Jamani nashangaa kuona hili hivi mnasema alikiba hajui kuimba kuliko zuchu?
nyimbo ya alikiba salute ya mwezi huu imekata vizuri tu.
na hii ya bibie inaitwa nyumba ndogo kazi kwenu nani mkali
How do you find it guys!!?
Mi binafsi nakubaliiii.
Haappy New yearrr to u alll. Love U
===
Zuchu Mwanamuziki anayechipuka , ukuaji wake umekuwa wa kushangaza.
Mwanamuziki huyu huimba kwa lugha...
Na kama ni Yeye je, kabla ya ile Segment yao ya Magazeti Kuanza pale Wasafi FM kila Asubuhi huwa Kwanza anavuta Bange au huwa anakunywa labda Gongo kidogo?
Simzungumzii Mtangazaji Mwenzake wa...
Mtumishi wa Mungu anaitwa Prophet Bushiri ni wa Malawi ana kanisa South Africa. Prophet Bushiri ni Mwanzilishi wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering Church (ECG) na the Shepherd Bushiri...
Hii ni orodha yangu. Tafadhali iheshimiwe
Ubora umepangwa kwa mfuatano wa namba:-
1. King Majuto (Pumzika Kwa Amani)
2. Mpoki
3. Joti.
Nimemaliza, prove my list wrong.
Orodha tayari
Uzi...
Naam,hayawi hayawi yaweza kuwa.
Katika suala la mshikamano katika jambo Fulani basi tofauti huwekwa pembeni na kuungana pamoja kutekeleza Hilo jambo kilolo mbele yenu.
Tangu taarifa za kuumwa...
.
By Sangu Joseph
.
Ebwana ni siku nyingine tena, natimiza ahadi niliyoitoa kwenye Andiko langu lililopita () juu ya maoni yangu namna ambavyo Boss Majizzo huenda akaitumia silaha yake mpya ndani...
Napendekeza wadau wa sanaa pamoja na familia ya Professor Jay wakae chini waandae tamasha la kukusanya pesa za kusaidia matibabu ya Professor.
Jay sio tu ni msanii mkali lakini pia anaishi vizuri...
Joseph Haule (born December 29, 1975), popularly known by his stage name Professor Jay, is a Tanzanian rapper, songwriter, politician and former member of the Tanzanian parliament for Mikumi...
Ila anatia aibu Jaman, kutoka kuwa First class, A-List super star hadi kuangukia pua, Wema ndo kawa wa kutangaza matangazo ya waganga jamani? Like seriously? Ina maana hata Hamisa Mobetto kampiku...
Muigizaji wa filamu za pono kugombea urais.
Majina ambayo wengi hufahamu anaitwa Rocco Siffredi, lakini kwa majina halisi aliyopewa na wazazi wake anaitwa Rocco Antonio Tano, ni raia nchini Italy...
Prof J ni moja ya watu maarufu kwa Level zetu za Tanzania. Pamoja na kuwa mbali na nyumbani kwa zaidi ya miaka 11 Lakini bado napenda kusikiliza Radio especially Clouds na Leo nimeskia kuwa Prof...
Huko kwenye ukurasa wake wa Twitter ameweka picha ya mwaka 2017 yenye logo ya timu ya Juventus halafu leo a anadai eti yupo Italy jambo ambalo si kweli!
Je, Mo ni laghai?
Heri ya Chrismas na Mwaka Mpya!
Nianze kwa kusema mimi siyo shabiki wa Bongo flavour napendelea sana Hip Hop na Jazz lakini hapa acha nitoe hii tathimini yangu kwenye Bongo Flavour kwa mwaka 2021...
Nikiwa nime chili knich knach maghetoni baada ya kumaliza mbanga za kuuza chai nyuma ya mic, nikawa naorodhesha baadhi ya Machalii waliofanya poa laana kunako mwaka 2018 fiade ya Bongofleva,
List...
Ni wakati huyu kijana akapewa heshima ya pekee kunako industry ya muziki. Tangu atoe ngoma yake ya kwanza "Dar Kugumu" mwaka 2018, ameendelea kutoa hits after hits, ngoma zote ni moto wa kuotea...
Kama tungekua nchi za wenzetu tukaanza kuandika kuhusu tattoo na wasanii basi tusingemaliza leo, maana karibia kila msanii ana tattoo na sio moja tu bali zaidi ya moja. Lil Wayne ana zaidi ya...
Kiukweli uwa nashindwa kuelewa kwenye utangazaji habari huwa wanaelekezwa wapresent hivi au lah!!kidogo sina ujuzi huko ndugu zangu mtanisaidia.
Mara nyingi uwa akipresent habari anapenda kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.