Anasema yeye hayamuhusu mnalalamika sana ACHA AKAE KIMYA ,kwenye kava aliweka picha ya mwalimu nyerere hali iliyomuudhi sana mtoto wa mwalimu akamuamuru atoe hiyo picha kwenye cover maana baba...
Baada ya mchezaji mpira bwana Samatta ku posti twitter akizindua kampeni ya CocaCola akiwa kiwandani hapo, mashabiki kupitia ukurasa wake wa Twitter wamemshambulia kuhusu kiwango chake kwa...
Katika mambo ya kinywaji nyakati za mwanzo za utawala wa awamu ya tatu, Jeneral Twaha Ulimwengu alikuwa amekaa mahali akinywa katika kikao chake hicho alionekana kumlaumu sana Raisi wa wakati huo...
Tulizoea kuwaona hawa wawili wakiigiza comedy zao pamoja...lakini sasa hivh namuona Tin white yuko bize sana na Mkojani..kuna nini kati yao?
Ilipendeza sana wakiwa vile pamoja Ringo na Tin White...
Tangu nimeanza kufuatilia mziki huu wa Kitanzania, Bongo fleva nimesikiliza nyimbo za wanamuziki wengi.
Lakini huyu mwanamuziki Ana taste flani ukiwa unamsikiliza iko unique Sana. He knows how to...
CEO wa Wasafi, Diamond Platnumz amedai kuwa kitendo cha baadhi ya watangazaji na waandishi kushikilia kumzungumzia na kumuandika kwa Mambo mabaya, cha kujipotezea muda kwao.
Kwenye exclusive...
US actor Joe Lara, best known for playing Tarzan, is presumed dead after a plane crash in Tennessee.
The 58-year-old is among seven people believed killed when a light aircraft crashed into a...
Asalaam alaikum ndugu zangu, habarini za usiku. Kwanza poleni na majukumu yenu ya siku nzima na Mungu awape nguvu na afya za kuwawezesha muamke mkiwa fit katika majukum yenu ya kujenga Taifa...
Wadau tuache malumbano ambayo hayana tija ebu tujivunie cha kwetu Diamond ni mwanetu. Kijana wetu mdogo wetu mtanzania mwenzetu ebu tujivunie vya kwetu tofauti zetu tuweke pembení.
Hakuna mtu...
Channel ya Youtube ya msanii Ibraah wa Konde gang imefutwa (Terminated) inasemekana kuna vitu amekiuka ikiwemo copyright na wataalamu wa mitandao wanasema account ikishakuwa Terminated hakuna...
"Wakati Mzuri leo katika ofisi Ndogo za Chama na katibu wa NEC, Itika na Uenezi Mpya wa CCM ndugu Shaka Hamdu Shaka.
Nimetumia wakati huo kumngata sikio juu ya matarajio yetu kwa chama na...
Mabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida.
Ningekuwa Jaqy mapema...
Huyu Mama si ndiye aliyekua anamshutumu Hamisa kumpeleka mwanae kwa Rayvanny , Kajala huyu huyu alimpeleka Rayvanny polisi kisa anatembea na mwanae ambaye ni mwanafunzi, leo hii anamuachia tena...
Boomplay na Hitlab wametangaza Shindano la kuvumbua vipaji kidijitali kwa wasanii Chipukizi linalomshirikisha nyota wa muziki wa Marekani mwenye asili ya Senagali, Akon. Dar es Salaam, Tanzania...
Msanii Emmanuel Eribariki Munis (Nay wa Mitego), amepata ajali ya bodaboda wakati anawahi kwenye Interview.
Kwa sasa msanii huyo yupo katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni akipatiwa matibabu na...
Kazaliwa Marekani Ana miaka 64 Ni muAdventist Ni mwandishi mzuri sana sio kwamba nampigia promo,hapana isipokuwa mahubiri yake yamenivutia Sana hasa katika program yake ya amazing facts show...
Habar Wana Jamii Forums
Leo nimeona nijaribu kutoa wazo langu juu ya Mambo yanayoendelea Nchini kwetu juu ya bondia wetu Mzalendo Alie kataa kupeperusha bendera ya nchi nyingine ambazo ni nzuri...
Nataka tumzungumzie kidogo huyu fundi muziki kutoka WCB yaani Rayvanny aka Chui.
Rayvanny ni msanii anaeujua muziki haswa na anaweza kuufanya muziki vile anavyotaka. Kipaji chake sio cha nchi...