Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative...
Baba ana watoto wawili mmoja bado yuko nyumbani(Ray vanny) anapata support ya familia kwa kila kitu na mwingine(HARMONIZE) ameamua kwenda kujitegemea kimaisha anajitegemea kwa kila kitu(jeshi)...
Sikupata nafasi ya kusikiliza audio ya KELEBE ya RAYVANY....
Basi nkaona si mbaayaaa kuangalia video nipate pia wasaa wa mashairi pia.
LAHAULAAAAAAAAA......
Pengine ndo mziki mzuri kizazi hiki...
Wimbo unaitwa SORRY NOT SORRY. Mpaka sasa nimeskiliza kipande cha Nas tu, navuta pumzi nimsikilize Jay. Licha ya bifu lao au mgongano kuisha toka miaka ya 2006 lakini hadi leo hii, wapenzi wa...
Miaka ya nyuma huyu jamaa alitamba na kibao "Elimu ni biashara tutasomaje?" Sijamsikia kwenye muziki siku nyingi na sijui yupo wapi na anashugulika na nini?
Hii nyumba yake nyingine kainunua hajajengewa na Serikali anaishi hapo kisiwani (Martha vineyard) Kuna hali ya hewa Safi imezungukwa na bustani Ina vyumba 7 kila chumba na bafu lake, hekari jumla...
Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa.
List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa...
Hii ni baada ya masharti ya hovyo ya Sheria za Basata za kuruhusu wimbo upigwe redioni ama uonyeshwe kwenye TV .
Ney amesema atatunga na ataimbia mitaani na ikiwezekana atasambaza mtaa kwa mtaa...
DMX ambaye jina lake la kuzaliwa ni Earl Simmons amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 50
Mnamo tarehe 3 Aprili 2021, alilazwa katika Hospital ya White Plains iliyoko Jijini New York ikielezwa...
Baada ya kelele nyingi mtandaoni kuhusu Diamond kuishi nyumba ya kupanga na wengine wakisema hana nyumba.
Ameendelea kuwajibu kupitia insta story, kwanza anawakumbusha ana mjengo south africa...
Mtoto wa Muhubiri maarufu TB Joshua, Serah Joshua leo anafunga ndoa na Brian Moshi wa Sinoni mkoani Arusha. Picha wakiwa wanatoka katika nyumba ya Mapadri wa Parokia ya Moyo Safi wa Bikira Maria...
Wakuu habarini za muda huu. Uzi sio mrefu sana.
Kwa heshima na taadhima naomba leo ni mlete kwenu kijana huyu kutokea South Korea aliyezaliwa mwaka 1987 huko Seoul.
Mambo mengi kama maisha yake...
Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Joseph Kimario ‘Master Jay’, ameweka wazi mpango wake wa kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu, Sara Kaisi ‘Shaa’.
Master J amesema Shaa atakuwa mke...
Msanii wa Bongo Fleva anayependa kiki Bongo, Hamorapa amekamatwa na polisi, leo Jumamosi, Mei 8, 2021, katika Ukumbi wa Hotel ya Kebbys, uliopo Mwenge, jijini Dar es Salaam wakati akizungumza na...
Ndoa ya moja hivi karibuni kutoka katika kabila la WAZULU imekuwa gumzo baada ya Msichana mmoja kuolewa kwa ndoa moja ya kijadi na Wavulana wawili Mapacha kuwa waume zake.
Sasa swali ni kuwa...
HUYU NDIYE LEE BYUNG HUN
Kama umeangalia IRIS kipindi kile inaoneshwa ITV basi huyu jamaa utakuwa unamfahamu.
Kwenye IRIS alitumia jina la Kim Hyeonjun agent wa South Korea aliyesalitiwa na...
Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.
Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.