Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Dimpoz anasumbuliwa na koo ambapo katikati ya mwaka huu 2018 alifanyiwa operation katika moja ya hospitali kubwa nchini Afrika ya Kusini,licha ya kuonekana kuimarika kwa afya yake miezi kadhaa...
0 Reactions
58 Replies
13K Views
Kuna wimbo huimbwa kipindi cha watoto radio one kwa jina siujui *watoto,wasafi mioyoni,ni nyota za macho kwawazazi, sisi ni maua,,,, ,,,,,, ,,,
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wahenga wanasema ukiona unapendwa ringa.... Diamond platnumz na crew yake nzima ya Wasafi wana show desemba hii huko kenya.... Mapokezi yake yamekuwa ni balaa... naamini basata wakiona hivi...
8 Reactions
32 Replies
9K Views
Kusema ukweli jamaa sasa hivi sio kama alivyokuwa WCB hana tena yale makali licha ya kuwa anatoa nyimbo lakini promo yake ndogo sana na hainga nguvu hata wasanii wenzake hawampi sapoti...
2 Reactions
70 Replies
9K Views
Mange Kimambi ameumbuka vibaya sana alitaka kumchafua Oil Chafu Konki Konki Konki Master ila lengo lake limebuma. Ametumia nguvu kubwa sana lakini mwisho wa siku ameumbuka wazi wazi kwa aibu...
2 Reactions
58 Replies
16K Views
Baada ya kile kinachooneka kuwa ni kuimarisha ulinzi na kutuma salaam kwa watekaji, MO amenunua gari inayoaminika kuwa na mfumo mkubwa wa ulinzi wa kidigjtari. Muda mfupi baada ya MO kuposti...
13 Reactions
97 Replies
24K Views
Sitaki Kusema kuwa Sanaa imeingiliwa na wahuni, Inawezekana kuwa walikuwa wahuni kabla hata ya kuanza sanaa Sema hatukutupia jicho kabla lakini pia usisahau kuwa huu Muziki wa hawa vijana uliitwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Historia inaandikwa ni heshima kubwa pia kwa mziki wetu wa Tanzania. Viva Diamond.
13 Reactions
94 Replies
13K Views
Habari wakuu!! Lile sakata la Diamond Platinumz na Rayvanny na Tamasha lao lilofungiwa hatimaye BASATA wamewaruhusu nchini Kenya na Comoro. Ambapo rufaa yao itajadiliwa February mwakani 2019...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu wanaJF kwa Majina naitwa Marathon Muziki ni Msanii wa Bongo Fleva Upcoming Artist. Naomba ushauri wenu kulingana na kazi yangu hii na nyingine nyingi nilizofanya kitu gani...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
yeahhh babaaa!!! Ipo kama ifuatavyo leo nimekutana na gari ya matangazo wakitangaza show ya msanii meseni selekta itakayofanyika mpemba-Tunduma cha ajabu na kusikitisha meseni alikuwa anafuata...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
popcaan dun rich ft davido mp3 download, wakati tunaposherekea sikukuu ya krismasi, wasanii wawili wamesherekea pamoja wakatengeneza wimbo mtamu kwa jina dun Rich , davido akishirikiana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikimuona Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamis Juma naiona Sura ya Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta na kila nikimuona Rais Kenyatta hasa Sura yake namwona Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Juma...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwaka wa 2018 msanii bora 2018 ni yupi na wimbo bora was mwaka kutoka kwake ni ipi ?
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari za chini chini zinatanabaisha kuwa king kiba yupo kwny michakato ya kanzisha media yake, ambapo ataanza na radio kwanza then ndo TV itafaata. Namtakia kila la kheri kwenye hili swala hii...
6 Reactions
49 Replies
10K Views
Yani katika vitu vinavyowakosesha amani CLOUDS ni WCB. Kiukweli tangu fiesta ianzishwe mpaka leo hakuna show mbovu kama show ya jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani...
16 Reactions
73 Replies
11K Views
Licha ya watu wachache waliokuwepo kushuhudia show ya alikiba kutokana na show kufayika usiku sana kuna mashabiki walikuwa wanaicheki show kwa simu zao na kuonyesha hisia zao baada ya millard ayo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kama mlikuwa hamjui basi sisi wasanii wote tunajua kuwa Basata inatumiwa na Juliana kumsumbua Diamond kwakuwa aliwahi kuzungumza maneno ya kumkashifu hivyo bado ana kinyongo nae. Mara kadhaa...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu leo nataka tuambiane wasanii ambao kwao mkwanja upo, ambao hawafanyi mziki kwa sababu ya njaa ila wanafanya kutokana na kujijua kuwa wanavipaji Naanza na hawa 1. Future Jnl...
8 Reactions
298 Replies
64K Views
Habari zilizonifia hivi punde ni kwamba wasanii wote walioshiriki kwenye tamasha la Wasafi awatopigwa nyimbo zao clouds media, hiyo order imetolewa kwa waendesha vipindi vyote mjengoni. Adhabu...
6 Reactions
89 Replies
13K Views
Back
Top Bottom