Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Ndugu zangu, hasa wale wapenda mziki mzuri. Njooni hapa tusaidiane kushangaa, tumewakosea nini Weusi? Au ni mimi ndo nimezeeka? Au matarajio makubwa kutokana na majina yao? Mimi naona ni kelele...
8 Reactions
119 Replies
12K Views
Habarini wakuu, Heading isomeke "Matarajio yangu juu ya ujio wa album mpya ya Dizasta Vina (The Verteller)" Cc Wand Paw Binafsi, tangu nilivyomfahamu huyu mtu wa kuitwa Dazasta Vina miaka...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
Heshima kwenu wana jamvi, Leo nimeona nije na hili. Katika kufanya uchunguzi wangu nimegundua kuna wasanii wazuri na wakali sana hapa nchini ila hawajapewa heshima yao. Hii ni orodha ya wasanii...
3 Reactions
52 Replies
6K Views
Wakuu Nikamtazama bwana Yoweri Museveni wa pale Uganda Kisha nikamtazama Uhuru Kenyatta Nikaja kumtazama Paul Kagame , huyu kidogo nikashtuka misimamo yake inarandana sana na Hayati...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Habari wanajamvi hope mu wazima wa afya,l tupo kwenye majonzi ya msiba mzito kwa taifa na watanzania kwa ujumla,hakika kila nafsi itaonja mauti Hatuna budi kusahau Ili maisha yaendelee Nijikite...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Hallo wana jf, yule mdada Nilimmandi kidizain alivokuwa star TV. Sahiv yupo wap,? Kaacha utangazaji? Family anayo?
0 Reactions
134 Replies
24K Views
Wakuu, kama uzi unavyojieleza hapo juu, napenda kujua umiliki wa DIZZIM naona kabisa kua nayo ina iwekezaji wa Diamond Platniumz ndani yake. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
48 Replies
15K Views
This young man is a good artist sijui kwanini hakubaliki sana kwenye contemporary bongo music. Nimeusikiliza wimbo wake 'umetuacha imara' kama tribute to the late JPM nikagundua he's a smart...
14 Reactions
127 Replies
14K Views
Ni miezi imepita toka kusambaa kwa VIDEO ikiwaonesha wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @officialnandy na @billnass wakiwa faragha kitu ambacho kilizua gumzo kubwa sana mtandaoni. Jambo hili...
0 Reactions
32 Replies
9K Views
Ukiucheki ule wimbo unaonesha waafrica watumwa wa waarabu akiwemo Mbosso mwenyewe na kuna ishu za watumwa kuchapwa n.k Kwa asiye na shule au upeo atasema sawa! Kwan kuna shida gani. Lakin ile ni...
4 Reactions
33 Replies
4K Views
Dk. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM Akifurahia Sikukuu ya Krismasi akiwa mapumzikoni nyumbani kwake Bukoba Mkoani Kagera. Anawatakia Kheri ya Sikukuu ya Krismasi na Mwaka Mpya Watanzania wote.
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Kiukweli msanii rayvanny mziki wake au kile anacho kiimba kimechokwa kwakweli yaani staili niile ile habadiliki anaimba utoporo tu Fatilia nyimbo yake korona,kifo, nyimbo zake zinachosha...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
KWANINI SITAIMBA MUZIKI WANGU KWA LUGHA YA KISWAHILI? #DON NALIMISON Mungu HAKITAKI KISWAHILI katika maisha yangu maana ni lugha ya Wachawi wa Kiarabu. Nikiwa Darasa la Tano mwaka 1994 mtihani wa...
20 Reactions
77 Replies
6K Views
Naanza na Msanii Roma Mkatoliki. Salute kwake kwa msimamo wake usio na shaka kutetea haki, umoja na ustawi wa taifa letu. Natamani Mama Samia amkaribishe nyumbani tena aachane na wanafiki.
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Siku hizi TBC inapendeza unapoangalia Aridhio
9 Reactions
124 Replies
60K Views
Kisanga kilitokea katika kanisa moja eneo la Buchinga baada ya majamaa kufokea vikali mtumishi wa Mungu kwa madai alikuwa akiwapendelea akina dada katika mahubiri yake. Mdakuzi alisema kwamba...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Rosa Ree Chemical Stosh Pinky Tammy the Baddest Cindy Rulz Frida Amani Chiku k Mimi mkali wangu ni Stosh coz huyu dada anajua kudondoka na midundo ya aina zote hasa ya tamaduni
6 Reactions
56 Replies
9K Views
RAPA Hormorapa aliwahi kutoa ngoma “Kiboko ya Mabishoo”, alipigwa tafu na Mfalme wa Temeke, Sir Nature. Hivi Harmorapa ana ukiboko gani wa mabishoo? Kuna mdada, mrembo sana, demu tu. Ukimwona...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Afande amemlaumu sana Mungu kwa kutuonea Waafrika. Ameshauri Watanzania na Waafrica kuachana na dini za wazungu tuamini mizimu yetu na jua. Amesema hayo akishangaa kwanini Mungu aliyepewa...
12 Reactions
138 Replies
21K Views
Back
Top Bottom