Ray C amenikera kisa hivi anasema Diamond ana roho mbaya. Seriously?
Kumbukeni Harmonize kabla hakuwa mwanamuziki wakina Rita walimkataa umeona eh? Ni Daimond ndio alimleta kwenye muziki akafika...
Nawaza Tanzania yetu ya sasa jinsi inavyozidi kupoteza dira jinsi kiki za mitandaon inavyozidi kuipeleka puta nchi ukija huku sakata la Diamond na wanaharakati ukienda kule bifu la Mange Kimambi...
Diamond Platnumz ni mwanamziki mkubwa duniani,
Niko Ulaya na nimeshuhudia popote panapopigwa muziki wa afropop basi ni Nigeria, South Africa, DRC na Tanzania, nikisema Tanzania basi ni muziki wa...
Wakuu Msanii wa muziki wa hip hop kwenye muziki wa Bongo Fleva, Chemical wiki hii amehitimu masomo yake ngazi ya Masters of Arts in Heritage Management ambapo hatua hiyo imemfanya kupata...
Kuna kampeni inaendelea kumuangusha kijana Diamond kwenye tuzo za BET. Ukiliangalia naona limekuwa lenye upinzani ambao umeingiliwa na vyama vya upinzani kwa ajili tu siasa ziwepo sijui.
Sasa...
Habari zilizoko chini chini ni kwamba, chama tawala kinajiandaa kumtumia Platnumz katika kampeni zake za uchaguzi mkuu 2015..
Zaidi ya Tshs 300 milioni zimeandaliwa kumlipa huyu msanii ili...
NYOTA wa Klabu ya Crystal Palace na timu ya Taifa ya Ufaransa, Mamadou Sakho na Mkewe Majda Sakho wamewasili Bungeni kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali za Kibunge. Mamadou Sakho ni Balozi...
FLAVIANA KATIKA POZI(PICHA HII HAIHUSIKI YA CHINI NDIO ILIYOZUA UTATA)
XXX PRODUCTION HOUSE{Flaviana}
Mwana mitindo maarufu dunian toka Tanzania anaejulikana na jina la Flaviana...
Diamond Platnums amechaguliwa kuwania tuzo za BET , akiwa ni yeye pekee tokea pande za Africa mashariki....
Kipengele hcho yupo sambamba na mkali Burna boy tokea Nigeria..!
Kinachoshangaza ni...
Wakuu Habari Ya Machweo,
Ila Kuna Makampuni sjui hayajui Kufanya Marketing. Yaani mpaka sasa sio Coca Cola wala Watu SBL Wanaomiliki Bia Ya Serengeti au TBL wanaomiliki Bia ya Kilimanjaro...
Hello guys hope mko poa wote kama kuna ambae hayuko poa Mungu awe naye.
Nimeona mijadala mingi sana kwenye mitandao watu wakifanya kampeni ya kutompigia kura diamond platnumz katika tuzo za BET...
Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima...
Wanajamvi Habari.
Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote...
SIJAITUPA TASNIA YA HABARI.
Kuna watu walipendezwa mno na kipaji changu katika tasnia ya habari, na hivyo kunisihi kutoacha kufanya jambo licha ya kuendelea na tasnia ya siasa sasa...
Jamani...
Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai.
Jambo...
Kiwanda cha burudani katika eneo la Afrika Mashariki kimeendelea kuchangamka zaidi kadri miaka inavyokwenda. Kwa sasa hakuna ubishi kuwa Afrika Mashariki inatoa upinzani wa kueleweka kwa nchi za...
Kuna watu huwa wanaosema celebrity fulani ndio role model wangu au utasikia mtu flani ndio mentor wangu.
Hajamfahamu tu side B yake ilivyo.Watu ni wanafiki sana na good pretenders hasa hawa wenye...
Wana JF,
Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion kwa...
Anguko la CCM, iwapo litatokea kama dalili zinavyoonyesha, litakuwa na serious far-reaching repercussions, mojawapo itakuwa ni kuathirika kwa watu wote ambao kwa namna moja au nyingine, walijitoa...
Wanaharakati wa Twitter hasa kutoka CHADEMA wakiongozwa na Kigogo 2014, Hilda Newton, Martin M.M, Boniface Jacob wanaendesha kampeni ya chuki kwa Diamond asishinde tuzo ya BET AWARDS 2021...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.