Wanasema ukistaajabu ya Uwoya kuwa billionaire ikiwa hajulikani anafanya shughuli gani basi utayaona ya Diva kuolewa kwanza halafu ndio kuja kuvalishwa pete na kuposwa!
Mtangazaji Diva jana...
Habari zenu wadau,
Kwa siku za karibuni kumekuwa na mfululizo wa kesi za kubaka hasa kwa watu maarufu hususani wachezaji mpira na wasanii.
Inawezekana ikawa madai yao ni ya kweli au kuna kitu...
Enzi hizo Mako yupo kwenye kiti Lemutuz alikuwa mpambe haswaa walikuwa wanaitana marafiki wa kufa na kuzikana mtaani Lemutuz alikuwa anamuita mako Le commandant fidel Marshall...
Wakuu habari za muda huu.
Wakati wa nyuma kipindi cha hayati John Pombe, kulikua na vichwa viwili vilivyokua havikosi kuleteana maneno ya hapa na pale kwenye Instagram, yupo aliyempigania hayati...
Uonevu! Rapa mwenye ' swagger' za Ja- Rule Bongo, Rashid Makwilo ' Chid Benz' , anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa...
Brad Pitt amewasilisha mashitaka dhidi ya mke wake wa zamani, Angelina Jolie, juu ya mauzo ya hisa katika shamba la mizazibu alilonunua nchini Ufaransa.
Wawili hao walinunua sehemu kubwa ya eneo...
Rapa na muigizaji wa Marekani Kanye West amelalamika kuhusu majukwaa ya kusambaza muziki yanavyotesa wasanii kwa kuwalipa malipo duni kutokana na kazi zao.
Kulingana naye, majukwaa ya muziki...
Habari za weekend.
Awali ya yote natambua uwezo mkubwa wa baadhi ya members wa jf linapokuja suala zima la music hasa muziki wa kufoka foka(hiphop).Nimekuwa nafuatilia kwa muda sasa katika hili...
Kwa mtazamo wangu kipindi cha Power Breakfast kilichopo Clouds FM ndio kipindi chenye gharama kubwa za uendeshaji kuliko kipindi chochote cha Redio hapa Tanzania.
Idadi ya Watangazaji wa kipindi...
Mtangazaji na muigizaji, Mwijaku amefunguka sakata la Alikiba na mke wake Amina, akisema kuwa Alikiba hajaitelekeza ndoa yake.
Mwijaku amesema hayo Jumamosi Februari 19, 2022 wakati akizungumza...
Kwako Diamond...
Mimi shabiki yako kindakindaki nimekuwa nikizipenda kazi zako toka kamwambie, ila now days unaimba utopolo sikupangii cha kuimba ila naamini muziki mzuri ndio umefanya upo hapo...
Habari wakuu.
Huko Twitter msanii Nick Minaj amezua mjadala mkubwa kupitia tweet yake , ambayo ametupiga wanaume madongo ya kutosha kuwa tunajidaganya kudhani wanawake wanapendeza kwa ajili yetu...
Maua yapendeza kuona, Suleiman katika fahari yake yote lakini hakuvikwa vizuri kama Moja WaPo ya hayo Maua.
Itoshe kusema kwamba Jokate Ni ua Zuri lipendezalo.
" Her extremely beauty should be...
Habari inayowaka moto kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni Video inayoonyesha Gari ya Diamond Platnumz ikiwa imepaki, huku ndani ya gari hilo ikisemekana yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani...
Wanabodi,
Leo ni siku ya wapendanao, Valentine Day, hivyo nami nawatakia a Happy Valentines Day!.
Mimi ni Mzee wa Trends Readings, Siku ya wapendanao ya leo, kuna trends fulani naiona kwa...
Kubali kataa hujui kuvaa, siku nyingi nilikuwa na jiuliza kuhusu hilo jana nimeprove, hujui kuvaa, cheki Jux na Kiba wanavyotupia,najua chawa wake wamo humu kumtetea niueni ila hajui kuvaa
Leo tar 04 Septemba 2021, kada kindakindaki wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndg Petro Magoti amefunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu, mrembo Joyce Mvungi.
Kada huyu ambaye anafanya...
Aliyekuwa msanii wa Konde Gang ,Country boy wakati akihojiwa na Millard Ayo, Anadai mkataba wake ulikuwa unamruhusu kuachia nyimbo mbili tu kwa mwaka.
Naona anaanza kutoa siri za kambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.