Rayvanny ameitwa Kituo Kikuu cha Polisi (Central Police) akishtakiwa na Harmonize kuwa amemdhalilisha mitandaoni.
Nitawapa updates soon
Rayvanny na baba Levo wakitoka kituo cha polisi cha...
Msanii Baba levo anefunguka leo akiwa kwenye press conference yakutangazwa kuwa balozi mpya wa Soka bet amesema baada ya kushinda hii kesi aliyoshitakiwa na Harmonize atamfungulia mashitaka...
Nimeona Demand notes kutoka kwa My learned Brother J. Msemwa akisema kwamba atawafikisha Mahakamani wale wotee waliosambaza picha ya mteja wake anayejulikana kwa Jina Harmonize, Tembo au Jeshi...
YES, kwa vigezo vyovyote, hawa wasanii wawili, Konde Boy na Ran Vany, ni watoto. Sio kiumri pekee, lakini hata kimuziki.
Katika umri, ni daraja moja na watoto weeeengi waliopo Bongo Fleva hivi...
Ayana Williams mkazi wa Texas nchini Marekani hatimaye ameamua kuzikata kucha zake baada ya takriban miaka 30.
Ayana aliweka rekodi ya Guiness mwaka 2017 kwa kuwa na kucha ndefu zaidi, wakati huo...
Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda.
Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna...
Katika hali ya kustaajabisha recorded video call na picha za sehemu za Siri za msanii harmonize zavujishwa;
Inasemekana aliyekuwa girlfriend wake (bongo movie) akishirikina na maasimu wa msanii...
Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi.
Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto...
Kwa wadau wote wa FAJI na waliokuwa wapenzi wa Gazeti la JITAMBUE. Mke wa Hayati Munga Tehenan na wana FAJI, watafanya kumbukumbu ya kifo cha MUNGA TEHENAN. Shughuli hiyo itafanyika katika msikiti...
WANAWAKE wengi wanapenda kuonekana warembo, wenye sura nzuri, maumbo yaliyogawanyika vizuri kiunoni, vifua vizuri na makalio. Kwa bahati mbaya, katika uumbaji wa Mungu huwezi kumpangia namna...
Naona Team nzima ya WCB imeamua kuja kufanya kitu cha tofauti hapa nchini katika Soko la Mziki! Nikipimia wingi wa mashabiki walio nao na wanavyokubarika naona hii inakuja kuwa zaidi ya...
KUFAULU mtihani wa kidato cha nne kwa mtoto wa muigizaji maarufu Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Sonia George aliyepata Division One, kumeibua gumzo kubwa kwenye mitandao ya kijamii ambapo wengi...
Vita Kali Kati ya nyota wa Mziki wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Konde Gang Harmonize na Mkali wa bongo fleva na mmiliki wa label ya Next level music Rayvanny au Vannboy mtu mbaya mtu mbadi...
Moja kati ya principle yangu ya Maisha ni kutoingilia ugomvi kati ya mtu na mtu..Kama ugomvi haunihusu, huwa nakaa neutral kabisaa maana unaweza kujitoa muhanga halafu kesho ukaumbuka.
1. IBRAH...
Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao.
Ni ajabu kwamba hata...
Huku kukiwa bado kuna fukuto kubwa la kuvunjika Kwa penzi lake na Kajala, Harmonize amejikuta kwenye vita nzito na mwanadada presenter Maimartha Jesse.
Eeh bhana eeeh mwanadada presenter...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.