Siku Kama ya Leo mwaka 2015 mfanyabiasha maarufu mzee Mengi na mrembo Jackline Ntuyabaliwe walifunga ndoa na kubahatika kupata watoto.
Wakitimiza miaka 5 kwenye ndoa wanandoa hao wamefunguka...
Kuna nyimbo Kama ile kaitoa na Vanessa mdee me and you na Kuna nyingine Kama ile tukutane Tena baadae na Kuna ile Yuko na alikiba inaitwa nai nai nyingi nazikubali Ni nyimbo za ujana wangu Kuna...
Kwa siku za hivi karibuni stori zilizozagaa mitandaoni na kwenye vyombo mbalimbali vya habari ni juu afya ya msanii wa Bongo Muvi, Wema Sepetu kukondeana na kuwa na muonekano tofauti aliozoeleka...
Habari, Jana msanii tajika sana nchini Tanzania, Afrika Mashariki na kati na pengine kuliko wote kusini mwa jangwa la Sahara Naseeb Abdul, maarufu kama Diamond Platnumz, alisaini dili kubwa na...
Hawa ndugu zangu wameanza kuja kwa kasi sana kum - support Diamond Platnumz haswaaa. Deal aliyoi-sign na Warner inazidi kuwafumbua watu.
Swali ni: Je, kuna nini kinaendelea au ndo mabifu yamesha...
Huyu kiongozi wa hii huduma kwa kweli sauti yake inanibariki mno hasa kile kipindi chake mida ya saa saba mchana.
Nasikia sasa hivi amekuwa mzee sana vijana ndo wanapiga kazi ya injili kwenye...
Mwenye taarifa zaid atujuze, hii couple sjui imepotelea wap, wakat fulan ilitukimbiza sana mtaani.....Ghafla bin vuu Barcka ze prince kafuta post zote instagram, Najma nae kafuta Picha zote akiwa...
Hayawi hayawi sasa yamekua! Hatimae Yule mmiliki wa makampuni ya IPP bwana Reginald Mengi amemchumbia aliewahi kuwa Miss Tanzania, Jacqueline Ntuyabaliwe(K-Lyin)
Ilikua ni birthday ya bidada...
Kupitia ukurasa wake wa instagram diamond kawakashifu Forbes kutokana na list zinazosambaa mitandaoni zikionesha wasanii tajiri Afrika.
Unawaponda forbes wakati hakuna mahali popote forbes...
Kila nikiangalia post zake najisikia kumchamba ila maskin nikaja kujua shostito nati kichwan zimekatika, she needs a mental check up kwa kweli, Diva kichwa chake sio kizima.
Sijui anajikutaga...
Dogo ana kipaji kizur Sana , lakn sasa anakoelekea , sio poa baadhi ya reaction za mwili zinajengwa na mazoea , baada ya mda sitashangaa anakuwa na mambo ya kike kike...ajitahdi kubalance mambo...
Matt Damon Hopes The Ben Affleck And Jennifer Lopez Romance Rumours Are True: ‘I Love Them Both’
Becca Longmire 4 hrs ago
Ben Affleck's good friend Matt Damon is now weighing in on those...
Habari Tena Wana JF:
Naona harmonize anajitapa sana na kutaka kuuaminisha umankuwa yeye ninmkubwa kwa Rayvanny.
Wayback wote walikuwa WCB na Rayvanny alivhukua BET harmonize akiwa WCB he ...
Msanii Diamond Platnumz, ameandika historia nyingine tena baada ya kutia saini mkataba na kampuni ya muziki ya Afrika Kusini, Warner Music.
Mkataba huo mpya utahakikisha kuwa WCB Wasafi...
Hivi karibuni , video zimesambaa mitandaon,zikionyesha matukio ya violence baina ya rapper kutoka Africa kusini AKA na aliyekua mchumba wake Annele ambaye ni marehemu kwa sasa. Video hizo...
Video ya msanii Anjela wa konde music worldwide imefanya maajabu na kuonyesha kukubalika kwa haraka sana ambapo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya saa 24. Mafanikio makubwa ndani ya...
Baada ya Vannyboy mtu mbaya kuachia "lisong" akiwa amemshirikisha mega star from Kongo Innos b , goma linalokwenda Kwa jina la "KELEBE"ambalo kwa sasa ndo habar ya mjini....
Goma Hilo lililogonga...
Habarini Wana Jf
Kiukweli mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kitendo hiki Cha Diamond platnumz kutoa mkono wa EID kwa mikoa mitatu kinaonesha maana kamili ya kuwa msanii Ni KIOO CHA JAMII...
Kwa kipindi cha miaka ya 90’s mpaka 20’s ilikuwa ili msanii uweze kutoboa lazima ujiunge kwenye kundi lolote la muziki na ndio maana kwa kipindi hicho idadi ya makundi ilikuwa kubwa na yalidumu...
Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana...