbalimbali ya Marekani imeripoti kwamba Netflix imesitisha kuonesha filamu mpya ya Will Smith (53) iitwayo ‘Fast and Loose’ kutokana na tukio lililotokea kwenye tuzo za Oscars kwa Smith...
Harmonize alikuwa na show nchini Kenya lakini kwa mara nyingine tena amekosa watu kama kawaida yake akifanya shows nje ya Tanzania.
Na alipojaribu kutoroka hiyo aibu aliishia kukoswa koswa na...
Tunamiss yule Diamond mwanamuziki. Tunammiss Diamond entertainer. TunammissDiamond drama boy. Kiukweli Diamond akipoa na muziki wetu unapoa. Diamond ni kama chameleon alivyokuwa anaubeba muziki wa...
Kijana anapeperusha vyema bendera naskia analipwa shows hatokei kafatwa hotelini mabaunsa wake wanaleta ubabe kamzengua hadi Omondi na Mike sonko, wanadai kuna holidays huko sijui ni Idd au msiba...
Kama inavyojulikana Diamond kuwa na mgogoro na baadhi ya wasanii wenzake pamoja na MEDIA kama Clouds FM na tv pamoja na EATV na radio kupiga nyimbo zake lakin na EATV kwa Sasa wanapiga ngoma zake...
Habari ya weekend wanajamvi. Nina ligi flani hapa nawanangu kijiweni. Naombeni mwenye kujua, anisaidie jina halisi la Nguli huyo wa Hiphop (Stamina)
Natanguliza shukran za dhati
Kiukweli nimesikitishwa sana na uandaaji wa kampuni hii ya BRITTS EVENTS iliyoandaa show ya Stuttgart Germany.
Kinachoniuma na kunisikitisha zaidi ni jinsi watu walivyoamua kujitolea kuja...
Salamu zikufikie,
Unajiita Mwamba, ni kwa ujanja wa nje uliofanikisha kumzima mpinzani baada ya kuangushwa vibaya ulingoni.
Wadau na walio timamu watakumbuka hili, Joh Makini na timu yake River...
Leo nikasema ngoja niangalie vya nyumbani nimefungua YouTube. Nikawa naangalia tamthilia moja ya bongo muvi, asa kuna sehem mama mjamzito amepigwa risasi basi watu waliomzunguuka wakaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.