Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Adai Kampuni yake inasifiwa kwa ubora,kazi inafanyika kwa muda.kazi anafanya mwenyewe Ila akuzidiwa anawapa vijana wake.nashindwa kuweka video
1 Reactions
69 Replies
15K Views
Huyu sista yuko poa sana lakini sikuamini tulipokutana chocho fulani anakula kaya. Huyu manzi yuko njema angalia paja,mtoto paja paja,hamna hata doa angalia mkia,kalio simple kiasi. lakini ndio...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
1.Mwalimu j.k nyerere 2.Albert mangwea 3.Steven kanumba. 4.Mouringe sokoine 5.Amina chifupa
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Jamani uchawi upo. Kupitia clouds fm kipindi cha kubwa kuliko msanii Mo Music na meneja wake wamethibitisha kuwa wamepigwa mabusha na promota waliyemdhurumu. Promota makunganya aliwalipa milioni...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habari wana JF, Mimi kama raia mwema na mzalendo wa nchi yangu Tanzania, nimesikitishwa na VIDEO iliopostiwa na msanii WOLPER katika page yake ya Instagram ikimuonesha msanii mkubwa (Kioo cha...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Muigizaji wa Bongo movie Mrembo Irene Uwoya ametoa kauli ambayo imethibitisha kuachana kwake na mume wake staa wa Bongo fleva Dogo Janja. Kwa mwezi sasa kumekuwa na tetesi kuwa Irene Uwoya...
9 Reactions
358 Replies
48K Views
Nianze kwa kutoa pongezi kwao IPP Media kwa kuwa na jicho la kipekee kabisa la kuona talanta mbalimbali kubwa kwenye utangazaji. Kenedy alitoka East Africa redio na kwenda Clouds mwaka 2015 na...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
Joseph Kusaga: ukiona redio yoyote ya vijana mimi nimo kwa namna moja ama nyingine, aitaja pia jembe ni jembe ya Mwanza. Nadhani Joseph Kusaga amefunga mjadala wa kipumbavu. MKURUGENZI Mtendaji...
6 Reactions
182 Replies
26K Views
Kiukweli huyu mtangazaji anaboa sana, na anavichekesho vinavyokera sana badala ya kuchekesha, kuna matangazo yake ya tigo clouds mara sijui mimi ni katibu wa harusi ya mwanao, mara bla bla bla...
7 Reactions
65 Replies
15K Views
Nimeona watu wameanza kumponda diamond kuhusu demu aliyekuwa naye sasa hivi eti wanasema ni mbaya sijajua kama ni mke au anasafisha tu rungu kama alivyofanya kwa wengine Katika pitapita zangu leo...
5 Reactions
60 Replies
16K Views
Huyu mtanganzaji toka Fiesta imefika tamati sijamsikia redioni. Hata wenzake hawamwongelei kama anaumwa au yuko likizo au kaachishwa kazi. Au ndo anajiandaa kuibukia redio nyingine?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
VOTE NOW! Who Should Win Miss World 2018? Vote for miss world now, click in that link, it will show u the list of countries, scroll down to Uganda, touch in Tanzania then down click in the word...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna msemo wa kinyiramba unasema Hard work pays, hii imethibitishwa na MD wa clouds fm kwa kutania na kusema Millard Ayo amempita boss wake mshahara kwa kumaanisha Millard ni.kati ya watangazaji...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Jamaa kiwango chake cha uchekeshaji anatakiwa apate makataba ata Hollywood. Bongo apamfai uwezo wake nikama Chris Tucker . Vipaji vipo Ila watu awataki kuwekeza Kwa uyu dogo . Tazama iki kipande
2 Reactions
94 Replies
14K Views
Sipo kwa ajili ya majungu Huyu mtu mm naweza kumfananisha na simba wa kweli wa mikumi au hifadhi yeyote ile maana jamaa yupo kimya ila mambo yake sio haba first kumiliki nyumba sio kama cha mange...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Mashabiki wa Ali Kiba tunajiuliza ni nani atakayejitolea amfuate Ali Kiba akamwambie ukweli? Ni nani aliyetayari? Tumtume nani akamwambie ukweli Ali Kiba? Mashabiki wake tupo katika mtanziko juu...
15 Reactions
51 Replies
10K Views
Siku chache baada ya kukiri kuwa kwenye mahusiano msanii wa bongo fleva Ben Pol na binti tajiri was kikenya Anerlisa Muigai mtandao wa nchini Kenya uitwao Tuko.co.ke umeandika binti huyo...
0 Reactions
68 Replies
12K Views
Nimeskiliza wimbo mpya wa maua sama uitwao "iokote" aliomshirikisha hanstone ni mzuri sana ila kama anamuiga Nandy na Rubby itafika wakati tutashindwa kuwatofautisha halafu naye dogo hanstone...
1 Reactions
42 Replies
22K Views
Unamfahamu Anerlisa Muigai? Huyu ni binti wa Kikenya na CEO wa NERO company ni campany ya maji inayoongoza nchini Kenya. Mama yake Thabita Karanja ni moja ya matajiri wanawake nchini Kenya, ni CEO...
9 Reactions
224 Replies
39K Views
Back
Top Bottom