Msanii wa kizazi kipya Diamond Platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote katika nchi hii!
Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari...
Jina lake halisi ni Lee Ji Eun na amezaliwa mwaka 1993 alitoa wimbo wake wa kwanza akiwa na miaka 15 tu na tangu hapo hakurudi nyuma hata sekunde.
Watanzania wengi tulimtambua baada ya yeye...
Ni wasanii wa bongo freva ambao ukiachilia mbali mond, kiba, konde. Wana wafuasi wengi Sana kwenye mitandao ya kijamii.
Hiyo inaashilia ukubwa wao na ni kiashirio cha kwamba wanakubalika sana...
Rais wa nchi ya Marekani Joe Biden akiwa na familia yake Mei 22, 2021 wameondoka kutoka Ikulu ya White House kuelekea Camp David Jimboni Maryland kwa mapumziko.
Mapema kabla Rais Biden...
Wakati sintofahamu ya uanafunzi wa mtoto mzur Paula bado ikiwa imepamba Moto , nyota wa Bongo Fleva anayeikamatilia YouTube. Kwa sasa Rayvanny mnyakyusa kupitia ukurasa wake wa Instagram amempost...
Whoever knows. Is that the case? Ila poa tu, maana hili tangazo lao jipya la SimBanking ni tamu kinoma.
Sasa sijui ni yale maskendo yake ya dudu la yeye au vipi?
Awe makini? Au mnasemaje wadau?
Habarini Wana Jf
Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz...
DAR ES SALAAM:
MJANE wa aliyekuwa mfanyabishara bilionea Dk Reginald Abraham Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ‘K-Lynn’ hana namna zaidi ya kupambana jino kwa jino kortini na watoto wengine wa Mengi...
Leo siku ya kutoa heshima za mwisho kwa Jemedari wetu JPM wilayani Chato, Baraka Mwakipesile, maarufu kama ‘Baraka Magufuli’ amepewa nafasi ya kuonyesha kile ambacho alikionyesha siku zote hata...
Habari za usiku wana JamiiForums hope wote ni wazima.
Siku ya leo, masaa machache yaliyopita msanii kwa jina la Rajabu abdul A.K.A Harmonize ameachia wimbo wake uitwao "attitude "...
Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa.
Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond...
Sijui ni kwanini wcb wanachukua magenious wa muziki coz ukiangalia safu yote pale wanajua mziki
Nimeangalia list nzima pale hakuna mbovu hata mmoja
Nimeangalia
Diamond
Harmonize
Mbosso...
The transfer of 2.25 million shares in the company, which makes the iconic John Deere tractors, was disclosed in a regulatory filing on Friday with the Securities Exchange Commission.
The filing...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram mtoto mzuri , mwenye umbo matata na mwenye asili ya kimamtoni Paula wa Kajala amethibitisha kuwa sasa yupo kwenye penzi zito na nyota wa bongo fleva ambaye pia...
Ukiangalia shoo za wasaniii wa bongo wakiwa stejini utakuta kuna vijitu vinaenda kuwatuza wasanii kwa kuwapatia hela na msanii utakuta anapokea au anamwagiwa kwa steji yake.
Tofauti naiona kwa...
Dr. Louis Shika Kid amepokea sehemu kidogo ya mpunga wake $60m kama shilingi bilioni 130 na zaidi za madafu. Dr. Shika amesikika akisema ''Tutaelewana''. Sasa amehama makazi na sasa anaishi makazi...
Kwa hapa Tanzania wasanii hawa tungewafananisha na Nandy, Quick Rocca, Rommy Jones au Shilole. Kwenye futiboli tungeweza kuwaita viraka maana ukiachana na uigizaji wao mzuri pia wana uwezo mkubwa...
Habarini wanajamvi wenzangu.
Bila kuzungusha Wala kupepesa macho niende moja kwa moja kwenye maada ya kuwa RAYVANNY ni Lulu ambayo hatutoipata Kama hatutaipa thamani inayostahili.
Hii Ni...
Bodi ya wakurugenzi Microsoft inachunguza tuhuma za Bill Gates kutembea na mfanyakazi wa kampuni hiyo miongo miwili nyuma.
=======
The board used an external law firm for a ‘thorough...