Huyu mwandishi ni binti mdogo aliwahikuandikia gazeti la Tanzania Daima kabla ya 'Miayo' na manyang'au kumkimbiza.
Alitabiriwa na Anton Lusekelo kuwa asingefika mwezi may 2017.
Ni muda sasa...
Sean "Diddy" Combs anakabiliwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kijinsia.
Mwanamitindo wa zamani Crystal McKinney anadai rapper huyo aliyefedheheshwa aliwahi kumlazimisha kufanya ngono ya mdomo...
MAREKANI: Rapa na Mfanyabiashara Sean Combs a.k.a Diddy amefunguliwa mashtaka mengine ya unyanyasaji Kingono dhidi ya Mtayarishaji Muziki Rodney Jones Jr, aliyedai kufanyiwa ukatili huo pamoja...
1. International best author and motivational speaker kutoka Tanzania akifurahia ndoa na mkewe halali.
2. Ikumbukwe pia Mheshimiwa Dr Nanauka aliwahi kuonyesha Nia Kwa Wadada kadhaa ila bahati...
Kama BAKITA kweli taasisi zingine za Lugha na sanaa zinatambua na kuenzi kazi za sanaa, basi nadhani wasanii hawa walipaswa kuenziwa na ikibidi kuthaminiwa sana na serikali kwa kuwashirikisha...
Tiwa savage "Wanawake bila Ngono hatutoboi" 🥶🥶🥶
Tiwa Savage 🇳🇬 : " mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa. Haya wewe hapo jiulize...
Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani.
Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.
Wakuu msaada mwenye ngoma ya jay moe Hili.game remix tafadhali.naiomba hapa. Mara nyingi nayoipata haipo fresh ipo sauti ya chini sana alafu biti haikimbizi vzr.
Msaada jamani nayoipata ni hiyo...
Da Dida hujambo bibie?
Za masiku mingi, naona siku hizi mashallah wazidi kuwa 'mzungu-pori'....nisalimie mwanao Samira.
Dada Dida, najua unanikumbuka, unamjua dada mmoja anaitwa Zanelle Ladies...
Habari wakuu.
Baada ya pilika za wiki nzima na sikukuu hatimae wikiend imeanza au inaendelea panapo majaaliwa mpaka J3.
Nipo room hapa nikaona nisikilize muziki,nikachukua flash ya dogo ebwana...
Inadaiwa alikuwa amelazwa kwa Matibabu Muhimbili.
Amefariki usiku wa leo.
---
TANZIA: Aliyekuwa Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha Wasafi FM, Khadija 'Dida' Shaibu, amefariki dunia usiku wa...
Nyota wa Bongo Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefunguka kuhusu utata uliozingira kuzaliwa kwa binti yake Zulekha Nasra.
Alipokuwa anafafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo zilizo...
Socialite maarufu kwenye mtandao wa X na shabiki wa muziki wa hip-hop ambaye anatrend sana kwa kuchambua wanamuziki maarufu aitwae Wakazi ametishia kuwapiga block kituo cha radio cha EFM.
Ametoa...
Wasaninii Watanzani zamani walikuwa wanamtegemea Boss Ruge awape show na kila kitu
Sasa hivi diamond ndo amebakia
Kuna jamaa rafiki yangu ni msanii mkubwa wa Gospel alinambia kuwa diamond hadi...
P Diddy namkubali sana, ndiyo mwanamuziki ninayemkubali duniani since miaka ya 90 huko alivyokuwa anapiga kazi na Mase.
Ila jamaa nyuma ya kamera ni mafia kupita kawaida. Unaambiwa ni Mafia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.