Mimi Ni mfuatiliaji mzuri sana wa muziki hasa hasa muziki wa Bongo Fleva na hip hop. Kwa hapa Tanzania wapo wasanii wawili ambao wametamba Sana kwenye muziki toka enzi hizo mpaka leo hii bado...
Msanii Diamond anataraji kudondosha EP yake kesho yenye kifupi cha #FOA ambapo kirefu chake bado kitendawili hadi ifikapo kesho huku ikiwa imenakshiwa na rangi ya orange.
Ikumbukwe mara ya mwisho...
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?
Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa...
Hawa wote ni vijana waliofanya vizuri sana miaka ya mwanzoni mwa 2000 kazi zao zikiandaliwa na producer nguli P FUNK Majani, kulikuwa na mjadala huko nyuma kuhusu Ngwair 'Rip' lakini ndani yake...
Huyu director mi nahisi Kama upepo ndo kwanza umemuelekea anapiga hela nyingi Sana kutokana na demand aliyonayo kwenye music industry.
Yaani huyu jamaa ckuiz amekuwa wa Moto Sana when it comes to...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Grace Products, Dk. Elizabeth Nyamizi Kilili, jana Jumanne, Machi 8, 2022 alitwaa tuzo ya Super Women katika hafla kubwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es...
Ni Profesa Jay, Ni Rafiki Wa Wengi...
Ndugu zangu,
Zimenisikitisha sana, taarifa za maradhi yenye kumsibu ndugu yetu Joseph Haule, maarufu kama Profesa Jay.
Profesa Jay ni rafiki wa wengi. Ni...
Mzee wa kuahirisha matukio
Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja...
Tukio la tuzo za kili limeshapita,lakini vumbi lake bado linatimka,na chafya zinazidi kuongezeka.Kama inavyokuwa miaka yote lawama zimeendelea kuwepo,kunyosheana vidole,vijembe,kujigamba n.k kupo...
Muigizaji huyo maarufu kutoka tasnia ya filamu za Kihindi (Bollywood) aliyetamba katika filamu za 'Slumdog Millionaire' na 'Jurassic World' amefariki mapema leo akiwa na miaka 53
Alikuwa...
Hello wakuu Mimi si greater Thinker kama wadau wengine ila katika pita pita zangu mitandao nimekutana na habari kuwa Msanii wa kibongo Diamond Platinumz alitaka kudondosha EP yake siku za nyuma...
Muigizaji wa Tanzania, Wema Sepetu amesema baada ya mapito ya muda mrefu amebadili mfumo wake wa maisha na kwamba anafanya dua na kumtegemea Mungu katika mambo yote.
Hii ndiyo kauli yake: “Mimi...
Siku kadhaa baada y aliyekua mume wa florah Mbasha , Emmanuel Mbasha kumlipua nabii shilah kuhusu scandal yake ya utapeli kupitia neno la Mungu na kuahidi kufichua uovu wake wote pamoja na...
Huyu sista hunifurahisha sana pale anapokuwa ananarrate habari. Sauti nzuri, ana kasi na huwa hakosei kama mashine vile.Natumaini siku moja tutamsikia VOA, DW, BBC et al.
On other note: Regina...
Mimi siyo mtabiri ila album ya uyu kijana mistari ifuatayo huwezi kosa inavyoingia,ukiinama,ikalie ,rungu la kipepe,naingiza taratibu,unavyoidaka Na kuinyonya.
Itoshe kusema kijana kafika mwisho...
Katika mahojiano ya leo Meneja wa Diamond amedai Tetema ya Rayvanny imeingiza Dola bilioni 230 za Kimarekani, na kwamba Rayvanny ni tajiri na anaongoza.
Pesa hizo alizotaja Meneja SK ni nusu ya...
Russia's president Vladimir Putin was married to former flight attendant and they share two daughters together.
Vladimir Putin tends to keep his personal life away from the spotlight which means...
Ermias Davidson Asghedom kijana wa miaka (Agusti 15, 1985 – Mach 31, 2019), akijulikana kwa jina la sanaa kama Nipsey Hussle. Ni msanii wa sanaa ya muziki wa kufoka foka (Hip Hop) kutoka Calfonia...
Mtangazaji mkongwe wa mambo ya showbiz na udaku Tanzania, Maimartha amezungumzia juu ya taarifa za Rayvanny kuoma kuondoka katika lebo ya WCB.
Haya ndiyo maneno yake aliyoyasema wakati akihojiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.