Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Naomba kuuliza, Hivi yupo wapi siku hizi huyu mwanamziki Lady Mariam wa Uganda aliyetamba na kibao cha Tindatine, simsikii kabisa?
2 Reactions
29 Replies
33K Views
WASAFI Festival ilikuwa ya kawaida sana tofauti na jinsi ilivyopewa promo na kundi ama wadau wa WASAFI. Ilikuwa kama show za kawaida ambazo zimekuwa zikifanywa na wasanii wa muziki hapa nchini...
9 Reactions
43 Replies
9K Views
Msikilize kwa makini Afande akielezea tathmini yake kuhusu show ya Wasafi vs Fiesta. Pia kuna jambo la ukabila na ukanda amelizungumzia kama tuhuma kwa Clouds. Anasema jinsi figisu za Clouds...
5 Reactions
53 Replies
10K Views
Hata sisi tunakuombea Ruge Mutahaba - Get Well Soon!
14 Reactions
81 Replies
16K Views
Naomba BASATA waangalie upya suala la kuufungia wimbo wa Rayvany Uitwao Mwanza nyegezi maana unapigwa kila kona ya nchi hii, chunguza hili
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Aman iwe juu yenu wakuu Kwanza tunaanza na salam Konk konk konk master yes ni konk tena kuiteka dunia jamaa kaja na bonge la pin ambalo kamshilikisha rayvany. Goma ni sumu sana ngoma...
3 Reactions
35 Replies
42K Views
Kama nilivyo sema dada Jide awapa dongo ule upande wa pili
2 Reactions
36 Replies
6K Views
Hongera kwa wasafi tamasha lenu limefanikiwa sana alafu tuseme tu ukweli toka Tanzania (Tanganyika) ipate Uhuru ndo wanakuwa wasanii wa kwanza kujaza vile tena kwa kiingilio cha elfu kumi Huo ndo...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Kama wengi wenu mnavyojua kuwa Fiesta ili ahilishwa na kusababisha hasara kubwa kwa wasanii wengi nikiwepo mimi, kuna nguo za madancer na vinginevyo ambavyo nilitegemea kuvilipa baada ya show...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Sijawai kuona mwanaume mwenye mambo ya kipumbavu kama huyu mpuuzi Anayejiita dudu baya, WCB kumshika mkono huyu mdingi naona amechanganyikiwa kabisa Kutwa nzima anashinda mtandaoni kutupa...
7 Reactions
90 Replies
12K Views
Fiesta inaanza lazma Ruge apate mbadala wako ambaye bei yake itakuwa ndogo. Lazma Ali awe mkubwa. Mdogo wangu Dai unakumbuka kwann inapokalibia fiesta tu basi mazingira yanaandaliwa ya Kiba...
115 Reactions
400 Replies
56K Views
Wasafi Muziki wenu mzuri,una midundo mingi nimebahatika kuhudhuria Nangwanda Sijaona,sound system iko very Poor! Jipangeni next time.
6 Reactions
40 Replies
8K Views
Namnukuu Farid Kubanda @babutale PART 1: Nimeonelea si vibaya nikifungua hiki kigazeti changu na sentensi hii—-.> “ Keki ya taifa ni kubwa sana na ina vipande vingi vya kuwatosha wachakarikaji...
11 Reactions
77 Replies
11K Views
Katika kutoa maoni ya kinachoendelea,mfalme wa rhymes naye katoa maoni yake ya
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonyesha maji yamewafika shingoni Clouds media wametoa kauli nzito kupitia kwenye page ya Shilawadu(hapa nadhani wameamua kuficha aibu kwa kupost bandiko kwenye akaunti ya...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Mama wa burudani hapa nchini anajulikana ni komando binti machozi jide lady jay deeeeee hili halina ubishi Kwa sasa mpaka sisi timu kiba tunajua na tunaunga mkono mapinduzi ya burudani, tamasha...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Vijana kwa kweli wanakimbiza
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Itoshe tu kusema kwamba muziki wa Bongo Fleva umekua na kufika mbali pengine tofauti na ilivyofikiriwa... Miaka ya mwanzoni ya 90 huu muziki ulionekana ni wa kihuni tu, huku muziki wa Congo...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
WAKATI masuala ya ushoga yakipingwa kwa nguvu zote hapa nchini, skendo ya aina yake imeikumba serikali baada ya siri kuvuja kuwa mmoja wa viongozi kumi wa juu nchini ni shoga. Habari hizo za...
2 Reactions
152 Replies
34K Views
Back
Top Bottom