Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

I love Beyonce lakini naona hakumfikia Toni braxton bado..to be honest there is no one song of hers that i hate... hebu check this one...this is one of the greatest dong..."please"
0 Reactions
33 Replies
5K Views
MISS Tanzania 2006 aliye pia staa wa filamu za Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa, mkorogo umemtia adabu na anajuta kuutumia mwilini mwake. Wema Sepetu...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Mimi nina wasiwasi na kiongozi huyu kwamba nini hasa lengo lake, labda la kuwa raisi wa Afrika au mlezi kwani kufikia hatua ya kuwa kila siku anaangalia ramani ya Afika ni jambo la kushangaza...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Heshima mbele wakubwa. Nimesoma kwa masikitiko taarifa ya mapokezi aliyoandaliwa EL kule kwenye jimbo lake kama shujaa,sasa sijui ni shujaa wa kabila lake au shujaa wa ufisadi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mambo ya Mahaba nipeleke West Africa nikateketee kwa Ebola yule Mpenzi wa Shilole Nuhu Mziwanda ameamua kuchora tatoo mkononi yenye sura ya Shilole kuonesha mapenzi yake kwa bidada. Hii imekuja...
5 Reactions
102 Replies
15K Views
FILAMU ya Bohemian Rhapsody inayohusu maisha ya muimbaji kinara wa bendi ya Queen ya Uingereza, Freddie Mercury, ambaye ni mzaliwa wa visiwani Zanzibar imenyakua tuzo mbili kubwa za tamasha la...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Sikiliza na wewe hapo DOGO S.KIDE DIAMOND KABLA HAJATOKA - YouTube
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Shilole ameingia katika akaunti yake ya Instagram na kusema kuwa makalio yake ni original. Alijaribu kuwadiss mahasimu wake ambao anawadhania kutumia chupi bandia kuonekana na makalio makubwa...
0 Reactions
53 Replies
10K Views
Msanii wa zamani wa kundi la Wakilisha, Witness Mwaijaga, amesema pamoja na kufanya hip hop kwa sasa ni mfanyabiashara na mtaalam wa tiba asili zinazotumia vyakula vyenye virutubisho...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ostaz Juma ameendelea kuongezea petroli kwenye moto aliouwasha jana. Na sasa amewaamkia wasanii na watangazaji wote wa redio nchini akisema njaa inawasumbua na ndio maana wamekuwa...
0 Reactions
60 Replies
10K Views
Dada yetu Masogange akiwa analirusha mara kulia mara kushoto bila wasiwasi wa landlord
9 Reactions
179 Replies
31K Views
Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Makubwa! Mtabiri maarufu Bongo, Maalim Hussein Yahya ameanika nyota za baadhi ya mastaa wa Bongo katika kipengele cha mapenzi au ngono, Risasi...
0 Reactions
30 Replies
21K Views
Licha ya kubadili dini na kuwa muislam kisha kupewa jina la Rahma, staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amesema sasa anatamani kurejea ‘ulokoleni’ na kumrudia Yesu kwa kuokoka...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Haya tena kile kikosi cha CSI cha JF tunaomba mtupe listi kamili ya orodha za safari alizozifanya JK mwaka huu Kisha tuangalie zipi zilikuwa na ULAZIMA na zipi zilikuwa hazina ulazima kisha...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kwa mitandao kumingia kero, kila mmoja anatamani hata kwa upeo kujipatia umaarufu zaidi. Kwa akina dada umaarufu wao wa mitandaoni wanatumia miili yao kuonyesha dunia nzima...jambo ambalo kwa...
0 Reactions
98 Replies
30K Views
Status update ya Ridhiwani Kikwete FB.... "Baada ya kusoma taarifa toka kwenye Ukuta wa dada Diagi Janguo juu ya msiba wa Bi.dada Zay B pichani nimejikuta mwenye masikitiko mengi sana. Kwanza...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
RAPA Birdman na aliyekuwa mchumba wake, Ton Braxton, mahusiano yao yamefikia tamati mwishoni mwa mwaka 2018 na mwanzoni mwa 2019. Siku ya mwaka mpya tarehe moja, rapa huyo aliweka video...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Mtangazaji wa kipindi cha shilawadu kinachorushwa na clouds tv Soudy brown ameonekana kutafuta bifu na WCB hasahasa diamond platnumz.... maana kila ambacho wanakifanya lazima akikosoe kwa mafumbo...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Inawezekana wewe hujui utakula nini leo, lakinimwenzako Franck Ribery msukuma ndinga wa timu ya Bayern Munich ameonekana akila nyama iliyopakwa dhahabu (gold coated meat) kwenye mgahawa maarufu...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Bonge la wimbo hata boss wake ameshapotezwa dah aise dogo anajuwa ..
0 Reactions
71 Replies
14K Views
Back
Top Bottom