Baada ya yule kauzibe kupigwa kibuti cha nguvu na Kajala.
Penzi limerudi upya na sasa limekolea nazi.
---
Ni couple ambayo imekumbwa na vizingiti vya hapa na pale so bado inaenda kimya...
Mpaka sasa naona nyimbo zilizotolewa na maomboleza ni nyingi ila hii ya Rosa Ree Kigodo inilize walahi, ya Wasafi sijaelewa sana japo imesheheni wasaniii kibao
Unaionaje Mtu wangu, hii hapa chini:
Label ya WCB wasafi ni label kubwa sana yenye wasanii wanaotukisa Africa mashariki,
Ni label ambayo ukienda nchi kama Rwanda watu wamekariri mashairi ya kila nyimbo za Diamond na Zuchu
Ni label...
Moja kati ya taarifa inayo-trend kwa sasa mitandaoni ni kuhusu msanii wa filamu Kajala Masanja na msanii wa muziki Harmonize ambao inasemekana penzi lao limefika mwisho kutokana na baadhi ya...
Hivi hawa dada zetu wana matatizo gani mbona vitu vidogo kuelewa wao huwa vinawapa tabu sana
Hawajui kuwa Harmonize na Rayvanny wemewageuza uwanja wa kiki na kila mmoja anacheza kwa staili yake...
Nawasilimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tz.naona clouds wameanzisha promo ya praise and worship kwa mama.
Ni hivi huyu mama hahitaji promo imetokea tu watu wengi kumpenda kama nyota za...
Mara nyingi wanapotajwa Manguli wa Muziki wa Rege Duniani sidhani kama hata jina la Eric Donaldson litakumbukwa....Mara nyingi atatajwa Bob Marley, Peter Tosh, Burning Spears, UB 40 n.k.
Nguli...
awali alifunga ndoa yake ya kwanza na mpenzi wake amon na kupata mtoto mmoja lakini hivi sasa amefunga ndoa tena na mtu mwingine
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwamba "Sisi vijana tuache majivuno,kama ni pesa Ruge alikuwa nazo kuliko msanii yoyote yule. Kama ni umaarufu Ruge alikuwa maarufu kuliko msanii yoyote yule,Kibonde alikuwa na pesa kuliko msanii...
Galam galam Aptii...
awali ya yote napenda kuitambulisha thread hii itakayokuwa inatukumbusha na kutupatia habari za Nyota mbali mbali wenye hadhi hapa Ulimwenguni, ama wawe wamefariki au laa wapo...
Mmh! Ila kuna watu wana bahati zao mjini, shostito kasota jela miaka 8 katoka Hata Mwaka hana watu washachukua jiko, khaa. Wenzangu na mie akina chakubimbi tutaishia kuroga na kuiba waume za watu...
Wakuu
Baada ya p square kuzinguana na kutengena (sina hakika kama wamerudi) kila mmojawapo akawa anatpa singo kivyake kama solo artist
Sasa basi kati yao yupi anafanya muziki mzuri na anaetamba...
Msanii wa Rap na mwigizaji, DMX amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kupatikana na kosa la kukwepa kodi kiasi cha dola milioni 1.7
DMX ambaye jina lake halisi ni Earl Simmons alikiri...
sina mda wa kuwasalimu
Kupitia video fupi aliojirekodi mwana music wa zamani Vanessa mdee AKA vee money,,, Ametuambia kua yeye alipata tatzo la macho akiwa mdogo lilopelekea kutokuona kwake...
Wasaalam wana Jf.
Msanii wa muziki bongo fleva almaarufu Kama harmonize ameeleza kuwa atagombea Ubunge kuonesha heshima kwa hayati JPM baada ya kumpa maagizo hayo kabla ya umauti kumfikia...
Wana JF kwanza niwasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano,Lengo la uzi huu ni kujuzana ni rais au marais gani ambao ulitokea kuwapenda
Mimi naanza na my favourite presidents;
-JM Kikwete
-Vladimir...
Wakubwa Salaam,
Kama title inavyojieleza, napenda kujua historia ya huyu mwamba aliyetikisa kwa umwamba miaka ya nyuma yuko wapi kwa sasa? Alifariki? Lini? Akiwa na Umri gani?
Kama yupo ana umri...
N!xau #Toma ni mzaliwa wa Namibia katika kabila la San ambao wengi ni Bushman. Alikuwa hajui miaka yake. Kabla ya kuanza kuigiza, alikuwa hajui chochote kuhusu maisha ya kisasa “ Modern...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.