Huko ig katuonesha kuwa kashapata mme wake mtarajiwa..namwombea heri kwa hilo na Mungu amfanyie wepesi afikishe kile anachokutegemea..ni wema na pck now ni new couple in town.
Kwa wale mlokuwa...
Yani Toka zari apost UA jeusi domo naona anahangaika kujifariji lakini wapi , anabadilisha kila wanawake Ila wapi . Sasa huyu kimnana nae kujikuta kafika na kuanza kujishau, Ila nilijua tu ata...
Mwana falsafa na mfanya biashara mkubwa Dunia PORTER aliwahi kusema moja ya njia ambayo unaweza kumuua mshindani wako kwa urahisi ni kutengeneza ushirika na mshindani wako....Hii husaidia katika...
Ila hii combination matata sana , hawa ndio wanamuziki bhana sio wauza sura , naona kesho patakua hapatoshi mlimani, natamanije ningekua bongo na Mimi .
Ila shoga zangu na wenyewe uso umewakomaa...
Unajua shoga yetu Cheusi mangala mambo yake sio Haba , sema tu ni vile yeye hanaga show off za kipumbavu, ni miongoni mwa mastaa wachache ambao wanaishi maisha ya kifahari, anaishi nyumba nzuri ...
Jamani jamani huyu shoga angu nae anapenda mambo makubwa, sasa irene kutembea na bodyguard kila sehemu ndio nini ? Kwa lipi sasa jaman ? , na hao akina k-Lynn mke wa billionea atembee na nani? ...
Walianza kwa mbwembwe sana lakini, wameshachuja na nyimbo zao hazisikilizwi tena.
Rayvanny
Lava lava
Baraka the Prince
Harmorapa
.......na wengine wengi tu, mfano hata pale WCB wamebaki majina tu...
Msanii Diamond Platnumz ameipeperusha vizuri zaidi bendera ya Tanzania Kwa Kufanikiwa Kubeba Tuzo Mbili - African Entertainment Awards USA 2018 zilizofanyika October 20, New Jersey Nchini...
Ila simshangai bibie, we all have our first flying moment , tena ndo ukipanda business class uwii , utatamani dunia nzima ijue, Ila kwa level ya hamisa , ki ukweli nikujiaibisha sana , tunajua...
Habari wana JF wenzangu hopeful mpo poa!
Jana usiku nlikuwa natazama kipindi cha THE MBONI SHOW katika kituo cha runinga namba 1kwa vijana Tanzania EATV chini utangazaji wa mwanadada MBONI MASIMBA...
Hit maker wa ngoma inayosumbua kwa sasa "Hodari" Maromboso a.k.a Mbosso Khan Mshedede ukipenda muite Kirungi sababu kubwa iliyomvutia Mondi ni ule uwezo wa Mbosso kutunga mistari yenye matusi...
Kwa wale wapenzi wa jukwaa letu pendwa la celebrities forum ,leo nataka mniambie mnataka mada zipi au celebrity/celebrities wepi mnataka tuwajadili kwa mapana zaidi?
Maana niliamua kukaa kando...
Kwa mujibu wa Meneja wa Diamond Platnumz,Babu Tale,msanii Hawa aliyeshirikishwa kwenye wimbo wa nitarejea wa Diamond amefanyiwa operation ya moyo salama kwa masaa matano,Tale ameandika kupitia...
Huyu dogo nimetokea kumkubali sana baada ya kumsikia kwenye wimbo wa iokote wa yeye na maua sama.
Kwa hakika ule wimbo bila kuwepo yeye usingekuwa wimbo wa taifa kama ilivyo hivi sasa.
Latipha Nasibu a.k.a Princess Tiffa kwa sasa anakimbiza dunia nzima kwa kuwa mtoto mwenye followers wengi zaidi duniani huku akimbwaga mbali zaidi mpinzani wake Asad Khalidi ambaye ni mtoto wa Dj...
Huyu kijana anamiliki Kampuni ambayonndani yake ina label,studio,tv,radio nk..ambavyo vyote vimeajili vijana wa Kitanzania ambao wote wanaendesha maisa yao kwa kumtegemea Huyu Kijana Diamond...
Haijakaa sawa kabisa sijajua ni stress au ni nn hadi kupelekea kuonyesha nyeti yake istagram kwa kweli sijajua ilikuwa ni madhumuni yapi au ana nia gani juu ya hili la leo kawadhalilisha sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.