MAMA wa mwanamitindo mwenye jina kubwa Bongo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga ‘Mama Mobeto’, ameibuka na kusema kuwa aliuona umaarufu wa mwanaye mapema tangu alipokuwa na umri mdogo. Akizungumza...
Michelle Obama ametoa siri zake nyingi katika kusanyiko la matukio katika maisha yake kwenye kitabu chake cha "Becoming"
Kwenye kitabu hicho, Michelle anasimulia mambo mengi kuhusu maisha yake...
Msanii wa kimataifa kitoka Nigeria,Mr.Flavour amethibitisha kuwa atakuwepo kwenye uzinduzi wa tamasha Konki la wasafi festival 2018 litakalofanyika kesho jumammosi Nov 24,Mtwara.
akiongea kupitia...
Kwa kumbukumbu zangu Efm huwa wanamatamasha mawili KOMAA CONCERT, na MZIKI MNENE, wamefanya kadri ya uwezo wao na mapokeo ni mazuri hasa ukipelekea matamasha yao ni bure kabisa, hawa jamaa...
Tamasha la wasafi festival limefanikiwa Kwa kiwango cha juu.hi inatokana kuwa Na wasanii wenye mvuto Na ushawishi kwenye jamii .
Pia artists walio kwenye record label ya wasafi wanajitahidi ku...
Tunajua Joseph Kusaga yupo karibu sana na Diamond (Diamond Karanga, Wasafi media). Pia tunasikia Clouds Media wana beef na Wasafi. Kumbuka Kusaga ni Mkurugenzi wa Clouds na Ruge ni mkurugenzi wa...
Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema
NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando (pichani)amefungukia eneo fupi la maisha yake magumu ambapo alisema amewahi kutekwa kwa bastola na mwanaume...
Baada ya wao kugundua vyuma vimekaza wakaja na kauli mbiu ya "local artists", wakijinasibu kua sasa wamezamilia kuifanya bongo fleva kua ya kimataifa na uzalendo kwanza, sasa matokeo yake yamekua...
Daaah nimesikitika sana baada kuziona hizi taarifa. Hivi madaktari wa Tanzania wanatumia aina gani ya vipimo vipimo vyao ni vya kubahatisha sana. Nakumbuka hata kwa ommidimpozi walituambia...
Kuna time ilifika hakuna msanii anayeangaliwa zaidi ya diamond na alikiba...
Nakumbuka Barnaba aliwahi kusikika akisema imefikia wakati hawapewi nafasi ya kusikilizwa.
Pia nilimsikia nay wa...
Hivi nyiye mnajuwa alikiba anafaidi sana bifu kuliko Diamond mana asingekuwepo diamond alikiba angekuwa ashapoteya ... sasa hili bifu la Clouds na Wcb wasafi limemuyumbisha Alikiba alikiba...
Msanii mkongwe na asiyesahaulika katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya dudu baya amekivua nguo kituo cha clouds fm kwa kuwaita ni wanafki wakubwa, wanyonyaji wa wasanii, na wenye kuharibia...
Fid Q uwezo wako unashuka sana, Fid Q wasasa si Fid Q wa miaka michache iliyopita
Fid Q naheshimu sana uwezo wako wa kuandika japo flow yako si nzuri sana.
Kuhusu kuandika Joh Makini hakwambii...
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta...
Chris Brown, R&b crooner mwenyewe kiboko ya wabana pua ndani ya Dar fiesta
Noma sana, triple threat he is a super dancer great singer and great artist jamaa mchoraji hatari.
Super business woman, Jokate Mwegelo amemuandikia AliKiba ujumbe mzuri ambao amedai umetoka kwenye sakafu ya moyo wake.
Mwanamitindo huyo ambaye yupo karibu zaidi na mkali huyo wa wimbo ‘Aje’...