Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwanza nianze na waratibu Fella Muslim Sallam Muslim Tale Muslim Madjs Romy Jones Muslim Djommy muslim Tuje kwa wanamuziki sasa Diamond Muslim Harmonize muslim Mbosso muslim Lava lava...
7 Reactions
37 Replies
6K Views
Ukiangalia kwenye mambo mengi jamaa huwa hawaambatani naye,halafu ukitazama kwa wasanii wote wa lebel ya WCB wako approved na instagram kuwa zile ni real accont zao ila sembuse yeye shida nn? Kama...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Kuthibitisha hili, baada ya Diamond na Rayvanny kupigwa Pini na BASATA, Wasafi Festival ndio basi Tena. Pia kundi la WASAFI hautalisikia Tena. Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kifungo hiki...
2 Reactions
59 Replies
9K Views
Unaaambiwa swala hili lilowakera wanamuziki wakristo waliokuwa kwenye tamasha pamoja na uongozi wa juu wa basata na wizara kwa ujumla Wanasema kila show kabla ya kuanza lazima shehe asome dua huku...
1 Reactions
44 Replies
7K Views
Kichwa cha habari kama kinavyosema hapo juu. Zifuatazo ni list za wasanii 10 barani afrika ambapo wameweka record za ngoma zao kutazamwa sana katika mtandao wa YOU TUBE kwa MWAKA 2018...
1 Reactions
29 Replies
14K Views
Jacqueline Obeid ‘Posh Queen’ SITAKI! Mlimbwende matata mitandaoni (socialite) wa Bongo, Jacqueline Obeid ‘Posh Queen’ ambaye hivi karibuni alitengeneza vichwa vya habari mitandaoni baada ya...
4 Reactions
98 Replies
29K Views
Salute, Binafsi sipendezwi sana na umbeya ambao huwa wanafanya Soudy na Kwisa lakini kwa bahati mbaya wifi yenu anakipenda sana hivyo kuna wakati najikuta naangalia kilazima. Nimekuwa na hamu...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
YOUTUBE ni mtandao wa kijamii wa kuweka na kutazama video za vitu mbalimbali zikiwemo za matukio ya kila aina bila kusahau muziki kutoka kona mbalimbali za sayari hii ya dunia yenye zaidi ya watu...
0 Reactions
8 Replies
9K Views
WASIFU WAKE. Huyu ndio Maryem Sarah Uzerli almaarufu Hurrem Sultan wa tamthilia ya Sultan (muhteşem yüzyıl) inayoonyweshwa katika king'amuzi cha azam tv kupitia chaneli ya Azam Two. Meryem ni...
16 Reactions
99 Replies
35K Views
Kijana Whozu naona kajigiftisha gari aina ya Mark X baada ya kumaliza show za msimu wa Tigo Fista. Kijana kafurahi sana kama inavyokuwa ukimiliki gari kwa mara ya kwanza hata usingizi hupati na...
8 Reactions
89 Replies
12K Views
Mwanzo alikuwa rafiki sana na Jose Mtambo akamtosa akidai ni mlevi kumbe kisa ni show alikuwa anapokea pesa akiahidi kwenda naye ila wapi. Akafuata Kala Jeremiah huyu mpaka harusi yake alikuwa...
17 Reactions
101 Replies
16K Views
Kabla ya yote napenda kuweka wazi kwamba makala hii nimeiandika kutoka vyanzo mbalimbali vya mtandaoni, ikiwemo youtube, bbc documentaries, crime and investigation channel na baadhi ya tovuti...
4 Reactions
46 Replies
13K Views
Wakuu, Nataka kutoa wimbo mwanzoni mwa mwaka, nilikuwa nahitaji ushauri wenu. Ni msanii gani mnadhani anaweza kutengeneza chorous nzuri sana kati ya Jux na Ben Paul. Nilifikiria awe Jux ila...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Hii ni tafsiri ya waganga maarufu,na inadaiwa hirizi zake zilipasuka au kupotea Mpaka atokee mtaalam wa kumfufua kwa kuwa kishirikina bado kazikwa japo anajiona mzima
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Inaanzia hapa Matukio yaliyopelekea kuaawa kwa marapa wakubwa Tupac na Biggie. (Pata kujua mhusika wa halisi wa mauaji hayo) Kutokana na kuwa Tupac alikuwa kakosa ela ya kulipia dhamana ili atoke...
7 Reactions
15 Replies
5K Views
Kwa kweli huyu jamaa hayupo romantic kabisa, yaani kakaa kibabe babe tu. Ukitaka kuamini haya jaribu kuangalia video yake mpya ya wimbo wa kadogo, pale mwanzoni anapoongea na demu kwa simu. Yaani...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakuu, Kipindi hatujalipwa malipo yetu baada ya kufanya show za Fiesta nilikuja hapa JF kulalamika hivyo baada ya kulipwa naamini ni vema nikaja hapa hapa JF kuufahamisha umma ili isije kuonekana...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakati naanza muziki kipindi sifahamiki, nilikutana na wasanii wanafiki wenye roho mbaya japo wana act marafiki. Mungu ni mwema nilikuja kuonana na Mwana fa ambaye niliunganishwa na mmoja wa kaka...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
atlast n birthday ya king of Bollywood Salman khan
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Back
Top Bottom