Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hakuna aliye juu ya sheria Swali Je! Watasamehewa?
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Kumekuwa na video ya miezi 9 iliyopita ya interview ya Diamond yenye lengo la kumchafua, Huyu dogo hajafikisha hata miaka 30 ila kaka zake na dada zake wanavyomtungia vitimbwi siku unaweza...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Alikiba afunguka wasanii walio mfuata Director wake Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alikiba amefunguka kuhusu baadhi ya wasanii kumpigia simu Director wa wimbo wa Toto kwa ajili ya kuyataka...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Ninavyoelewa mwanamziki Diamond ni kipenzi cha mkuu lakini Diamond alisahau pale mwanza alipotoa clip kwenye You Tube akiiponda shirika la ndege la Tanzania baada ya yeye kuchelewa kufika airport...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii adai hawezi kutokea kwenye video yeyote ya Msanii wa Bongo yaani (video vixen) bila Shilingi Million 5 .Hii amekuwa akisikika kwenye baadhi...
3 Reactions
179 Replies
37K Views
DAR ES SALAAM: Kimenuka ile mbaya! Lile penzi shatashata lililotarajiwa kuzaa ndoa Februari 14, mwakani kati ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mtangazaji wa Kenya, Tanasha...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
Kwanza Nilikua najiuliza huyu dogo mambo yote ya hovyo anafanya na kusamehewa lakini bado mnambeba tu? Mbona wasanii wengine hawafanyi ujinga kuanzia maisha halisi hadi kwenye mitandao ya kijamii...
20 Reactions
74 Replies
7K Views
.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limetangaza kumfungia msanii Diamond Platnumz na mwenzake Rayvanny kufanya maonesho yoyote ndani au nje ya nchi kwa muda usiofahamika. Si hivyo tu, bali pia...
32 Reactions
185 Replies
24K Views
Huyu dada baada ya kuingia kwenye siasa za majungu za UVCCM, wananchi kwa umoja wao waliamua kuachana na bidhaa zake za " KIDOTI " zikiwemo rasta na mawigi , kwa wakati ule haikumgusa sana kwa...
14 Reactions
59 Replies
13K Views
Jamani eeeeh...kelele.nyingi za Diamond na watu mtandaoni zimenifanya niweke hiii wazi. Nilikuepo eneo la tukio nikitoka mwanza kwenda dar. Huku nikiwa nimebook fastjet..ndege haikufika. Diamond...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani Bw. Lawrence Masha anatuhumiwa kuendeleza vitendo vya ufuska na kudaiwa kutumia nafasi yake ya Uwaziri kuhudumia hawala yake huyo kwa muda mrefu sasa. Hata hivyo...
1 Reactions
159 Replies
37K Views
The punishment which has been imposed upon WCB is too big (huge or severe) than both the offence which they did and its magnitude. Way forward?.... My legal opinions (observation) are as...
15 Reactions
164 Replies
26K Views
Habari ndugu na wadau mbalimbali wapenda burudani, Ebu tueleweshane maana mambo yanaenda tofauti kwa msanii Nasibu na Basata. Basata wametoa tamko la kutofanyika kwa tamasha la Wasafi Festival...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
kumuendekeza eti analipa kodi kaajiri watu hata kina amber ruty tuwape nafasi na kucheza picha za matusi watachangia kodi kubwa sana na ajira pia hii vipande vinawafaa sana wale wabunge kucheza...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Ni zaidi ya mwaka sasa nipo kwenye utafiti wa gharama na soko la body spray za wadada ambazo kwa wazo langu zitakua unique na very adore,wakati naenda kutafuta kampuni ambayo wataweza kunifanyia...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Ni ajabu na ajabu kweli. Sheria za uwanja wa ndege wowote ni pamoja na kutofanya fujo na kudivert attention kwenye uwanja wa ndege. Diamond jana amefanya fujo ikiwa ni pamona na kurekodi video...
8 Reactions
90 Replies
10K Views
Back
Top Bottom