Imeelezwa kupenda umaarufu na sifa kwa wasanii wetu ni miongoni mwa sababu za kuambukizwa VVU
Wasanii wametajwa kuwa hatarini kuambukizwa virusi vya UKIMWI kutokana na umaarufu walionao na...
bongo huenda ikawa ya pili afrika baada ya nigeria kwa kuwa na talented celebrities.wapo wengi sana na wengi wao wapo talented.
tatizo kubwa walilonalo ni kufall rondomly in love kwa celebrities...
Rais Jakaya Kikwete alikuwa miongoni mwa watu waliobahatika kupata picha ya kumbukumbu na Mcheza Filamu wa Marekani Steven Seagal wakati watafrija iliyoandaliwa na Madaktari wa Kimarekani kwaajili...
Msanii anayejitabainisha kama King wa Muziki Tanzania, Ali Kiba ametambulisha ngoma yake mpya rasmi leo akiwa kwenye kituo cha Redio kinachopenda kumbeba kwa gharama yoyote 'Clouds FM'.
Ngoma...
Msanii wa bongo muvi riyama amefunguka kuhusiana na tuzo za sinema zetu na kusema waandaaji wamemkosea sana kumshindanisha bila kushirikishwa wala kuarifiwa.
Riyama Ally ameyasema hayo akihojiwa...
Siku za hivi Karibuni kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa mashabiki Wasafi katika sehemu mbalimbali walisopita na kufanya show kuwa hawapati kile wanachokitarajia kutoka kwa wasanii wanaounda WCB...
Ruby nimefurahi kukuona jamani
Umerudi tena kwenye muziki
Karibu sana Mdogowangu
Sauti kama kawaida nyororo, nzuri,laini... doh ama kweli kama ipo ipo tu.
Sasa umeshajifunza...
Mtumishi wa Mungu aliehai alitangaza kuwa sasa ameshaokoka, anampenda Yesu na Yesu akirudi nae atanyakuliwa kwenda Mbinguni
Hongera sana Jackline Wolper, tunaomba usiokoke roho turn bali na...
Jamani Tasnia ya Bongo Movie haiishi Vituko. .. kila kukicha lazima kuna kiki
Weekend ilikuwa Gigi Money Jana ni Dadaetu Johari
Mdogowangu Johari nakupenda umetoka Mbali, umesotaaa sijui...
Gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho Jumatatu, Desemba 31 alidhibitisha urafiki wake wa dhati kwa msanii wa Bongo Ali Kiba kwa kumsaidia baada ya mashabiki kufeli kuhudhuria tamasha yake ya mwaka...
But kuna watu wanasema jamaa kwisha, hajui Kuimba, anawezaje kuandaa shoo yenye kiingilio hiko? But kati ya hao wanaombeza waliwahi kumuomba ashiriki kwenye shoo yao akachomoa.
Ifike mahala huyu...
sauti ya huyu mwanadada 'huwa inanifanya nijihisi daudi mbele ya goliath' namaanisha pindi nimsikiapo akiwa anaimba nasahau shida zote 'ghafla nijihisi nipo ndani ya pepo...
Moyo unafarijika...
Actor anayekuja kwa kasi sana katika filamu za mapigano Jonathan Joancy wengi wamemzoea kwa jina la agent Bravo ndiye mtu pekee anayetazamwa kiumakini mkubwa haswa kwa wapenzi wa filamu za...
Mmh naona ben Paul siku hizi mambo yake super , anakula bata ughaibuni ( sio show) kama Hana akili nzuri . Huenda msanii huyo ndiye anayoongoza kwa kula bata expensive kwenye msimu huu wa...
Habari JF members.
Kichwa cha habari kama kinavyosema
Watu bora kwa MWAKA 2018 na wenye mafanikio makubwa kwa MWAKA 2018.
Mr.Lovebite kipenzi cha walimbende I am lavalava amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.