Hivi ni kwel ajali ndo ilikuwa chanzo cha kifo cha Princess Diana au Lady D?
kuna mwandishi alishaileta habari kama hii hapa
NILIPOSOMA makala katika gazeti RAI toleo la 689 yenye kichwa cha...
Wasafi wamezidi kuendelea kufanya usajili baada ya kuwasajili Kitenge, Edo Kumwembe na Ahmed Abdallah hawajaishia hapo baada hivi punde kumsajili mwanamama machachari na mwenye sauti ya kuvutia...
Maana nimecheck video ya wimbo wake mpya mle sidhani kama ndo sura yake kama sio makeup maana sio kujiweka vile, maana toka mwanzo najua the weekend ni mwimbaji flani hivi wa hip-hop music...
Omari Tambwe aka Lil Ommy kiukweli anacheza chini ya kiwango sana. Show za mchana zina taka presenter mwenye swaga ..mjanja mjanja.
Omari siyo mbunifu.. Hajui hata kuvaa.. Anavaa utadhani yupo...
Prof Jay Ndani ya Microsoft kwa Gates
Hapa akichukua mikoba toka kwenye makaburi ya BRUCE and BRANDON LEE
Hapa akiperform and chilling with Seatle fans
Kila mtu ana kipawa, talanta na kipaji chake , lakini kati ya hivyo vitatu kimoja ndio hujitokeza zaidi na kwa baadhi viwili ndio huonekana zaidi
Talanta na kipawa hivi viko kiroho na kiimani...
Rayvanny, Vannboy aka chuiii, toka label nambari moja East and Central Africa ya WCB wasafi, kupitia account yake ya Instagram amemuomba msamaha Kajala.... Kwa tukio lililotokea hivi karibuni la...
Unaikumbuka Tears of the Sun na mtaalam Bruce willis, Cole na wakali wengine vipi kuhusu Olympus has follen 🙂🙂, Equalizer je? haya basi huyu hapa mwamba aliyeproducer na ku direct hyo mizigo...
Napenda kuanza kwa kuwapa hongera wasanii wetu kwa kazi nzuri inayoonekana . Hakika juhudi inalipa.
Katika utoaji wa tuzo hizo za AFRIMMA jana usiku wasanii Diamond, Nandi na Zuchu wamechukua...
Wakuu kwema? Poleni na majukumu.
Hivi kati ya Fireboy Na Joe Boy nani hatari zaidi kwenye muziki wa Afrika na Nigeria kwa ujumla.
Nani anaflow nzuri zaidi,Lyrics kali,hits n.k.
Fireboy vs Joe Boy
March 11 ndio siku ambayo msanii na CEO wa lebo ya KONDE gang music atamtambulisha mwanadada Anjella kama msanii mpya kwenye lebo hiyo, kwa utambulisho huo jumla wa wanamuziki ambao wapo chini ya...
Kupitia kituo cha ITV Leo tamthilia ya Isidingo the need imefikia tamati, kwa kumbukumbu sikumbuki ilianza lini hasa ninachokumbuka ni kitambo sana enzi hizo nyumba zenye televisions zilikuwa...
Mcheza filamu wa Bongo, Aunt Ezekiel, ambaye amekumbwa na kashfa ya kuwatumia email za mapenzi wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Tanzania, ameibuka na kuelezea ukweli kuhusu sakata la email hizo...
Siku kama ya Leo miaka kadhaa uko nyuma alizaliwa mfalme wa HIP HOP TANZANIA NIKKI MBISHI namtakakia heri katika siku yake hii Mungu ambariki.
Ametamba na VIBAO kama Playboy , Sauti ya Jogoo...
Msanii mkali kama anavyojiita TID mnyama ,ameweka wazi kiasi alicholipwa kwenye movie mahiri miaka ya nyuma "Girlfriend"
'Walinilipa laki 5 kwenye movie ,ni pesa nyingi kwa kweli wakati huo...
Aman iwe juu yenu wakuu
Kuna vijana wawili wakali kutoga Lagos KIIS Daniel na korede bello hawa wasanii wote ni wakali Wa na saut zao huwa ni noma sana
Je nan ni mkali kuliko mwenzake
Je...
Najua niwachache sana wanaomfahamu huyu jamaa nimefatilia mda mrefu alinikosha zaidi alipoandika nyimbo zake ambazo ni Tabia na mitihani kiukweli jamaa anaandika sana nashindwa kuelewa ni mziki wa...
Kwanza kabla hata sijasahau, hivi huyu msanii wa insta ameshamaliza kukarabati choo huko kijijini kwao? Maana kanavyojifanya kujitunisha hapa mjini wakati kujenga tu choo cha kisasa ameshindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.