Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ana miaka 21 mwanadada mswaziland anaeishi SA ni DJ TV personality, host na presenter, creative director huu wimbo wake Tanzania umebamba sana South sasa. DJs wa kwetu wana kujifunza sana kwake...
0 Reactions
0 Replies
998 Views
David Attenborough champion of the earth by UN! Ndio yule mtangazaji maarufu na pendwa duniani ambae inaaminika sauti yake inathamani ya USD dollar billions aliezaliwa huko uingereza mwaka 1926...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mazungumzo ya Kikwete na Mwanahabari maarufu alieleza jinsi alivyopata ushindi mwaka 2005, akaeleza mchango wa wasanii katika siasa za Tanzania. Anaeleza kwamba kwa kiasi kikubwa...
6 Reactions
67 Replies
12K Views
  • Closed
Kwani Uwoya na huyu dogo mvaa vikaptula wana shida gani? Japo wameondoka wote tarehe moja, ndege moja hawakuwahi kuposti picha pamoja, japo wote wako sehemu moja. Kila mtu anaposti kivyake yani...
5 Reactions
4K Replies
326K Views
Ni mwezi wa 4 huu siku hizi simuoni Jackline N Mengi akipost tena Instagram, nimemiss picha zake za Bata na motivational quotes zake.. Mwenye latest ubuyu kuhusu Jacky Mengi atugee
7 Reactions
119 Replies
17K Views
Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo...
2 Reactions
31 Replies
20K Views
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zainab Abdallah ameonesha utaalamu na uwezo mkubwa wa kushusha mistari huku akiwa amerelax kabisa. Binti huyo mrembo, ameonekana katika video inayosambaa katika...
3 Reactions
19 Replies
6K Views
Picha mbalimbali kuhusu msiba wa Maunda Zorro ambapo watu mbalimbali wamejitokeza kwa ajili ya kumsindikiza Mwimbaji huyu kwenye siku yake hii ya kuzikwa Aprili 16, 2022. Baba Mzazi wa Mwimbaji...
8 Reactions
54 Replies
8K Views
Hayawi Hayawi sasa yamekuwa, ilianza kama kamchezo kakuigiza kutokupeana support za kupostiana kati ya Rayvan na wasanii wenzake wawasafi lakini utetezi ukawa mwingi, Ikafuata mama yake Boss wa...
10 Reactions
120 Replies
13K Views
Nimesikitishwa sana na Kifo cha Maunda Zoro, vibao vyake ni vya enzi zangu nilivipenda sana. Nakumbuka mchumba wangu wa enzi hizo akiniimbia Nataka niwe wako. Ila nimesikitika zaidi kwa kuwa...
18 Reactions
177 Replies
20K Views
Wadau wa burudani nadhani mnamkumbuka uyu mtu nimesikiaa wimbo wa kikao cha dharula wa prof jay nikakumbuka hiki kipaji kilichojizolea umarufu kwa kuiga sauti za watu mashuhuri mbali mbali hapa...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanamuziki wa, Diamond Platnumz Akiwa Kwenye Interview na Kituo cha #BBCSwahili Jijini London Ametaja Sababu Ya Yeye Kutoshiriki Kwenye Tuzo Za Muziki Nchini. "Namshukuru Waziri Wa Sanaa Michezo...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Msanii tajwa fani ya muziki na filamu Baby Madaha aelezea changamoto zinazoua wasanii ktk fani zao ni za kimfumo. Baby Madaha anashangaa kuwa msanii wa umri wa miaka 36 hapa Tanzania anahesabika...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwanamziki wa Bongo fleva Omary Nyembo a.k.a Ommy Dimpozi hivi karibu ameachia song lake la Umeniweza baada yakukaa kwa muda mrefu bila kuachia anysong wimbo wake kiukweli ni mzuri kuanzia beat...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Muhuni ni muhuni tu, Wakati Bad Girl RiRi anaachana na boyfriend wake wa kiarabu tajiri wa mafuta na kuanza mahusiano na muhuni Rapper Asap Rocky wengi walishangaa na hawakumuamini Asap kama...
22 Reactions
166 Replies
11K Views
Harmonize ameamua kumnunulia mwanamke mwenye shape lake zuri kwa Tanzania bara na visiwani gari aina ya Land Rover Range Rover 2021 lenye thamani ya zaidi ya milioni 400 hapo bado ushuru! kuna...
8 Reactions
72 Replies
7K Views
Mrembo aliyeanza kujulikana kwenye video ya KWETU ya Rayvanny kama video vixen (LYYN)katika mahojiano na vyombo vya habari amefunguka kuhusiana na maisha yake pia na kusema aina ya mwanaume...
10 Reactions
53 Replies
4K Views
Rihanna na A$AP Rocky ni mojawapo ya couple kali zaidi katika tasnia ya muziki! Rihanna amekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wake A$AP Rocky kwa muda mrefu, kwa siri kabla ya kuthibitisha kuwa...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
Ule mpambano wa kukata na shoka kati ya Mikey Garcia na Errol Spence hatimaye umewadia. Errol Spence anatetea mkanda wake wa IBF dhidi ya Mikey Garcia. Mikey Garcia amepanda uzito mara mbili...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Back
Top Bottom