Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Watanzania muache Uchawi.
3 Reactions
363 Replies
105K Views
Aman iwe juu yenu Naomba wadau mtupatie link ya wasafi festival iringa ambao hatuna video nyumban sisi wengine tuko huku nyampande Sengelema Asante sana LONDON BOY
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Mange Kimambi: Mwanaharakati mwiba wa serikali ya Magufuli Ikiwa ni zaidi ya miaka miwili sasa tangu Rais John Magufuli wa Tanzania aingie madarakani, rais huyo ameonesha kutokusita kukabiliana na...
11 Reactions
164 Replies
15K Views
Bila kinyongo wala unafiki mwanetu anajua kutafuta pesa na kujituma,show tatu ndani ya siku tatu mfululizo 30 Nov Iringa,01 Dec Thika,Kenya,02 Dec Morogoro,hata kama tunakuchukia lakini Hongera...
6 Reactions
53 Replies
6K Views
Sijui lile sakata la kumdai vyeti tulianzishe upyaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi kweli msomi uliyekwenda shule na kuelimika unashindwa kuandika vizuri...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Hakika Kiba umewapika wakapikika hawa vijana... Nawaona hawa madogo wakifika mbali...
2 Reactions
59 Replies
9K Views
Kati ya nyimbo mbili auibu na hatufanani kutoka kwa nandy na shetta ipi ni ipi maana zote zimetumia beat moja kutoka kwa kimambo? Nini tatizo au ndo kimamba kashindanisha? Na kwa maoni yako upi...
1 Reactions
59 Replies
11K Views
Wakuu kuna mechi hii ya uzito wa juu.. Dizain naona kama JF hatujaitlia maanani hii game. Yeyote mwenye updates aweke hapa. Kama si alfajir ya leo basi ni kesho.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hongera chief una management nzuri inayoona mbali. Kitendo chako cha kukataa kufungamana na upande wowote katika hali iliyoko sasa kati ya wasafi na CMG umeonesha ukomavu wa kiwango cha juu...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Yooah.. Habari zenu wana jamvi!!! Ivi tatizo la ALI KIBA ni nin hasa?? Uyu mtu mie ni shabiki wake sana ila ana niangusha kinoma noma.. Uku mtaani sie team kiba tunaumbuka. Tangu WASAFI FESTIVAL...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu... Napenda kuwakaribisha kuasikiliza wimbo wangu wa kwanza kabisa kuuachia uitwao 'you are the one' kupitia youtube channel yangu hapa Maoni yanahitajika pia, wapi nimeboronga, nirekebishe...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa zangu na wadogo zangu ? Mimi bana ni mpenzi wa dabriusibi ..bana pale mziki akuna tena anaye baki anaimba vitu vya kueleweka na ndo new king wa bongo f ni Harmonize konde boy...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari Wakuu!! Sasa uyu msanii wetu wa kimataifa #chibudii chibudee a.k.a simba au dangote.uyu jamaa ni msanii kweli kweli sio tu katika muziki au biashara ya muziki ama kujiamini kwake kutekeleza...
1 Reactions
115 Replies
18K Views
JAMAA amenikumbusha mbalii SANAA yaaani katoaa ya MOYONI Unafiki hajuiii
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwanamtandao mashuhuri na machachari Afrika Mashariki based in LA Mange Kimambi amesema Zari bado hajamove on na kumuacha Diamond Platnumz. Akichangia post mojawapo Instagram kwenye page ya the...
1 Reactions
27 Replies
7K Views
1. Alipouawa, mwili wake uliteketezwa kwa moto (kwa mujibu wa tamaduni zao), cha ajabu wafuasi wake wa "outlaws" walichukua majivu yake, wakachanganya na bangi na kuvuta! 2.Neno lake la mwisho...
15 Reactions
305 Replies
77K Views
MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Ambwene Yessaya ‘AY’, ambaye wimbo wake wa Microphone aliomshirikisha Fareed Kubanda ‘FID Q’ ndiyo mpya kwa sasa, amefunguka siri ya kuamua kuishi...
37 Reactions
439 Replies
50K Views
Kwanza hongera,show ya mtwara wewe ndiye ulikuwa star,ndugu yetu aliiingia akiwa amelewa kabisaaa mapombe sijui ecstacy anajua mwenyewe kaka ulivyoimba nyimbo za lucky dube kwanza hongera ulini...
15 Reactions
18 Replies
5K Views
Ni wimbo mpya wa safari najiuliza kwanini hajaenda wasafi wakati meneja wa AY ni mwarabu aliyezamia Tanzania Sallam
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Nasikiliza album mpya ya Nikki Mbishi titled Sam Magoli, kwenye hii album kuna ngoma inaitwa Where my crown at inayoonekana ni direct dis kwa Wakazi, kwa fan yeyote hahitaji kutumia nguvu...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom