Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwigizaji Chopa mchopanga kwa jila halisi Jumaa Issa Chikoka amekula shavu
10 Reactions
96 Replies
13K Views
Poleni na Majukum watanzania Leo nimeona nije na ili swala la Uyu Mama Diamond kujiona Mungu mtu kwa watoto wa watu Hivi serikal yetu ikowap imtetee uyu mtoto Rais Mama Samia Naomba kama...
6 Reactions
67 Replies
8K Views
Habari za jioni Wana JF wenzangu Nimekua nafuatilia show za wanamuziki na matukio mbalimbali yanayoendelea nchini kwetu napenda nitoe tafakuri yangu juu ya hizi shows wanazoalikwa wanamuziki...
11 Reactions
65 Replies
6K Views
  • Closed
Anaitwa Juma lokole ni mtangazaji mwenye elimu ya darala la saba kwa wanaoojua tangu akianza michezo michafu akiwa mdogo sana huko sinza hawashangai sana issues zake, kijana huyo alikuwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni kama mtu anayevaa kanzu na barakashia alafu mkononi anachupa ya bia ama msokoto wa bangi. Si sahihi kabisa. Habari za wakati huu ndugu zangu wa hapa JF. Leo naomba tujadili hili suala la...
7 Reactions
68 Replies
12K Views
Moja wapo ya Kanuni za Utangazaji hasa wa Runinga ni Mtangazaji Kuuvaa Uhusika hasa wa Jambo fulani unalolitangaza ili Hadhira nayo ikuelewe. Tuko katika Kipindi cha Majonzi cha Kushangaza...
5 Reactions
74 Replies
10K Views
Jina WCB ndo jina maarufu la kisanaa Kwa sasa.....Diamond Platnumz hajatokea from no where , nakumbuka mwaka 2010 nikisikiliza radio free Africa kulikuwa na kipind cha kushindanisha wasaniii na...
17 Reactions
47 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni Jijini Dar es Salaam linamshilikia mfanyabishara maarufu, Marijan Abubakari maarufu kama Papaa Msofe kwa tuhuma za mauaji. Habari zinasema kuwa Papaa Msofe...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Anaandika Zari ... Understand that this is very difficult for me to do. There have been multiple rumors some with evidence floating around in ALL SORTS of media in regards to Diamond’s constant...
34 Reactions
471 Replies
62K Views
Earl Simmons ajulikanaye kama DMX alizaliwa tarehe 18 December 1970 huko Mount Vernon, New York, Marekani. Wazazi wa Earl Simmons (DMX); Arnett Simmons na Joe barker walijaliwa kumpata mwanao...
8 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomi Campbell becomes a mum at 50 as she shares photo of newborn baby The supermodel shared a picture of her newborn daughter today and wrote: “A beautiful little blessing has chosen me to be...
8 Reactions
45 Replies
4K Views
Habari za kushinda wakuu. Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Grand P katika pozi Kiboko ya Grand P anaitwa Eudoxie Mtot mkali akiwa paris, shukrani kwa Grand P
10 Reactions
167 Replies
19K Views
Wahenga wenzangu wa zamani nadhani mtakua mnamkumbuka dada kama si mama ambaye alipata kuimba kua dunia ina mambo...ooh mwanangu dunia ina mambo ..dunia hii mama lukumba lukumba dunia ina mambo...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena...
39 Reactions
43 Replies
5K Views
Korean drama imeteka soko la dunia sio tu huku kwetu bali ni duniani kote Korean drama zinaonekana.Hii imepelekea waigizaji wa Korean drama kulipwa pesa nyingi mno.Wengine umaarufu wao umekua...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Unaukumbuka msemo wake mmoja? Weka hapa tuone. Na kama unamfahamu na bado upo kwenu kwa baba na mama mpaka leo kaka/dada unazingua.
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakulungwa? Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe. Please help me to understand what's going on? Asanteni . -------- Jibu: Ni...
11 Reactions
14 Replies
4K Views
Licha ya ndoa yao kuwa one of the biggest wedding ever iliyowahi kutokea South Africa, wanandoa maarufu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kutoka South Africa , Somiz (47)& mohale...
6 Reactions
176 Replies
17K Views
Ukweli ni kuwa jamaa sasa anaanza kupata matatizo kila unaemsikia hawamzungumzi kwa jema na wengine wamefika mbali kwa kusema msanii Diamond ameanza kupata laana arudi haraka kwa mzee Abduli...
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Back
Top Bottom