Kwenu wadau hivi hivi hii style ya kujiangusha kutoka south Africa mmeipokeaje?? Nimeangalia hawa wanafunzi [emoji115] nikajiuliza tukiendelea hivihivi basi tutapokea mimba nyingi maana wanaana...
uke uke ukeeeereweee,karibu kwetu ukereweee
twala samaki mkia na kichwa ushindwe weweeeeeeee
uke uke ukeeee ukereweeeee
aisee vijana wa sasa hivi wana vipaji kwa kweliii
Msanii Ali kiba amesema amepokea salamu kutoka wasafi na anashukuru kwa mwaliko japokuwa hataweza kushiriki. Akiandika katika akaunti yake ya Instagram msanii Ali kiba ametaja sababu ya...
Mwanamuziki wa kimataifa,kutoka WCB,Diamond platnumz ametoa shavu kwa wasanii wachanga kutunga wimbo mfupi na kuhusu Wasafi FM 88.9 washindi watano watapata nafasi ya kurekodi bure kwenye studio...
Hata yeye amewahi kukiri mpenzi wake lady jaydee amewahi mtuhumu na scandal ya ushoga Ila yeye akapotezea, now picha yake na shoga maarufu Nigeria , bob risk imesambaa ikiwaonyesha wawili hao...
Video kaliii..kutoka WCB wasafiiiii chama la wana Rayvanny ft diamond platnumz ..
ngoma ina kwenda kwa jina la MWANZA.. ikiwa ime tumia LOCATION kutoka MWANZA ila tukaona sio mbaya tukiwaacha...
habari za asubuhi ndugu wana jf, natumaini mu wazima wa afya, niende moja kwa moja kwene hoja
asilimia kubwa wasanii wanaotoka mwanza ndio wanaopotea kwene game kiurahisi na sijui nini kina...
Salama wapendwa wangu.
Naomba kuuliza kitu.
Mbona hizi picha za wasanii kwenye mitandao ni weupe sana kama wazungu ila ukikutana nao live weusi kama mimi tu.
Nimewakilisha baadhi ya wanaume...
Kudadeiki WCB noma sana,
Ni jiwe baada ya jiwe, ngomaa baada ya ngoma huku kukiwa pe ya Konki konki konki master kwa mbali, yaani ni full full hata wale waliobaniwa airtime,huku unamsikiliza...
Msanii Harmorapa amefunguka na kuingilia ishu ya Dudu Baya kuwataja mashoga katika mitandao ya kijamii.
Harmorapa anasema kuwa kama Dudu baya anajifanya kupambana na Mange kimambi baada ya...
Baada ya kuwa katika upinzani wa muda mrefu, hatimaye wasanii nyota nchini Tanzania, Diamond Platinum na ALIKIBA wamekutana na kumaliza tofauti zao za muda mrefu.
Hatua hiyo imepokelewa kwa...
Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning'inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi.
source : clouds fm
Raha ya kuachwa jaribu kuchagua mpz ambaye hata ex wako akimuona au akimsikia roho inamuuma na sio kutafuta bwegeee..
Asilimia kubwa hilo hatulijui muumize ex wako kwa kutoka na mtu aliye juuu...
Kwanza: kabisa nianze na wasafi fm ambayo ipo nyuma ya Paul makonda,
hawatoweza hata siku moja kuizima CLOUDS fm ingawa wana Matatizo Yao ikiwemo kuwanyonya wasanii watu wengi tuliamini E fm ndo...
Wentworth Miller, Maarufu zaidi kama Michael Scofield
Mwigizaji Victor Garber
Ricky Martin
Adam Lambert
Anne Burrell na patna wake
Neil Patrick Harris na patna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.