Napenda kusema kuwa nampenda sana Diamond platnumz na nyota wote wa kundi la WASAFI.
Pia nawapenda nyota wote wa muziki wa Tanzania wakiwamo Navy Kenzo na Ali Kiba.
Nimekuwa nikisikiliza na...
Wakati kitendo cha msanii Diamond Platnumz kushikwa makalio kikiushangaza umma. Kitendo kingine kilichoishangaza jamii kwenye wasafi festivals ni kitendo cha msanii Lavalava kuchezewa sehemu za...
Kumbe mama yuke mkubwa amber lutty na mwanamke mwenzie mwingine ndie waliehusika moja kwa moja kumtolea dhamana amber lutty na sio yule mchungaji wala mtu mwingine yeyote
Jionee hapa
Sent...
Diamond Platnumz, ameshikwa makalio na mashabiki akiwa jukwaani, baada ya kuwageukia na kuanza kukata mauno kihasarahasara, jambo lililozua mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii. Video
Habari members!!
Katika sakata la harmonize kuachana na Meneja wake Mr.Puaz ndo limeshika habari hapa Tanzania uku Harmonize tunayemjadili yupo Nigeria leo katika jiji la Lagos katika harakati...
Kwanza pongezi kwa hatua muliofikia WASAFI - Mumeweza kutuweka live watu toka sehemu mbalimbali zikiwemo Norway, USA, CHINA, Austraria n,k.
Haya ndio mambo ambayo umezingua mdogo wangu yafanyie...
Ameandika Henry Kileo mume wa Joyce Kiria katika ukurasa wake wa Facebook.
Hakuna chochote katika maisha cha kupigania!
Nguo zako zile bora kabisa kuna mtu kwake ni matambara tu.
Akiba yako...
HUU UJUMBE UMFIKIE SUPER FAKE WOMEN (JOYCE KIRIA)
Kwanza kabisa, nianze kwa kusema, kwamba, kwasababu mambo haya ameyaleta (joyce) kwenye mitandao ya kijamii, (public platform) na kwa makusudi...
Bondia asiyepigika ,THE MOST ACCURATE PUNCHER, THE BEST DEFENSIVE GENIUS EVER FLOYD MAYWEATHER amkung'uta Tenshin Nasukawa round ya kwanza dakika ya kwanza sekunde ya 51 .
Mpaka sasa Floyd bado...
Mayweather atalipwa zaidi ya Tsh billion 20 na million 698 kupigana na Tenshin Nashikawa Leo tar 31/12/2018.
Pambano hili litatumia dakika 9 tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mtandao wa Twitter, raia wa Kenya na mashabiki AA Muziki wa Bongo Fleva wamekerwa na show ya Wasafi Festival iliyofanywa na Diamond na timu yake siku za hivi Karibuni nchi Kenya. Sina mengi...
Sasa ni takribani miaka 12 toka atoweke duniani msanii na mtayarishaji maarufu wa muziki wa Bongo Fleva akijulikana kama Complex.
Jina la Complex lilianza kusikika hasa pale aliposhirikishwa na...
MWIGIZAJI wa filamu za Bongo, Baby Joseph Madaha, ameibuka na kudai kwa sasa ameamua kutulia katika ndoa yake na Mwarabu wa Dubai ambaye hakutaka kumtaja jina.
Baby yupo mbioni kuachia video ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.