Freddie Mercury alizaliwa King Stone Zanzibar na kukulia visiwani humo kabla ya Wazazi wake kuhamia India na baadaye Middlesex England
Kwenye ulimwengu wa burudani jina lake linatambulika kama...
Wandugu japo mimi sio mhenga lakini huwa nina mtindo wa kusikiliza nyimbo za zamani hivyo nimeskiliza nyingi sana hata nilipowahi kuwa dj ujanani nilizipiga na mzee wangu anazo nyingi.
Sasa kwa...
Leo nimeukumbuka ule wosia wa Jide kwa Watanzania endapo atafariki kabla ya Ruge na Kusaga. Namaanisha huu > Kimenuka: Lady jay Dee afunguka, Atoa wosia wake siku akifa - JamiiForums
Humo...
Jackie (sijui inaandikwa hivyo) yupo jela huko China kwa kesi ya kukamatwa na dawa za kulevya. Miaka kadhaa sasa.
Ni video vixen. Fashion Model. Slay queen. Paper chaser na hardcore japo mrembo...
Haikuwa rahisi.. Ulikuwa ni ugomvi mzito.. Pesa ikashinda.
Kinje alimsaidia Jacky ku-maintain maisha classic ya mjini, career yake ya mitindo/music na kumpatia exposure..
Mengi alikuwa ana ofisi...
Majani anasema mtoto wake alimkataa, ila hasemi ilikuwaje wakafika hali hiyo.
Majani anasema kwenye radio kuwa mtoto wake kazaliwa na mama asiyestahili.
Majani anaitangazia dunia kwamba binti...
Amefariki jana, akiwa na umri wa miaka 51. Ni rap aliyekuwa na pdiddy kwenye kundi la Bad Boyz. Ngoma yake iliyomtambulisha na ambayo ilinifanya ni mjue ni like wooh.
Amefariki dunia baada ya...
Geneveive Nnaji mwenye miaka 40 Ni moja wa waigizaji wanaoheshimika zaidi nchini Nigeria na kiwanda cha uigizaji cha Nollywood.
Nnaji Ni muigizaji asiependa makuu Wala Kiki.
Nchini Nigeria...
Kitu kimoja kuhusu pesa nyingi: Hufunua undani wa mtu katika uhalisia wake....!!! Hata wewe ukizipata leo tutakujua tuu.. Waswahel wanasema pata pesa tujue tabia yako....
Shule ni muhimu sana...
Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya
Ninachojiuliza zamani...
Mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Kajala na mwanaye Paula wamehojiwa kwa saa kadhaa polisi na kuachiwa kwa dhamana wakidaiwa kusambaza picha za utupu zinazodaiwa kuwa za msanii wa Bongofleva...
Taarifa nilizonazo ni nwamba Msanii Harmonize Amehama alipokuwa Anaishi Kwenye Nyumba Ya Ghorofa Huko Mbezi Karibu Na Masana Hospital.
Mzee Mwenye Nyumba Yake Eng. Usiri amelalamika Kwamba Msanii...
Nilivoelewa mimi ni kama aliteuliwa Waziri lakini badala ya kufanya kazi ameishia kuoa hadi kufikisha wake wanne...
Pia hizo sifa za kufanya kazi vizuri alizopewa ni kama za kinafiki - Jafo ndo...
Nimemsikia sana huyu jamaa lakini nimekuwa na wasiwasi kama ni professional psychologist. Namuona kama ni motivational speaker hivi.
Naomba kujua wasifu wa elimu yake.
Majizzo katia sana aibu, Kaweka Hisia kwenye Professional.
Aliulizwa swali kwamba ku trend YouTube, Instagram kunakufanya kuwa msanii mkubwa? Jibu lake alikua sahihi kwamba sio hivyo as Msanii...
FAHAMU MACHACHE USIYOYAJUA KUHUSU DIAMOND PLATNUMZ NA JINSI MAMA YAKE ALIVYOMPIGANIA
Jina lake halisi anaitwa Nasibu Abdul Juma maarufu kama "Diamond Platnumz", alizaliwa tarehe 2, October mwaka...
Alka Yagnik sio jina maruufu sana hata kwa wale wanaofatilia sana movies kutoka india.
Huyu Mama ndiye muimbaji wa hits kubwa kama kuchi kuchi hota hai (na nyimbo nyinginezo zote za kwenye hiyo...
Huku penzi lao likiwa limeghubikwa na mikiki mikiki ya hapa na pale hata hivyo mwanadada huyo aisyeishiwa na vimbwanga ameonyesha kuwa yupo pamoja na Rayvann Kwa shida na Raha .....
Kupitia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.