Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

"Nimeamua kuleta keki kama Shukrani yangu kwa #CloudsMediaGroup kwani kwangu inanigusa katika njia kuu tatu. . . . 1. Kama mwanafamilia ambaye ilinishika mkono toka nikiwa mdogo. . . . 2. Kama...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Rapa wa kike Nicki Minaj ametumia ukurasa wake wa Instagram kumtambulisha mpenzi wake mpya, Keneth Petty Mwenye umri wa miaka 40, baada ya wiki kadhaa nyuma (Nov 25) kuonekana na mwanaume huyo na...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Mrembo Sanchoka kutoka Tanzania anayesifika kwa umbo lake la kujazia, atangaza biashara ya mbwa watambulikao kama American bulldog kwa photoshoot kabambe ufukweni mwa bahari. sanchoka...
1 Reactions
42 Replies
12K Views
Mtangazaji wa Clouds tv Hassan Ngoma amesema CMG imeandaa shindano la kuwapata viongozi bora kwa ngazi ya DC, RC na Waziri. Ngoma amesema washindi watano wa kwanza watapewa zawadi mbali mbali na...
0 Reactions
77 Replies
7K Views
yeye pekee kafanya hivyo huku wengine hata wale walikuwa wanabebwa na club billicanas wakifyata mikia bila shaka kuogopa visasi vya watu fulani *soma haraka huu uzi utafutwa kwa sababu zisizojulikana*
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Master Jay una boa wewe jamaa. Hizi ni chuki za wazi kabisa kwa mshiriki Aboubakari. Haiwezekani wiki tatu mfululizo unamponda tuu kijana wa watu. Hata kama ndio kukosoa sio ki hivyo unampotezea...
8 Reactions
87 Replies
11K Views
Mama wa msanii diamond platnumz maarufu Kama mama dangote amesema ndoa inamfanya ajisikie kijana na kufurahia maisha
0 Reactions
88 Replies
16K Views
Hivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani! Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila...
11 Reactions
98 Replies
19K Views
It is more than three months now since when you penned down to inform us on your progress. As we continue to strongly believe that you are well recupurating and regaining your robust health, We...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Huyu Bwana Salim Kikeke mtangazaji wa Radio ya BBC alipenda sana kuwa anakuja Tanzania akiwa OFF Mara nyingi tumekuwa tukikutana pale Qatar uwanja wa ndege upande wa Transit wote tukiwa tunatokea...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Huyu jamaa tumpongeze kwa makubwa anayofanya. Tusikosoe na kutoa kasoro kila siku. Tukiona kuna vijana wenzetu wanajituma na kufanya kazi kwa bidii tuwape moyo na kuwapongeza waendelee kufanya...
23 Reactions
53 Replies
7K Views
Wakuu naangalia Tamasha la wasafi huko sumbawanga kupitia channel ya wasafi media lakini nimeona ghafla jukwaa limegeuka chini juu. Na baadhi ya wasanii kutumbukia Kisha ghafla matangazo...
2 Reactions
76 Replies
18K Views
-Mshambuliaji wa klabu ya Coastal Union Ali Salehe Kiba amefanya mabadiliko kwenye mkataba wake na klabu ya Coastal Union ya Tanga. Mwanzo wa msimu huu Alikiba alisaini mkataba wa miaka miwili...
2 Reactions
74 Replies
11K Views
Inaboa Kila msanii anataja Wema tuuuuuuuuuu
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Hawa jamaa kusema ukweli wanakubalika sana utadhani ni Obama kaja
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Jana kijana ametua hapa Sumbawanga idadi ya watu waliokuja kumpokea huku wengine wakijaa barabarani ni jibu tosha kuwa kijana ana fan base kubwa sana. Diamond platnumz kwa sasa hategemei tena...
10 Reactions
76 Replies
12K Views
Hivi mama zetu siku hizi wanatuonaje sisi watoto wao?.Au sisi vijana tunawaonaje mama zetu?.Fikiria kuwa wewe ni msanii mkubwa maarufu halafu mama yako yuko hivi.AU TUKUBALIANE TUU NA WAKATI?
1 Reactions
96 Replies
11K Views
Rapper kutoka pande za states mwenye hitsong ya 'Panda' hakuamini kilichomtokea juzi kwenye stage wakati anapiga show baada ya 'makonki' wa Kenya kusepa na raba zake na soksi nakumuacha mchizi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Na Veronica Simba – Dar es Salaam Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ametuma ujumbe kwa watanzania kwamba utekelezaji wa mradi mkubwa wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Show ya kibabe ya wasafi festival iliyokuwa ikifanyika sumbawanga katika uwanja wa Nelson mandela imeahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyesha wakati show ikiendelea na kufanya isimamishwe kupisha...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Back
Top Bottom