Utafiti huru ulofanyika Twitter kwa siku 5 mfululizo ambao uliuliza:
Kati ya wasanii wafuatao, nani alikuwa maarufu zaidi au nani kawa maarufu zaidi kwa muda aliowika?
Na matokeo yakawa high...
Mpira wa miguu haujakamilika bila kuwepo mawakala. Wao ni watu pekee wanaodhibitishwa na FIFA kusimama kama "mtu kati" katika uhamisho wa mchezaji na makubaliano ya mikataba yao. Hata hivyo...
Blog za Naija zinaripoti kwamba Onesho la Burna Boy limeuza tiketi zote 20,789 kwenye ukumbi maarufu wa Madson Square Garden NY kwa Mzee Biden
Swali ninalo jiuliza ni;
Je ni kweli anakubalika...
Wanasema mchawi pesa aisee. Wakati mtu unapambana upate hata ka corolla namba A, Bwana Erick MwaiRoS (Rick Ross) ameonesha umwamba baada ya kununua gari ya kijeshi Aina ya APC. Sasa sijui la kazi...
Nna uhakika asilimia zote huwezi kupata nyimbo mbovu za Jason Derulo na Chris Brown.
Sijui ni lini Dj Khaled atawakutanisha Chris Brown na Jason Derulo kwenye ngoma moja.
Binafsi hii...
Siku mbili tangu akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz iliporipotiwa kudukuliwa, akaunti hiyo imeondolewa na YouTube wenyewe kwa kilichoandikwa kuwa mtumiaji amekiuka masharti ya mtandao huo...
Kama Mataycoon wengine wanavyofufuka kwa kasi naona na Bongo Movie wameanza kutikisa Macho.
Ingawa wanasingizia kifo cha Kanumba ndiyo kimewamaliza ila kiuhalisia kilichowamaliza awali ni kukosa...
Kuchukulia positive au negative ni juu yake na Management yake ila kimsingi anaboa sasa na ndiyo ukweli wenyewe japo mchungu.
Dogo kazidisha kiki hadi umegeuka utoto hata anachokifanya kwenye...
Sakata la Steve Nyerere kuibua zengwe baada ya kuteuliwa kuwa Msemaji wa Shirikisho la Muziki nyuma yake kuna siasa ambayo inaendelea kuutafuna mgogoro huo.
Hii hapa ni video jinsi ambavyo...
Huyu jamaa alivuma sana na ngoma alizoshirikiana na ngoma na Marehemu Ngwair kama vile demu wangu na Mitungi.
Kuna muda wakawa na mgogoro ambapo ilisemekana Mchizi mox ndiye aliyeandika wimbo wa...
nimechelewa kuskiliza hii interview ya Kondeboy kwa ambao ni outdated news samahanini.
Hatuhitaji vijana wenye roho kama ya huyu jamaa, no wonder why our music is not doing well internationally...
Hawa jamaa walikuwa vizuri sana enzi za kundi la Nako2nako. Mfano Ibra nadhani alikuwa anakubalika kuliko hata G Nako.
Ila siki hizi siwasikii kabisa.
Hivi bado wanafanya mziki au waliachana na...
Najua wengi wenu wapenzi wa franchise ya The pirates of the carribean.
Na najua bila shaka mnaipenda kwasababu ya Captain Jack Sparrow ambayo ni character inayochezwa na Johnny Depp.
Ila kwanza...
Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha!
Moja kwa moja niende kwenye hoja!
wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu...
Imekuwa ni tabia ya Wasanii wengi kutumia Ngada wanapopata umaarufu hali inayopelekea vipaji vyao kuzimika kama mshumaa jangwani.
Hivi karibuni kumekuwa na tetesi za Msanii darasa kuwa katika...
Vigezo vyangu
A. Mashairi
B. Ujumbe
C. Heshima ndani ya Mashairi
D. kucheza na jukwaa
E. Muda wa Mziki wake kudumu
Hizo index mbele zimetokana na Calculator ambayo imeshusisha umri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.