Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Top 10 Most Beautiful Female Politicians In The World 2018 Wanawake wanasiasa wazuri sana duniani,list hii ina mashaka kwa sababu hakuna hata Muafrika mmoja,wameweka vimwana vya rangi nyingine...
1 Reactions
91 Replies
16K Views
Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu baada ya ukimya wa muda mrefu katika mtandao wa Instagram, ameweka post yake ya kwanza ndani ya mwaka 2017 huku akiwaahidi mashabiki wake mambo mazuri ndani ya...
5 Reactions
78 Replies
9K Views
Staa wa bongo muvi Tanzania beautiful onyinye Wema Isaac Sepetu amemkumbuka ex wake ambaye ni model mtanashati Luis Munana Wema aliandika maneno kuashiria amelikumbuka penzi lake na Luis na...
4 Reactions
33 Replies
9K Views
STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ' Shilole' amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha. Shilole alisema mpenzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
mimi sio hater Dada zetu povu ruksa, Wanawake wa kibongo huwa wanajua kila mnyamwezi ni mnyamwezi kwelikweli,wanyamwezi wngine ni kama wakina Papa Mafido,bado wanaprint . Kumbe shemeji yenu njaa...
13 Reactions
76 Replies
9K Views
kwa siku za karibuni kumekua na kelele byingi zinazohusu mahusiano jinsia moja ! Ambapo wasakwa ni mashoga na wasagaji ! Kundi la WCB likiongozwa na Diamond limekua likitunga na kutoa...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Muigizaji marufu na x-girlfriend wa Diamond platnumz, Wema Sepetu amechukua fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM. Akiongea na host wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm...
3 Reactions
552 Replies
68K Views
WCB , Diamond na Rayvanny wametozwa tsh milioni 9 kutokana na maudhui mabovu ya wimbo 'Mwanza' BASATA imewatoza faini ya Tsh. Milioni 3 kila mmoja Mwanamuziki Diamond Platnumz, Mwanamuziki...
6 Reactions
105 Replies
18K Views
Jamani wenye update dogo alikuwa na radha take ya kiafrica halisi ,na moja ya watu waliotoka muda sasa na mondi asee,mtujuze you wapi
0 Reactions
27 Replies
6K Views
KOTI la kihistoria la Michael Jackson (MJ) limeuzwa katika mnada kwa Dola za Marekani 298,000 (zaidi ya Sh milioni 600) ikiwa ni mara tatu ya bei halisi ya koti hilo. Koti hilo lililonunuliwa na...
4 Reactions
29 Replies
5K Views
Hivi hili baraza lina matatizo gani? Sioni sababu ya kuifungia ile nyimbo kiukweli... Kwa style hii wasanii wetu watapata tabu sana. Ebu tusaidiane kwahili ile nyimbo ina tatizo kwani?!
2 Reactions
146 Replies
14K Views
Baada ya Amber Lulu kuacha mambo ya kitoto alimpa majukumu hayo mwenzake Amber Rutty, Amber Rutty alikomaa sana kuhakikisha jina Amber linakita mizizi yake kwenye skendo na kiki mbalimbali. Wakati...
3 Reactions
43 Replies
16K Views
BASATA wametaka Diamond na Rayvanny kufuta wimbo wa Mwanza kwenye platform zote huku wao wakiwalisiliana na mamlaka nyinginge. Katika hatua nyingine BASATA wamesema iwapo wasafi watatumia nyimbo...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Pamoja na umaarufu wake na ukubwa wa jina lake lakini huwa nyimbo za Vanessa Mdee huwa sizielewi kabisa...yaani hata ukiniuliza sasa hivi kama kuna nyimbo yake naiujua wala siwezi kukuambia...
8 Reactions
93 Replies
12K Views
Aisee mdau huyu muhimu wa bongo fleva ametimiza miaka 49, tumtakie heri ya kuzaliwa jemedari huyu
3 Reactions
179 Replies
21K Views
Message… itakuwa vipi kama RC wa dar akahamishiwa ARUSHA ? itakuwa vipi Taifa stars wakibutuliwa na LESOTHO &itakuwa vipi Amber Rutty akiachiliwa huru
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajiita wanamuziki lakini mimi nasema ni wahuni na wababaishaji ambao wameivamia fani kwa mtindo wa zima moto. Baadhi ya wanamuziki wanaojiita ni wa kizazi kipya ni janga kwa taifa kwa kuwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Dada wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ?Diamond ,? Esma Abdul amerudisha mahaba na aliyekuwa mumewe , Hamad Manungwa ?Petit man ? baada ya kudaiwa kutengana , tena kwa talaka tatu ...
2 Reactions
207 Replies
29K Views
Mtoto wa anti christ Will Smith ajulikanye kama Jaden Smith akitomasana na Mwanaume mwenzake, bado watoto wa anti christ Obama nao muda siyo mrefu watamwaga radhi pia live! Will Smith ni muumini...
1 Reactions
44 Replies
19K Views
Na Stephen Chelu Habarini waku, Natumaini mko salama na mnaendelea na majukumu ya kuelekea uchumi wa kati na bila kusahau kujaribu kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Mungu atubariki kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…