Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mtangazaji maarufu hapa nchini Daniel kijo amesema kuwa boom la chuo likitumika vizuri linaweza leta mafanikio makubwa sana tena sana kwa wanafunzi tofauti na watu wanavyo fikiri! Amesema yeye...
13 Reactions
141 Replies
10K Views
Huyu konde boy alimkubali sana JPM kama watanzania wengi walivyomkubali hadi akaamua kuchora bonge la tatoo mguuni Konde boy sio msaliti kama vijana wengi walianza kumnanga JPM alipofariki . Hii...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Kama ilivyo kawaida, kwenye maisha, kila mtu ana nafasi au zamu yake ya kung’ara na kutaradadi. Ndivyo ilivyo katika maisha ya kila mtu haijalishi taaluma ama kitivo. Katika ukanda wa Afrika...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Bodi ya Magavana ya Chuo cha Sanaa na Sayansi ya Picha Motion imesogeza tarehe iliyopangwa ili kuamua kuhusu uwezekano wa vikwazo dhidi ya Will Smith kwa kumpiga kofi Chris Rock kwenye sherehe za...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana body, Naomba kutoa duku duku langu kuhusu huyu jamaa anayejiita Daktari wa Kanumba kama ni daktari kweli au he is just an imposter anaye pose kama daktari na luckly Kanumba akamuaminia na...
6 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari wana JF... Kifo cha Star maarufu katika Upande wa movies kwa Jina la Steven Kanumba kimetikisa taifa kuliko ilivyowahi dhaniwa; Nakubali Kanumba was good na wengine wengi wanadiriki kusema...
25 Reactions
30 Replies
15K Views
Wanabodi, Japo binafsi yangu sii mpenzi wa bongo movies ila huu msiba wa Kanumba umeigusa familia yangu haswa wife na girls wetu watatu ni wapenzi wakubwa wa bongo movies. Baada ya wife...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Wababodi, Japo mimi sio mshabiki wa Bongo Movies, wife na mabinti ni washabiki (Father of 6!, 3 girls & 3 boys). Leo nimewahi home na kuangalia Clouds TV kipindi cha "Take One" na Zamaradi...
1 Reactions
71 Replies
20K Views
Wanabodi, Mwanamke kutoka Zanzibar kwa jina la Bi Nasra, aliyejitambulisha kama mke wa kwanza wa president wa kwanza wa Zanzibar, anashiriki shindano la Bibi Bomba la Clouds FM! Mwanamke huyo...
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Mawakili wanaochunguza sakata la Ronaldo kumbaka Kathryn Mayorga wanataka kuwahoji Wapenzi wa zamani wa Mchezaji huyo, inaelezwa kuwa miongoni watakaohojiwa ni Kim Kardashian, Paris Hilton, Gemma...
4 Reactions
263 Replies
27K Views
Msanii Zuchu aliamua kumtambia Shabiki yake kwenye mtandao wa instagram baada ya shabiki huyo kumwambia Zuchu kuwa alikuwa anamzidi uzuri na hadi sasa bado anamzidi uzuri... Zuchu baada ya kuona...
6 Reactions
62 Replies
7K Views
At their peak....MATONYA NA MB DOG,nani hatari zaidi?
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Msanii Ibraah kutoka Konde Gang ameweka rekodi ya kihistoria baada ya kuweka video ya wimbo wake mpya uitwao "rara". Wimbo huo umeweka rekodi ya kupata views zaidi ya laki tatu chini ya dakika...
5 Reactions
37 Replies
39K Views
Msanii kutoka Tanzania, Wakazi amesema kwamba Diamond Platinumz ni maarufu ila sio mzuri katika uiambaji. Kupitia ujumbe aliochapisha kwenye ukurasa wake wa Twitter, Wakazi alisema kwamba kuna...
9 Reactions
192 Replies
16K Views
Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Ken Walibora- Kidagaa kimemwozea Hayati Ken Walibora- alikuwa mwandishi wa vitabu vya fasihi kutokea nchini Kenya. Kwenye kitabu chake kimoja kinachoitwa Kidagaa kimemwozea alikuwemo mhusika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ikiwa ulidhani kwamba sakata la kofi lililotikisa 'dunia nzima imekwisha, hakika umekosea. Siku chache baada ya Will Smith kumpiga Chris Rock bila kutarajia katika tuzo za Oscar za mwaka...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Mcheshi Erick Omondi amekashifiwa kwa kula uroda na msichana katika hoteli moja jijini Nairobi halafu akakosa kutimiza ahadi ya kulipa binti huyo shilingi elfu ishirii na tano za Kenya...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Anaandika Afande Sele Nimeongea tena na Tcra muda huu wanadai kabla ya kuendelea na chochote kwanza nifute huo wimbo popote ulipo. Ingawa sijajua kosa langu na sijaridhika na makatazo yao...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Baada ya kimya cha muda mfupi, hatimayeJada Pinkett Smith amevunja ukimya baada ya tukio la mumewe kumpiga kibao Chris Rock kwa kumfanyia mzaha katika usiku wa utoaji wa Tuzo za heshima za...
5 Reactions
100 Replies
6K Views
Back
Top Bottom