Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hiki ndio kinachoendelea huko Twitter na mtandao wa change Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others This is a call to BET Awards hosted and produced by Black...
24 Reactions
721 Replies
51K Views
Huyu Papa Msofe nilikuwa namsikia sana na kumjua kama mfanyabiashara maarufu sana. Leo Nimeona kwenye gazeti la The African eti Papa Msofe ambaye jina lake kamili wanasema ni MARIJANI MSOFE ni...
3 Reactions
197 Replies
74K Views
Mziki wa Bongo fleva umefika pabaya, Vijana watatu na lebo zao wameamua kuua mziki, badala ya kufanya mziki wa biashara wameamua kufanya biashara ya mziki, kikubwa ni kuingiza pesa bila kujua wapi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Anaandika Millard Ayo "Mwimbaji Staa wa Bongofleva Ben Pol amefungua shauri la talaka Mahakamani dhidi ya Mke wake Anerlisa ambae ni Raia wa Kenya ambapo kwa mujibu wa taarifa kutoka chanzo cha...
15 Reactions
146 Replies
19K Views
Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na...
7 Reactions
83 Replies
9K Views
Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Mh Godbless Lema ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa wapo katika mchakato wa kuondoa kazi/videos za Diamond Platnumz katika mitandao ya YouTube na Facebook...
14 Reactions
158 Replies
14K Views
Ilikuwa 1986 Legends paying respect kwa legend mwenzao RIP [emoji120] the Brown Bomber.. Hapa Nawaona Joe Frazier Muhammad Ali, Sugar Ray Leonard Wakuu endeleeni kuwataja Wengine Kama Mnao Wajua
1 Reactions
4 Replies
747 Views
Mtangazi wa Wasafi FM kituo kinacho milikiwa na Joseph Kusaga amefunguka wazi yeye awezi kamwe kumtafuta msanii yeyote yule amfanyie interview hasa Nandy. Mtangazi Lily Ommy amesema wazi kabisa...
7 Reactions
101 Replies
12K Views
Kuna sauti ya kike huwa inasoma Classfieds(mfano yale matangazo ya vyuo na shule) pale Cloudsfm kwa ubora wa juu kabisa, matamshi mazuri+sauti nzuri corporate. Nadhani hakuna msoma classfieds...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Hamjambo wanajamvi, Kama heading inavyotanabaisha, naomba kumjua huyu mbunge mwenye sauti ya kuvutia bungeni, na safari yake ya kisiasa.
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady. Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema...
3 Reactions
45 Replies
11K Views
Habari waungwana! I hope wote mpo salama! Ni muda sasa takribani miezi 10 member ONTARIO haonekani tens humu!!! Nimefuatilia nimegundua Last seen ni January 13 2018. Mwenye kufahamu acc mpya...
2 Reactions
133 Replies
25K Views
Wakulungwa inakuwaje? Kwa wale mliowahi kukaa na kuishi mitaa ya kariakoo au mpaka sasa mnaishi hapo Kariakoo naombeni mnijuze kwa wale mnaojua hii kauli ya watoto wa Mjini akina KINGKIBA wa...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Hii ni taarifa nyeti sana tena iko motomoto.,kwa sasa Harmonize ndio tishio kwa Diamond na WCB. Hivyo kwa sasa WCB hapanogi tena muda umefika kijana amekua anahitaji empire yake. Kutokana na...
7 Reactions
76 Replies
16K Views
Huyu mtu inawezekana ni saa sita kasoro, akili zake za kipuuzi sana hakafu anajiita mlezi wa waimbaji wa injili? Labda mlezi wa madanguro. Ndio maana Flora alijikata haiwezekana aligundua anaishi...
6 Reactions
60 Replies
10K Views
VITA YA VIEWERS NA TRENDING KWENYE YOU TUBE. Baada ya Ali Kiba kuachia nyimbo yake ya Ndomboro na nyimbo hiyo kutrend kuanzia audio, dance akiwa na mwanae pia video yenyewe sasa official Zuchu...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Tuanze 1.EAST COAST Wametoa mbunge FA 2. Hard blasters Walitoa mbunge Prof Jay 3.weusi Wametoa DC Nick wapili 4. Daz nundaz Wametoa mateja mnawajua 5.Tmk Wametoa diwani mkubwa fela 6. WCB...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Kiukweli nawakubali sana wcb ila wanakoelekea naona wanatuharibia maadili maana jana nimefedheheka sana. Jana nlikuwa nacheki hii video na mtoto wa ndugu yangu ambae huwa ananiuliza maswali sana...
4 Reactions
108 Replies
17K Views
Kisema kweli hawa vijana ni wabunifu. Ndio maana nzima ya sanaa. Hebu check video ya jibebe kuanzia sound, color mixing mpaka kwenye lighting.
4 Reactions
33 Replies
7K Views
First of all najua wewe ni member wa Jf Kwa sababu Ur a graduate and "Every Tanzanian Graduate is presumed to be a member of Jamii Forums until proven otherwise" Back to my topic. Nikki wa Pili...
35 Reactions
74 Replies
12K Views
Back
Top Bottom