Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Waandaaji wa tuzo za Oscar wanasema baada ya smith kufanya fujo na kumpiga Rock, aliombwa aondoke lakini akagoma. Oscar Academy wanasema watamchukulia smith hatua za kinidhamu kwa kufanya fujona...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Watu mashuhuri, wasanii na kila mwanamke na mwanamume ana hisia za mwili wake, lakini wanayoyapitia wasanii ni mengi hasa wakati wanatoa video ya vibao vyao. Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Will Smith(53) akiri kumruhusu rapa August Alsina(29) kutembea kimapenzi na mke wake Jada Pinket(50) Ikumbukwe mwaka jana mjadala uliibuka baada ya rapa huyo kusema alishakuwa kwenye uhusiano na...
12 Reactions
73 Replies
10K Views
Diamond wa Tandale bado kuwa msaani wa kimataifa au hajatoboa mipaka ya Dunia kama ilivyo kwa wasanii wa Nigeria. Vigezo changu kikubwa hana Show kubwa za kimataifa kama Davido na Wizikid. Hana...
15 Reactions
151 Replies
10K Views
Heshima kwenu wakuu. Unajua, nimejiuliza sana hili swali ila sijapata jibu ndani yake kuhusu huyu jamaa juu ya positions zote anazojaribu kuwekwa, kwa nini watu wanamkataa? NAWASILISHA.
6 Reactions
53 Replies
4K Views
Sijaona hata ka funcargo, Daah acha tuzisake ngawira
16 Reactions
273 Replies
58K Views
Msanii Anjela ni mgonjwa wa miguu na wakati anasainiwa tuliona akipewa ahadi atapelekwa India kwa ajili ya matibabu. Sina hakika hii ahadi ipo kwenye contract au la! Ambacho nasikitika ni kwa...
6 Reactions
72 Replies
10K Views
Moshi. Mke wa Mwenyekiti wa TLP, Agustino Mrema, Doreen Kimbi amesema hakufuata mali kwa mwanasiasa huyo, kwakuwa anayejiweza kiuchumi. Doreen ameyasema hayo leo Alhamisi Machi 24 baada ya ndoa...
11 Reactions
64 Replies
8K Views
Nash emcee, msanii wa hipHop. ‘‘Shujaa ndo amefika, na ameshinda vita, Nami nawaalika kumpokea shujaa… ’’ Hiyo ni mistari kwenye chorus ya pini iliyotoka hivi karibuni ya Nash emcee. Track...
12 Reactions
157 Replies
14K Views
Msanii wa kundi wa the longombas, Christian Longomba Amefariki Dunia huko Marekani baada ya kuugua Saratani. Pacha wa Christian, Lovy Longomba waliyekuwa wanaunda group la the longombas ametoa...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison. Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu. Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations...
5 Reactions
89 Replies
8K Views
Aliyekuwa Gwiji wa utakatishaji fedha aliyejipatia umaarufu mitandaoni hasa Instagram, anayejulikana Kwa jina la Hushpuppi amefunguliwa mashtaka mapya na waendesha mashitaka wa Marekani...
8 Reactions
54 Replies
5K Views
Mtunzi na mwimbaji mashuhur wa nyimbo za taarabu kutoka Zanzibar Khadija Omar Kopa amepasua mbarika kuhusu uhusiano wa bintiye Zuhura Othman Soud almaarufu kama Zuchu na bosi wa WCB Diamond...
1 Reactions
78 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema anafunga ndoa na Doreen Mrema, leo Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni, Kiraracha Mkoani Kilimanjaro. Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa...
6 Reactions
86 Replies
7K Views
Siku moja kabla ya kufunga ndoa Mwenyekiti wa TLP Taifa, Dk. Augustino Mrema amesema kuwa atajaribu kujikokota kuelekea Kanisani na kama itatokea ataishia njiani kutokana na afya yake kutokuwa...
7 Reactions
28 Replies
4K Views
"Siolewi na Mzee Mrema, hizi habari zinazozushwa na picha yangu kusambaza mtandao kuwa naolewa naye ni uongo na uzushi. Picha inayosambaa ni yangu niliipost kwenye page yangu watu wakaichukua na...
7 Reactions
63 Replies
5K Views
Joh Makini ndio Msanii Bora kuwahi kutokea, kuna sababu nyingi ambazo wengine wemeshindwa kuzifikia. Hii ni kutokana na umahiri wa huyu Mtu John Simon Mseke. Ofcourse kuna wengine wakongwe...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
BARAZA la Sanaa Taifa (BASATA) limeingilia kati Mgogoro wa ndani la Shirikisho la Muziki na kusimamisha uteuzi wa awali wa Msemaji wa Shirikisho hilo Steven Mengere . Aidha Baraza limetoa uamuzi...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Wapenzi wa Bongo Movie mnasemaje kuhusu huyu WELLU SENGO? Kuna watu anayeweza kutupa full historia yake?
5 Reactions
177 Replies
67K Views
Back
Top Bottom