Mbosso ni mmoja wa wasanii ambao umesainiwa chini ya lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Alisainiwa baada ya kuondoka kwenye bendi maarufu ya Yamoto ambayo walikuwa bendi...
Usiku wa jana kijana Harmonize kuna video zilisambaa na picha akionyesha kumsujudia Madam Ritha angalia hiyo picha hapo
Chanzo cha kumuabudu mwanadamu mwenzake anasema eti Madam Ritha baada ya...
Inshu nzito, waliopo Konde Gang wote walikuwa WCB, sasa sielewi huyu Dogo live anaimba kuliko Diamond, ana hit nyingi resently kuliko Mond, amezidiwa fame na Diamond, amezidiwa hela na Diamond...
Kitu ninachojaribu kukifikiria haraka haraka ni kuhusu hatima ya huyu jamaa yake Diamond ambae ni dj wake,Maana kila shoo sasahivi D anafanya na live band kitu ambacho ni habari mbaya sana kwa...
Msanii wa Bongo Flava, Harmonize ameandika kupitia mtandao wake wa instagram sifa za Bakhresa na kusema Bakhresa ni mchapa kazi na hachagui biashara yoyote na kumsifia zaidi kwa kusema hana hulka...
Mzee wa Bwaksi akiwa na Zungu Macha wana wimbo wao unaojulikana kwa jina la Kafubaa, mzigo huo wa Singeli unachezwa na kusikilizwa zaidi mitaa ya Uswazi.
Habari ni kuwa Staa wa Muziki wa Bongo...
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Paul Makonda amewatupia dongo wale wote wanaoshinda mtandaoni wakifuatilia kauli na maisha yake kwa ujumla..
Badala ya kulialia hovyo waende kufanya kazi.
Mtandao wa Top Charts wa nchini Nigeria umemtaja msanii Diamond Platnumz kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi katika wiki hii. Msanii huyo anakuwa wa kwanza kutoka Tanzania kuchukua nafasi hiyo.
Alisema mwisho wake wa kutukana itakuwa 31 Desemba 2018, watu wakajua kuwa mange atakufa ila kumbe laa ni ataacha udomokaya wake.
Shekh wa watu amepiga dua za kutosha mange akaanza withdraw...
Hali gani?
Kumekuwa na kasumba ya baadhi ya stars Bongo hasa wa muziki kufilisika mara baada tu ya ku hit kidogo, mpaka kupelekea watu wengi kudhani undergrounds wa Bongo wengi wana gundu.
Sasa...
Uchawa huu aisee. Alianza Baba Levo akadai angekua mwanamke angemzalia Plutnumz mitoto mitatu.
Sasa imehamia kwa Diva, katika moja ya post zake leo amedai Diamond ni Mungu wake wa pili.
"Mungu"...
Together with my Pastoral team, I took the COVID - 19 AstraZeneca Vaccine at RFH Health Care in adherence to Government and Medical recommendations for clergy and frontline workers as we combine...
Prof. J. Mzee wa Mitulinga leo ndani ya 360 amekili kurudi mchangani alikotoka baada ya kuiambia 360 kuwa mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani zile singo zilikuwa cha mtoto. Profesa huyo ambaye...
Staa wa muziki kutoka Nigeria Burna Boy @burnaboygram amefanikiwa kuujaza ukumbi wa O2 Arena London Uingereza katika tour yake ya Space Drift. O2 inachukua watu 20,000. Kwenye IG yake Burna Boy...
Kwenye post ya Muna love Instagram ambayo Muna love alikua anauliza kama akibadili dini na kuwa muislamu atapokelewa, msanii Alikiba alimjibu kwenye comments kwa kusema, "uislam ni dini...
Ni kupitia wimbo wake "Many Men" ambapo rapper 50 cents anasema.
" In nightmare niggas keep pulling tecs on me .
Psychic says some bitch dumb PUT A HEX on me"
Akimaanisha " katika ndoto zangu...
Muziki wa Rhumba leo umepata pigo baada ya Mkongwe wa Muziki huo Defao kufariki Nchi Cameroon
Sisi watu wa Tandika na Temeke kwa ujumla tutakumbuka sana kibao chake cha FAMILY KIKUTA ambacho...
Najua tukio hili wengi hatujalisikia kutokana na corona kuwa trend kiasi cha kuzima habari nyingi ili isikike yenyewe
Mapema ya mwezi april tarehe 2 Msanii wa muziki wa hip hop (trapper) TEKASHI...
Mwanamuziki namba moja Africa kwa sasa ambaye pia ni mfanyabiashara level za millionea Nasibu Nyange Abdul almaarufu Simba au Diamond Platnumz anakamilisha kuzindua club yake yenye hadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.