Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Huyu dogo wa kuiga misauti yuko wapi siku hizi?
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Msanii hitmaker wa mziki Darasa kaibuka na kali ya kufungia mwaka baada ya kimya cha muda mrefu...this time kaja na "Tofauti" ingia hapa kuskiliza dude la kimataifa
0 Reactions
35 Replies
23K Views
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sku hzi huyu dogo simuelewi elewi..anaimba nyimbo ambazo naona kama anapotea hvi....nyimbo kama huko kwetu, natafuta kiki, mbeleko, unaibiwa, zezeta..zilimfikisha mbali sana..sasa naona anaanza...
2 Reactions
22 Replies
8K Views
Katika vitu ambavyo akili yangu inakataa kuamini ni kuhusu huyu binti anayeitwa Dorah. Wengi wanadai ni mtu mzima lakini bado siamini kwa sababu hana kigezo hata kimoja ambacho kwa kiasi fulani...
0 Reactions
59 Replies
10K Views
Za saa hivi mheshimiwa ! Pole sana kwa kazi, na hongera kwa kulitumikia taifa letu. Mimi binafsi nina maswali machache ambayo ningependa uyaclear wewe binafsi na sio kama chama. Tokea kifo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ati hamisa mobetto ameenda US basi wako wana mshangilia ati a meenda marekani 😂 yani watanzania ni watu wa ajabu huwa wako proud na vitu vya ajabu kama walivyo wenyewe 😂😂 watu wasiowahi kusafiri...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
List ya wasanii wa Kaka Empire wote. pata hapa.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hajasahau alivyotekwa na wewe ukiwa mhusika mwenye mamlaka ya kuhakikisha anarudi hata hukuhangaika na ulikuwaga na majibu ya ajabu kweli labda siku hizi inawezekana umeanza kuwa na roho soft...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hatimae muigizaji maarufu wa vichekesho nchini Tanzania Ankoo Zumo anaye igiza pamoja na Familia yake yaani Mwanae Maisala na Na mke wake (Mama yake Mai) Ambaye amejipatia umaarufu sana nchini na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kituo cha Sound city Africa kimetoa nomination za tuzo zao kwa wasanii waliofanya vizuri barani Africa mwaka 2018 huku wasanii nguli Wizkid, Davido, Diamond,Tiwa Savage wakiongoza kwa nominations...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Tukianzia msaada wa Tsh millioni 68 kule Sumbawanga na kule Zanzibar Diamond ametoa zaidi ya Tsh Millioni miamomja kwa mda mfupi tu inasemekana msaada alioutoa ni sawa mshahara wa Bdozen wa miaka...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Moja kati ya watu wanaoiharibia clouds na kuipotezea mashabiki ni hili kundi la shilawadu, Vijana wamekuwa ni watu wa shari sana na hawapendi maendeleo ya waliowazidi kimaisha. Bifu la Platnumz...
11 Reactions
48 Replies
8K Views
Huyu kijana ni moja kati ya wanamuziki bora wa hip hop bongo.Ni mtunzi mzuri sana na pia uko very creative kwenye kutupe vile tunaita mistari kwenzi. Series ya sinaga Swagga imenikosha mno hasa...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Dada yangu najua ni jinsi Gani ulivyoumia pale watu walivyokuwa wanakushambulia mitandaoni kwa maamuzi uliyochukua kwa kuolewa na mtu mwingine ambaye uliona ni sahihi kwako. Kiukweli tokea...
2 Reactions
58 Replies
9K Views
Kupitia account yake kwenye mtandao wa Instagram usiku wa leo amepost video yake ya kwanza. Watu kibao wanashangilia ujio wake. Wasanii wenzie tunafurahi kwa ujio wake, nafikiria kurekodi nae...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
A 24-year-old US rapper Cedrick Smith popularly known as YouTube star CeddyBu Rap Sumo has died following the car accident he was involved in, hours after New Year’s Day. According to the...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Sipenzi mawazo Ya kupewapewa Na ndo mana mi sipendi bure Sipendi ukoloni hasa mkoloni mweusi Na ndomana joh mi siendi kule Ili tu mi nile zile chuki zile Hunijui kivileNyani haoni kundule You...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Miss Mexico Venessa Ponce yatwaa taji la Miss World 2018, huku Miss Uganda akitwaa taji la Miss World Africa. Mashindano ya Miss World yamemalizika huko China kwa mrembo kutoka nchini, Mexico...
6 Reactions
161 Replies
15K Views
Back
Top Bottom