Tuliokua Jana ukumbini au tunafatilia kwenye mitandao show nzima ya alikiba" Funga mwaka na king kiba" tulete mrejesho.
Nakiri tu kwamba alikiba ni talented professional musician na atabaki kuwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Siku kadhaa sasa Mtangazaji maarufu na msomaji wa taarifa ya habari clouds Tv Harris Kapiga haonekani Mjengoni,yuko kwenye kazi zake binafsi ya uhamasishaji...
Waungwana habari!
Nimekuwa nikisikia mara nyingi watu wakisema msanii ni kioo cha jamii. Wamekuwa wakisema hivyo kwa maana kwamba watu humtazama msanii na maisha yake na wao huishi vivyo hivyo...
Akiongea na bongo5 msanii Abdul Kiba amesema Mbosso ni moja kati ya wasanii anaowasikiliza sana mwaka huu 2018. Na wimbo anaoupenda zaidi ni Nadekezwa... Kiba aliyasema hayo huku akiimba kwa hisia...
The biggest lesson learned this year 2018 is probably to not give so much of yourself to people who will not do the same for you! #mdgoat
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana msela alipoona Diamond kaanzisha mahusiano na Tanasha, King Akaamua kuachia ngoma ya Yeeeebabaaaaaaa aaaaaa! Sikujua hicho kionjo kilikuwa kinalennfa Nini ila Sasa nimeshajuwa
Kijana diamond toka alipoanza kufahamika mwaka 2009 kupitia wimbo wake wa nenda kamwambie amekuwa ni mtu wa kupanda tu bila kutetereka... licha ya kutabiliwa mabaya mengi lakini wapi....
Kuna...
Kiukweli hakuna kitu kinachotuumiza kichwa kama chanzo cha mapato cha Irene Uwoya.
Nimejaribu kupeleleza sana haswa kwa watu wa karibu wa Irene Uwoya nipate kujua anafanya kazi gani lakini...
Meneja ricardo momo huyu anawasimamia wasanii walio chini ya wcb
Diamond huyu ndio mwanzilishi wa wcb na mtu wa pili kwa hisa wasafi media
Mlezi ambaye ni mwanahisa akiwa na mameneja tale hana...
tumezoea wanamuziki wengi wenye sauti tamu na vocal ni wale ambao enzi za utoto wao walipitia madrasa ambapo kaswida iliwatengeneza mpaka leo hii wanasauti tamu.
Ila wapo ambao wenyewe mwenyezi...
Tamthilia yetu imeanzia hapa leo,ni somo adimu
Inagusia namna pia wa Ottaman (waislaam) walivyo ona fursa katika Mgawanyiko wa RC ukiongozwa na Luther.
I love what am watching
Ana nyimbo nyingi ila huu wa nipe kukumbuka wema unanibariki sana. Yani nikiusikiliza siwezi kufuru kwa kumlaumu Mungu kwa lolote aisee.
Enjoy kizazi kipya cha Gospel inayopendwa hata wasiyokuwa...
Mzee wa upako baada ya kuona wasafi tv kuna kipindi cha nyumba ya imani nayeye akaomba awe anaendesha kipindi chake siku ya jumapili lakini ombi hilo limekataliwa na Mshauri wa vipindi na...
Msanii wa Muziki Diamond Platnumz aeleza walichozungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mrisho Kikwete nyumbani kwake.
Diamond amesema kuwa alimuuliza kuwa ni kweli mmedondoka? baada ya...
jamaa ameamua kuwapiga chini kisa shutuma za uzurumati wa pesa na skendo ya sara wa harmonize ndio maana hata baada ya kupata ajali kimya hata kumpa pole
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.