Kama muziki unaoupenda ni Bongofleva na umekua ukiufatilia toka kitambo, jina la Mikka Mwamba halitakua geni kwako sababu ni Producer Hodari ambae mikono yake ilihusika kuzisuka Hits kama ‘Barua’...
Kwa wale wanaoujua muziki na kuufuatilia tangu enzi bongofleva inaingia na kupamba moto miaka ya 90s watanielewa ninachomaanisha hapa.
Kulikuwa na maproducer wengi sana walifanya kweli na...
Kisa ni ukongwe ndo unafanya aonekane mfalme?
Ana album/mix tape ngapi?
Video,nyimbo?
nini anawazidi hawa wa sasa?
Nani anafuata nyayo zake ?
Wapi hizo ngoma zake zinapatikana kwa...
Sina mengi nisaidieni kumwambia, nampenda mwambieni nitatoa mahari anayotaka yeye, afu mwambieni ndoa tutafungia Saadani, mwambieni niko tayari na nipo kwa ajili ya kumpa Raha, siitaji kulelewa...
Wadau,
Nianze na motive yangu ya 2022 UTAJIRI NI SIRI NA SIRI NDIO UTAJIRI WENYEWE
Twende madani, mashabiki wazamani wa hip hop wanajua kulikuwa na vikundi vya hip hop matata sana na vilikuwa...
Salaam Wakuu,
Ile kesi iliyofunguliwa na Mjane wa Marehemu Ragnard Mengi, Jackline Mengi dhidi ya Mtoto wa Mengi na wenzake watano inataraji kuanza kusikilizwa katika mahakama ya rufaa mwishoni...
Diamondplatnumz atunukiwe PhD ya Heshima kwa kuipa bongo fleva Heshima ndani ya nchi na nje ya nchi
Bongo fleva imefahamika Africa nzima kupitia Diamondplatnumz tofauti ya miaka ya nyuma Msani...
Cheslie Kryst (30) aliyekuwa mlimbwende wa Marekani mwaka 2019 amefariki dunia. Kwa mujibu wa Polisi, alijirusha ghorofani Jumapili asubuhi huko Manhattan, New York.
Kabla ya kujirusha aliweka...
IMEVUJA ! Msanii wa filamu Bongo , Wellu Sengo , ' Matilda ' , licha ya kuwa na mtoto mdogo ambaye hajafikisha hata mwaka, inadaiwa tayari amenasa ujauzito mwingine.
Chanzo makini kinaeleza...
Mwanamuziki Dullama kabila amedai kuwa msemaji wa Yanga Haji Sunday Manara alimrubuni kuhamia klabu ya simba ambayo hapo awali alikuwa akiifanyia kazi.
Kupitia akaunti yake ya Instagram Dulla...
Taasisi ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi za mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye sehemu mbalimbali ikiwemo...
Mengi yameongelewa kuhusu kukosa tuzo za MTV kwa wasanii wote waliokuwa nominated toka hapa nchini kwetu... teams zimetupiwa lawama za kutosha.... wasanii wametupiwa lawama pamoja na wadau...
Vita vikali vinaendelea kati ya wadada wanaofanya vizuri kwenye tasnia ya filamu, Wema sepetu pamoja na Jackline Wolper, ambapo hivi karibuni mrembo wolper alipost kwenye ukurasa wake wa instagram...
Mabadiliko ya vipindi vya Redio yamekiondoa kipindi cha Amplifier, kutoka kwenye studio za CMG na muda wake uliozoeleka kutoka saa 1: 00 (usiku) hadi saa 3 : 00 (usiku) kwasasa kinarushwa studio...
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.
Jina lake ni...
1. Salim Ahmed Salim - ni mwanadiplomasia mkongwe wa kimataifa aliyewahi kupata nyadhifa mbalimbali kubwa ikiwemo ile ya ukatibu mkuu wa Umoja wa Afrika.
2. Filbert Bayi - ni mwanariadha maarufu...
Anaitwa Huddah Monroe! Amezaliwa mwaka 1995 october 10 huko Kenya. Elimu yake ni form 4 au high school kwa huko kenya. Amejizolea umaarafu kutokana na majarida ya ulaya na marekani kumtaja kama...
Mambo yanaenda kasi sana jamani.
Lile penzi moto moto kati ya Rayvanny na Paula binti Kajala huenda likawa limefika kikomo baada ya kila mmoja kuacha kumfatilia mwenzake huko mjini Istagram...
Wakuu habari zenu!
Nimeona kuleta hili kwenu kwa maana nipo nacheck movie ya marehemu bluce lee inaitwa game of death
Sasa katika hii movie bluce kuna sehemu alikuwa location anafanya scene ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.