Huu mzima?
Kijana ambaye huonekana karibu sana na @rayvanny na mara nyingine huonekana akimpiga picha erismzava ameeleza ukaribu wake na Rayvanny na kueleza nafasi yake kwa @rayvanny na pia...
Kuna jina linatrend sana Instagram na YouTube CHIKUMBALAGA, huyu mwenye akaunt hiyo anajua kabisa Si uungwana kabisa kumrekodi Chikumbalaga na kumtumia kupata pesa wakati ukijua ni mgonjwa...
Naamini sasa hizi dini mwenye pesa haambiwi kitu, yani kuna muda huwa hata natamani kuslim maana hawa wenzetu wanazingatia sana maadili ya mwanamke hasa kwenye mavazi , hebu angalia hiyo picha...
Wasanii maarufu wa Nigeria Burna Boy na Wizkid wameshinda tuzo za Grammy za mwaka huu wa 2021.
Burna Boy ameshinda tuzo ya kipengele cha kuwa na Albamu bora ya muziki wakati Wizkid ameshinda...
Kuna uwezekano mkubwa bi Sandra kuwa ndiye anayechochea suala la udini ndani ya wasafi.
Huwezi kuamini yani ,kisa Rayvan mkristo bi Sandra kaamua kumkataa kimtindo kwa kutomfollow ,na ukichunguza...
Nimemsikia Joseph Kusaga kwenye mahojiano fulani siku chache baada ya kifo cha Ruge, akisema sasa ataingia full na kutekeleza majukumu ya kuiongoza team ya CMG kama alivyokuwa akifanya Ruge
Kauli...
Hey fellas, can someone explore or explain as why Breezy has interests in tech issues, stuff like parallel universe as portrayed in Instagram posts.
From his collabo with Justin beiber in NEXT...
Huyu kijana kwa sasa ni mtayarishaji wa mziki ambaye ana run kwa sasa. Anajua na mziki wake unabadirika badirika.
Baadhi ya ngoma alizogonga ni
Solo - OMG
Ona - Lulu Diva ft Rich Mavoko...
Mchekeshaji maarufu nchini Kenya Eric Omondi amekamatwa dakika chache zilizopita kwa kosa la kusambaza 'maudhui chafu' kwenye mitandao ya kijamii.
Eric, ambaye awali, alikuwa amepewa onyo kali na...
Habari,
Mvumbuzi wa kanda za kaseti Mholanzi, Lou Ottens amefariki wiki hii akiwa na umri wa miaka 94.
Mabilioni ya kaseti zimeuzwa duniani tangu zilipobuniwa miaka ya 1960
Mtoto wa kike wa...
Kuna Mtu Mmoja mpo nae sana huko Serikalini na katika ile Ofisi yako nyingine ya UNOKO UMBEA pale Oysterbay mkabala na St. Peter's Church aliwahi kuniambia kuwa una Dharau na Kujisikia sana...
Jennifer Lopez Avalishwa Petei ya Dola mil 1 sawa na bilion zaidi ya 2 tshs na Mchumba Wake....., Hii Sasa ni mara ya Tano Kuvalishwa pete Tena na Wanaume Tofauti
Cris Judd aliyekuwa dansa wake...
Hali ya Nandy kwenye muziki sio nzuri kwa kweli anahitaji sana support yetu. Haya mambo ya kushika keyboard na kumpa sifa za uongo hatumsaidii tumwambie ukweli graph yake inazidi kwenda chini siku...
Minneapolis, Minessota imekubali kuilipa familia ya marehemu George Floyd Dollar million 27 sawa na billioni 62 za kitanzania kama fidia ya mauaji ya George Floyd mikononi mwa polisi.
Familia ya...
Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya Twiga wao wanamwita Tanzanian Sweetheart (japokuwa binafsi huwa sioni urembo wake).
Binafsi yeye amesema kuwa ametimiza miaka 30 Ila wadaku wa mambo wanakuambia...
Habarini wanajamvi,kiukweli huyu Nandy currently Hamna kitu maana anaforce kunya kwa tembo na mwisho anapasuka......
Aliona Waah ya The African G O.A.T DIAMOND PLATINUMZ imevunja record ya Africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.