KOSA KUBWA ALILOFANYA EMMANUEL MBASHA KWA FLORA.
1. Gwajima hakuwa na mahusiano na mkewe.
2. Alimsapoti na kumuamini kupita kiasi na kumuachia maamuzi ya familia.
3. Marafiki zake aliwapa nafasi...
Mwigizaji wa Ghana wa Rosemond Brown maarufu kama Akuapem Poloo ameomba radhi baada ya kupost picha ya utupu (kama alivyozaliwa) akiwa na mtoto wake wa miaka saba.
Akuapem Poloo alipost picha...
Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula.
Anamuita Paula anaejiona amepata 😂😂😂
Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio...
Yobnesh Yusuph ndiyo jina lake alilopewa na wazazi wake.
1. Ni mwigizaji brand kwa sasa kwenye soko la film , aliingia rasmi 2008 kupitia movie ya Fake smile iliyoandaliwa na marehemu kanumba, na...
MAJUTO YA PFUNK MAJANI YANATOA FUNZO GANI KWA VIJANA AMBAO HAWAJAOA?
Na, Robert Heriel
Jana nilipata bahati ya kusikiliza mahojiano ya Clouds na P Funk Majani yaliyofanyika kwa njia ya simu...
Habari za hasubuhi wanajamii. It's very clear kwamba kwasasa Vita ya muziki Kati ya wasafi na kondegang imepamba Moto. Ukifatlia kwa umakini utagundua wasafi wanapambana kadri wawezavyo kumsusha...
Watalamu wa mambo wanasema historian ni mwalimu mzuri sana, wahenga mlikuwa mnafuatilia masuala ya burudani mnakumbuka mtindo wa maisha wa Elizabeth Michael jina Lulu, kabla ajapata tatizo la...
Wakuu nimetizama video moja kwenye account ya Mwanamuziki WA Kikongo, ikionyesha Papa wemba yupo mbele ya steji akiongea na mashabiki akitumia Mic ya nadhani ya Wireless aloshika mkononi, baadaye...
Wakati watu wanaendelea kumpiga vijembe Baba Levo na kumuita majina ya ovyo. Yeye anageuza kejeli na matusi kuwa pesa.
Amesaini dili mpya tena leo, wale wajuzi wa kila kitu mnaojua kufanya...
Master P
Sisco
Dru Hill
ODB
Laurine Hill
Shania Twain
KCI & JOJO
Keith sweet
REY J
MONICA
COOLIO
CRAIG DAVID
ALL 4ONE
Baadhi walihamishia passion zao kwenye uigizaji kama:
Tyreese
Ice Cube
Quincy...
2014 unaweza kua mwaka mzuri kwa mrembo Kabula. Mrembo huyo aliye panda hewani kama mwenye undugu na Hasheem Thabeet inaelekea
kama mwaka huu utakuwa mzuri sana kwake kwani yale mahusiano yake ya...
Wanajamvi katika sakata la kifo cha mtoto Patrick na mkanganyiko juu ya msiba uwe wapi na nani baba halisi wa mtoto kuna huyu mtumishi wa Mungu anaitwa Joel Lwaga. Joel Lwaga mimi namfahamu kama...
10 MOST BEAUTIFUL WOMEN IN THE WORLD
1.Bella Hadid 94.35%
2.Beyonce 92.44%
3.Amber Heard 91.85%
4.Ariana Grande 91.81%
5.Taylor Swift 91.64%
6.Kate Moss 91.05%
7.Scarllet Johhansson 90.91%...
Zari the bosslady is already celebrating the life of a great father #Don , the father of his first three boys ! Tomorrow will mark one year since he left planet earth! Gone but never forgotten...
Wiki hii niliamua ku download nyimbo mpya za bongo ili zinifariji kwenye hichi kipindi kigumu cha maisha sababu na amini burudani ya muziki ni rahisi kukupunguzia mawazo, Nilikosa radha halisi ya...
Habari.
Masikitiko makubwa kwa wapenzi wa Tv shows ya Peaky blinders taarifa za kifo cha Polly Gray a.k.a Elizabeth/ Aunt Polly ndivyo alivyofahamika katika cinema hiyo.
Pia ni muigizaji...
Kwa wenzetu ishu ya Ushoga (Gay) kwa sasa imeanza kuwa kawaida na bado inaendelea kuwa kawaida hasa kutokana na baadhi ya nchi kwa miaka ya karibuni kuanza kuruhusu ndoa hizo za jinsia moja...
Hoja yangu iko katika wimbo wa "one night STAND" Kutokana na ujumbe uliokuwemo kwenye huo wimbo hakutakiwa kutamka "One night STEND" kufanya hivyo amepotosha maana ya wimbo. Inatakiwa itamkwe "One...
Kuna huyu mtoto anaitwa Hashyat. Alikua anaimba nasheed lakini kwa sasa ameacha kwa sababu ya umri. Kiukweli huyu mtoto kabarikiwa sauti, ana maadili na anajua kujibu maswali vizuri akiwa mbele ya...
Je unamkumbuka khalifa kiumbe moto? Ndie mchezo karate, kick boxer na judo mahiri zaidi aliyewahi kutokea tanzania. Alivuma sana mwishoni mwa miaka ya tisini. Jina lake Ni Khalifa.... mjukuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.