Carola Daniel A. Kinasha ni mwanamuziki wa Tanzania anayefanya muziki wa Asili na akichanganya na usasa, Mwanamama Carola alizaliwa miaka ya 60 katika kijiji cha Longido.
Alianza kujishughulisha...
Wakuu Nimejaribu Kupata Katiba Ya Shirikisho la Wanamuziki Tanzania na Nikaisoma Hyo Katiba Yao, Hakuna Pahala Popote anapotajwa Mtu Kuwa Na Cheo Cha Mhamasishaji.
.
Katiba Yao Pia Ina Mapungufu...
Baraza la Sanaa (BASATA) limesema kuwa Msemaji wa Shirikisho hilo aliyeteuliwa, Steven Mengere asianze kutekeleza majukumu yake hadi hapo itakapoamuliwa na Baraza hilo.
BARUA YA BASATA KWA...
DON NALIMISON NALIMI (born June 28, 1980), known professionally as DJ. DON NALIMISON, is rapper, RnB singer, songwriter, and record producer. Born and raised in KAHAMA, TANZANIA, EAST AFRICA, his...
Hello jamii forum wote,
Natumai mu wazima,kwa wale walio log in hapa jf wakiwa na msongo wa mawazo ,basi tuzidi kumuomba MUNGU kila kitu kitakuwa sawa
Matatizo ni sehemu ya maisha ya mwanadamu...
Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini.
Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na...
wapi na wa wapi dereva awe msemaji wa wapishi, mchekeshaji awe msemaji wa wana muziki.... haya mambo yalifanyika kwa kukurupuka mno kwa kweli,
Kwanini Steve Nyerere anang'ang'ania sehemu ambayo...
Habari Wana JF.
Ukiacha kwamba huyo dogo kajipambanua na Utopolo kwenye remix ya Utopolo Tamu.
Dogo anajua sana na ni mfalme wa amapiano hapa TZ, chagizo langu kwa huyu dogo nwenye kunipa raha...
Malkia wa kiwanda Cha bongo movie kwa jina lingine anaitwa "maltida" ambaye pia yupo kwenye tamthiliya ya "Rebecca" inayooneshwa na DSTV amefunguka wakati anafanyiwa mahojiano na millardayo...
Humu leo sijui kama patatosha!
Nimekuwa nikijaribu kudigest sifa ambazo wadau wengi wamekuwa wakimpatia msanii Fid Q, kwamba ni mtu makini, mwenye upeo wa hali ya juu.
Kiukweli nimejitahidi sana...
Wasalaam
Msanii Wkazi Muziki anapanga kumuandikia barua Rais Magufuli barua kuwashitaki Steve na RC makonda kwa kuwaita wasanii Leaders Club kupitia instagram..
Baada ya wasanii wachache...
wakuu naamini wengi wetu humu huwa tunafuatilia vichekesho vya youtube kule hasa kutoka kwa wachekeshaji wa bongo .
Mimi binafsi huwa napenda short clips yani vichekesho vifupi vifupi ambavyo...
Msanii mkongwe wa filamu Steve Nyerere amedai yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao wanamiliki nyumba nyingi lakini hataki kuzionyesha.
Akiongea katika kipindi cha Uhondo cha EFM Jumatano hii, Steve...
Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri...
Duhhh....
Kwani anafaidika na nini hata afikie kutishia kwenda mahakamani..??[emoji848]Michango ya misiba/Mambo mbali mbali yanayohusu wasanii.
Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
"Sijiuzulu na wala sitoki, nina nia ya kuendeleza industry (tasnia ya muziki) ya nchi hii.
Amesema hayo Msemaji wa Shirikisho la Muziki Tanzania (SMT); Steven Nyerere, akiwajibu watu waliomtaka...
Jamaa anaimba SHIT tupu halafu anapata viewers hadi bilioni kupitia ujinga wake huko YouTube na ana wafuatiliaji si chini ya 20 milioni. Yaan video zake ndio balaa tupu video vixen wana mizigo...
Akihojiwa kwenye kipindi cha the Switch, Wasafi FM, alisikika akisema "huyo (yaani Ali Kiba) yupo kwenye game muda sana, mbona sasa hana media yake?"
Diamond akaendelea "mimi kunilinganisha na...
This is what I have been expecting from Zari , Sasa mastaa wabongo mtulie mjifunze maana ya reality show kwa Zari sio reality show zenu hizo fake za Instagram, can’t wait for this [emoji91]
Can’t...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.