Habari zenu wakuu kwema??..Ni hivi kume kuwa kuna huu msemo ni wa mda kidogo unaitwa Konk huu msemo ni msemo wa miaka kama 3 au mi 4 ivi imepita na huu msemo muanzilishi wa huu msemo ni Huyu dogo...
1. Ali kiba
Moja kati ya wasanii ambao wamejaaliwa kipaji na sauti nzuri ila jamaa anajiamini kupita kiasi na ili akubali ushauri au idea ya kuendeleza kipaji chake nguvu kubwa sana inahitajika...
Sam Mahela ni kijana bora kabisa anayechipukia kwa kasi zaidi ktk tasnia ya habari nchini.
Kijana Sam asipoonekana kwenye taarifa ya habari ya saa 2 pale ITV usiku wangu ukosa raha.Zaidi sana...
Mtoto wa Konki konki konki Master Dudu Baya amefunguka kuhusu tuhuma zinazomkumba baba yake za kumuhusisha na ushoga na kusema baba yake siyo shoga. Wille amesema anachofanya baba yake ni kuwataja...
Bondia asiyepigika mwenye pesa chafu ambaye pia anashika namba moja kwa wanamichezo walioingiza pesa ndefu zaidi mwaka huu pia anashika nafasi ya tatu kwa wanamichezo wenye pesa zaidi duniani...
Pancho Latino maarufu 'Mafia' amefariki dunia kwenye ajali ya kuzama kwenye maji wakati anaogelea kwenye kisiwa cha Mbudya, jijini Dar es Salaam
Pancho alikuwa mtayarishaji wa muziki katika...
Sina uhakika kama ndo lilikua jina lako lakini nina uhakika ni hilo sijakosea.
Pascalina nimependezwa mno na juhudi zako kama mwanamke kujiinua kiuchumi kuliko wanaokaa wanasubiri kuolewa...
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop nchini Dudu Baya amefunguka maana ya ‘Konki Master’, hii inakuja mara baada ya msemo huo kujizoelea umaarufu kwa muda mfupi tu tangu alipoutumia.
”Konki ni mtu...
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kampeni ya kuwasaka watu wanaojihusisha na vitendo vya ushoga inayoratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
Baada ya Wasafi TV kufanya vizuri kila kona ya TZ sasa Wasafi FM Coming soon,ila huku sasa kwenye radio station ndo kwenye ushindani halisi,ngoja tuone
Mtangazaji ‘ Kipenzi ‘ cha wengi Cloudstv360 Babie Kabae katika hali isiyokuwa ya kawaida leo asubuhi aliweza kutoa ‘ dukuduku ‘ lake moyoni kwa kumshauri Rais JPM ajitahidi awe anatenga muda...
Alipozaliwa wazazi wake wakamwita Godfrey William Tumain.......
Baadae sasa akaanza kujipachika majina ya ajabu ajabu tu......mara:- Ngumi jiwe....akaibuka na jina lingine....Mapafu ya...
Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa maisha ya kuwa maarufu ni magumu sana kwani kuna wakati unashindwa kufanya vitu ambavyo wewe unapenda kutokana na kuwa na umaarufu.
Dudubaya kupitia...
Habari wadau wa celebrity Forum.
Niende madani hapo juu. Mmoja wa wasanii wakongwe ktk fani hususan Bongo fleva, Dudu Baya aka Dudu Zuri amehojiwa na sudi Brown wa clouds FM juu ya kumtelekeza...
Jumamosi ya wikii hii nilikuwa Mwanza nikasema ngoja namimi nikahudhulie kwenye tamasha, lakini kwa jinsi nilivoona muitikio ulikuwa mzuri na mapungufu pia yalikuwepo yakutosha, kwa lugha ingine...
Akizindua msimu mpya ya wasafi festival Diamond platnumz amesema mkongwe wa hip hop Dudubaya atapanda stage ya wasafi festival na wakali wengine.
"Nimeongea na uongo ili kuweka wakongwa ambao...
Hello wanaJF Leo nimekuja na historia fupi ya mwanadada
rihanna
Rihanna Robyn Fenty (amezaliwa tar. 20 Februari 1988) ni msanii wa uimbaji wa muziki wa R&B na pop kutoka nchini Barbados...
Nampongeza sana sana kijana huyu..kwa kuyumba sana hapa majuzi ila ameweza yashinda mapito na kurejea tena.
Situation aliyokuwa nayo angeweza kujiingiza katika uraibu wa vileo ..madawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.