Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki...
5 Reactions
167 Replies
20K Views
0 Reactions
5 Replies
853 Views
Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana, tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu. Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda, hatimaye staa wa muziki Jennifer Lopez na muigizaji wa filamu za Hollywood, Ben Affleck wametangaza kuwa wachumba baada ya kuvalishana pete...
4 Reactions
55 Replies
5K Views
Nimi sio mpenzi wa mziki ila huwa naisikia tu redioni. Ni kati ya wanamuziki wachache sana wenye vipaji vya kurap pamoja na kina M.r bluu. Aliibuka vizuri sana kwenye mziki wa bongo fleva lkn...
3 Reactions
48 Replies
6K Views
Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!! Views milioni...
8 Reactions
95 Replies
8K Views
Brooklyn Beckham mwenye umri wa miaka 23 amefunga ndoa na Nichola Peltz. David amewazawadia wanandoa Jaguar ya umeme model ya 1954 bei yake ni £350,000. Baba yake Nichola ni millionaire huko...
16 Reactions
142 Replies
10K Views
Leo nilikuwa benki moja katika hali ya kushangaza teller aliyenihudumia alikuwa ni mwanadada Kajala. Kwa sababu za kibiashara inabidi jina la benki libaki kapuni. Hongera dada katika safari yako...
13 Reactions
64 Replies
12K Views
Huyu dada tokea apate mimba amekua anazurura sana. Kila siku anapigwa picha na paparazzi yupo sehemu tofauti tofauti. Hivi huwa anaendaga wapi? Au mimba yake aliipatia akiwa kwenye ziara 🤔...
6 Reactions
81 Replies
7K Views
Wadau, kichwa cha habari chajieleza. Mtangazaji Maulidi Kitenge hajaondoka Wasafi FM Radio bali amefurushwa kwa sababu ya safari zake za mara kwa mara nje ya nchi, hususan nchini Marekani. Kwa...
30 Reactions
164 Replies
29K Views
Uki unganisha dots kipindi Diamond Platnumz alivyokuwa na bifu na marehemu Ruge Konki Master alikuwa anamtukana sana pia baada ya Harmonize kujitoa Wasafi Konki Master akawa anamtukana mnoo...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Maisha yana kwenda kasi jamani.udongo unakula watu sana. Taarabu ya kipindi cha nyuma ilikuwa nzuri na ilikwenda sambamba na bendi miaka hiyo. Kuna kipindi taarabu ilikuwa na vijembe mpaka...
36 Reactions
166 Replies
26K Views
Wapendwa wana JF Leo ningependa tumkumbuke Hayati Nicholaus Zengekala ambaye alikuwa mwanamuziki asiyeona (kipofu). Ninakumbuka Nyimbo zake kama SOLEMBA, na JACK MTOTO WA NAIROBI Huyu ndugu kwa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Moja kati mabondia bora kabisa kuwahi kutokea. Binafsi huwa navutiwa sana na vituko vyake enzi hiyo. Vilivyonivutia sana ni hivi... Kwa mujibu wa Fat Joe. Siku moja Joe na Big Pun walibananishwa...
17 Reactions
53 Replies
11K Views
wadau wamjia juu hatari....
2 Reactions
65 Replies
19K Views
Msikilize mwenyewe: Akaulizwa: How old are you? Diamond: 31st 😎
16 Reactions
130 Replies
13K Views
Will Smith hataruhusiwa kuhudhuria Tuzo za Academy kwa miaka 10 ijayo, kutokana na kumpiga kibao mcheshi Chris Rock jukwaani wakati wa sherehe ya mwaka huu ya Oscar, The Academy of Motion Pictures...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Achilia mbali ongezeko la wingi wa waigizaji wa kike ndani ya bongo movie, ni wanawake wachache tu wenye kutambua thamani ya utu wao na hata kazi ya uigizaji walioamua kuifanya. Waliamua kuweka...
1 Reactions
25 Replies
13K Views
Mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa ya urembo (Miss Earth 2008), Miriam Odemba ameibuka mshindi wa pili katika fainali za mashindano hayo zilizofanyikia jioni hii katika ukumbi...
3 Reactions
29 Replies
12K Views
Back
Top Bottom