Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwaufupi sana ningepata nafasi ya kuwa baba wa huyu mtoo... Ningemnyoa hio nywele (tena kipara) kwa miezi sita..... Ningempeleka shule zetu fulani wakongwe tunazijua wenyewe Asingejihusisha na...
11 Reactions
60 Replies
4K Views
Moja kati ya wasanii wachache wa Hiphop nchi hii naoweza kukaa na kuwasikiliza ni Stereo aka Singasinga aka Chundabadi. Katoa album kali sana inaitwa Experience, naweza sema ni kati ya album...
8 Reactions
66 Replies
8K Views
Last born kutokea WCB anaendelea kutikisa nyavu za Bongo Fleva baada ya kutengeneza rekodi mpya huko Boomplay. Ile EP yake ya I AM ZUCHU imeshafikisha streams Milioni 10 Kwenye App Ya Boomplay...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Kilimanjaro Music Award bado ipo? Je Sponsor bado ni Kilimanjaro Premium lager? Kuna award zozote za music , film or media kubwa Tanzania kwa maana ya mikoani au taifani? Asanteni
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Michael Douglas kwa uchungu amesema isingekua Anne Kirk asingepata mafanikio aliyoyapata maishani mwake.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu Zuchu anaenda kuwa kioo cha Utunzi wa Nyimbo za kuchochea maendeleo maana ana Melody Kali sana pamoja na Utunzi wa Hali ya juu, najua NANDY ataiga tu na yeye kutoa maana anatembeleaga upepo...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wadau na wana wa humu Naomba kujua kidogo kuna huyu ndugu hapa Amani kwa kaka voda milionea huwa naona anatajwa sana na wasanii kuna nyimbo kama ya jay mo na langa walimtaja sana kwenye...
4 Reactions
60 Replies
11K Views
Miaka kadhaa nyuma nikiwa naangalia mahojiano kati ya Mtangazaji na Mwanamuziki Mkongwe Mzee Zahiri Ally, kupitia ITV (kama sikosei maana ni muda sasa)...nakumbuka jibu la Mzee Zahir baada ya...
10 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu nawatambulisha Kwenu Waziri Wa Tamisemi. Adv. Ummy Mwalimu, Masha'Allah Shingo Shingo Kweli Wallah
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Inakuwaje Huyu Bidada amlilie Mbwa Hivi, Huyu mbwa itakua alikua anampiga deki vizuri [emoji3][emoji3][emoji3]sio kwa kuvimba macho uko Aiseeeeh [emoji3059][emoji3059]
0 Reactions
58 Replies
5K Views
Nimeona wasanii wamejiongeza kwa kwenda kumuunga mkono mama Samia kupewa uenyekiti wa CCM. Nimependa ubunifu waliofanya, TShirt ni nzuri na zinaonyesha wapo tayari kumuunga mkono mama Samia. Kwa...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwanadada na mfanya biashara Anerlisa , ametishia kumchukulia hatua za kisheria aliyekuwa mume wake, Ben Pol kutokana na madai kuwa amekuwa akimchafua kwenye mitandao ya kijamii. Anerlisa amepanga...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Star wa Bongo Fleva anaetrend na attitude leo kaenda Nigeria kukamilisha shooting ya video ya nyimbo 2 alizoimba na Burnaboy na Wizkid. Safari ya International ndio kwanza imeanza. Tukae mkao wa...
9 Reactions
59 Replies
6K Views
Ushindani ni kati ya kibuyu na aliye kichonga, sasa kibuyu inaonekana kinampa shida sana aliye kichonga. Aliyekichonga hivi sasa anahaha namna ya kuvunja hicho kibuyu lakini anashindwa. Sasa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
For the first time nakumbuka I set my eyes on idris ( through Tv) , akiwa katika show ya BIG BROTHER miaka kadhaa iliyopita. I was so impressed with his acting skills , I call it acting coz most...
11 Reactions
94 Replies
11K Views
Hawajamaa walikua more than motivational speaker! Walikua wanazungumza mambo ambayo yanagusa na kuibadirisha Jamii in a positive way! Ukisikiliza nyimbo hii unaona kabisa utofauti wa mahusiano...
1 Reactions
40 Replies
16K Views
BEN Pol bila muziki na kuwa staa, angeingiaje kwa mrembo wa kishua, Anerlisa Muigai? Mtoto ‘mkare’ halafu ana kisu kikali, wazazi wake pia wana mawe ya kutosha. Ukiwa mwanamuziki mzuri huwezi...
19 Reactions
67 Replies
10K Views
Viatu ambavyo mtindo wake ulibuniwa na kuvaliwa na mwanamuziki Kanye West vimeuzwa kwa $1.8m (£1.3m) katika mnada ikiwa ni bei ya juu zaidi kuwahi kununuliwa . Viatu hivyo aina ya Nike Air Yeezy...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
“So proud to call you my woman…..its official,” ameandika staa huyo wa filamu na muziki kwenye picha inayomuonesha akiwa na mpenzi wake aliyoiweka Facebook. Wakati huo huo, Hemedy ametangaza ujio...
2 Reactions
94 Replies
42K Views
Watu na ma boss zao wakila bata
23 Reactions
116 Replies
20K Views
Back
Top Bottom