Beyoncé Giselle Knowles (alizaliwa 4 Septemba 1981), anayefahamika zaidi kwa jina moja Beyoncé pronounced /biˈjɒn.seɪ/ ni mwimbaji wa R & B, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi, mwigizaji na...
Msanii wa muziki wa Bongofleva na Diwani wa Kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma, Crayton Chipando (Baba Levo), amesema kitambi cha Peter Msechu kinatokana na kurogwa.
Baba Levo amedai Peter...
Huyu jamaa Castodickson nitamlaumu milele kwa kumuacha mtoto wake mpaka kaharibika kitabia kwa kuiga mambo ya kiume ume na mbaya zaidi baba yake anamtazama tu.
Casto ana mtoto anaitwa Fatuma au...
Licha ya kupitia kwenye mahusiano na wanawake lukuki, Mwanamieleka maarufu duniani, John Cena ameonekana nafsi yake kufedheheka kwa kukosa mtoto. John Cena (41) ambaye ameshapitia kwenye maisha ya...
The ongoing Feud between Nicki Minaj and Cardi B has turn to centre of accusations from both sides prompted outside players to confirm and/or deny claims from both parties.
Cardi claimed in one...
Wasalaam
Kati ya watu au wasanii wenye vipaji hapa nchini vya kuimba ni Aslay....
Aslay anao uwezo mkubwa sana tena sana...
Lakini kwa hivi karibuni muziki wake umeanza kuyumba kabisa na hata ile...
Chama cha waigizaji mkoa wa Kinondoni (TDFAA) kimemfungia mwanachama wake Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda wa miaka miwili.
Huo ni mwendelezo wa adhabu kwa mwigizaji huyo...
I won't do justice if I comment In swahili for this new glitz and glamorous look of Hamisa Mobetto, the Queen without a throne.
This is the one of the most gorgeous trending pic on instagram for...
Mwanadada Hamisa Mobeto amekiri kuwa mzazi mwenzake na msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alimpa gundu.
Hamisa alitoa kauli hiyo hivi karibuni kwa hoja kwamba katika kipindi...
Kiongozi wa G-Unit, 50 Cent ameendelea kumuandama Ja Rule ambapo wiki hii amezua jambo kwa kununua tiketi 200 za viti vya mbele vya tamasha la hasimu wake huyo ili viwe wazi. Ja Rule anajiandaa...
Siri imefichuka ,kumbe staa wa filamu nchini na aliyekuwa miss tanzania 2006, wema isaac sepetu anadaiwa kuwa mke wa mtu, inasemekana staa huyo alifunga ndoa na mjasiriamali aitwaye yusuph jumbe...
Lile penzi lililokuwa gumzo kwa muda wa siku chache zilizopita kati ya Diamond na mwanadada Kim nana limefika mwisho baada ya mwanadada huyo kutupiwa mabegi nje katika gate la Diamond Platinumz...
Wote mwezi uliopita (mwezi wa 9) waliachia video za ngoma zao pendwa... Alianza aslay akaachia video ya Kwatu tar. 12/9 (takribani siku 46 zimepita).... siku kumi na nne baadae yaani yar. 24/9...
Wanandugu leo katika pita pita zangu nikasema ngoja niangalie boxing records za huyu ndugu yetu Hassan Mwakinyo lakini cha ajabu nikakuta anaitwa Halfan Hythan Hamza, sasa nimeshindwa kuelewa hilo...
Watoto wa mjini siku hizi huita VIBE KAMA LOTEEEE... Mond wa enzi hizo alikuwa km rais wa marekani anavotembelea nchi za Afrika
Je diamond wa sasa hv anaweza kufikia tena umati km huo? Wa watu...
Mrembo wa kichaga anaetamba bongo kutokana na umbo lake matata, ameonya watu kuacha kutumia picha zake kwenye matangazo ya dawa zao za kuongeza makalio kwani no kuwapotosha wadada
Sanchoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.